Wakati wa mafuriko Mbeya, Kyela FM ilisaidia wahanga

Kusikiliza /

Mafuriko haya yalipokumba Kyela mwaka 2014, matangazo ya radio yalikuwa ndio mkombozi kuweza kufikishia wananchi huduma na misaada. (Picha:Kyela FM)

Radio, imeendelea kuwa mwokozi wakati wa majanga kwa kuwapatia wananchi taarifa sahihi za jinsi ya kujiokoa. Mathalani nchini Tanzania mwaka 2014 katika mkoa wa Mbeya kusini mwa nchi hiyo, mafuriko yalikumba wakazi wa wilaya ya Kyela na kusababisha uharibifu wa mali. Kituo cha radio ya jamii, Kyela FM kilikuwa mstari wa mbele kuhabarisha umma na hivyo kudhihirisha maudhui ya mwaka huu ya siku ya radio duniani tarehe 13 Februari kuhusu radio wakati wa dharura ikiwemo majanga. Je Kyela FM ilifanya nini? Benson Mwakalinga wa radio hiyo washirika anafafanua katika makala hii.

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031