Hatuna uwakilishi wa kutosha: Jamii asilia

Kusikiliza /

Bi.Sein Lengeju na Joseph Msami wa Idhaa hii wakati wa mahojiano.(Picha ya UM/Idhaa ya kiswahili)

Licha ya kuzidi kupaza sauti katika mikutano kadhaa jamii za watu asilia zinasema hazipati uwakilishi wa kutosha.Akizungumzia ujumbe wa jamii asilia katika mkutano wa siku tatuwa  jukwaa la jamii hizo na makundi ya wataaalmu, mwakilishi wa kundi la wamasai kutoka nchini Kenya ambaye pia anawakilisha taasisi ya ulinzi kwa wasichana ,  ”Keep Girls safe Foundation”,  Bibi Sein Lengeju anasisitiza

(SAUTI LENGEJU)

Kadhalika amesema jamii ya kimaasai kwa sasa ina muamko wa elimu lakini kikwazo ni

(SAUTI LENGEJU)

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031