Kama si redio majanga hutuacha segemnege: Wananchi Tanzania

Kusikiliza /

Wanahabari kutoka redio Miraya Sudan Kusini wakimhoji mmoja wa wapiga kura wakati wa uchaguzi. Picha:UN Photo/Tim McKulka

Katika mfululizo wa makala kuhusu umuhimu wa redio katika majanga ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya redio duniani Februari 13, leo tunajikita nchini Tanzania ambako wakazi wa Mwanza wanaeleza namna redio ilivyokuwa kiungo muhimu katika kuwapasha taarifa wakati wa majanga.

Ungana na msimulizi Hemed Mohamed katika makala iliyotayarishwa na Dotto Bulendu wa redio washirika Redio SAUT ya Mwanza Tanzania.

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Oktoba 2017
T N T K J M P
« sep    
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031