Nyumbani » 18/08/2014 Entries posted on “Agosti 18th, 2014”

Fahamu kuhusu Ebola!

Muuguzi akimfariji mgonjwa aliyethibitika kuwa na kirusi cha Ebola.(Picha: WHO/Chris Black)

1.Ugonjwa wa Ebola ni nini? Ugonjwa utokanao na kirusi cha Ebola ni ugonjwa hatari wenye uwezo wa kusababisha kifo kwa asilimia 90.  Shirika la afya duniani, WHO katika tovuti yake inasema kwa mara ya kwanza ulibainika mwaka 1976 huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC na Sudan. Chanzo cha kirusi hiki hadi sasa hakijulikani lakini [...]

18/08/2014 | Jamii: Ebola, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Hatua nne zahitajika kuhimiza malengo ya milenia

Kusikiliza / @UN photos/ Mark Garten

Leo ikiwa imebaki siku 500 tu kabla ya kufikia ukomo wa malengo ya maendeleo ya milenia yaliyoamuliwa na viongozi vya dunia, mwaka 2000, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mtaifa Ban Ki-Moon ametuma ujumbe wake ili kuongeza jitihada za kuhimiza malengo hayo. Amesema, ingawa dunia imepitia matatizo megi tangu 2000, yakiwemo vita, mzozo wa kiuchumi, majanga [...]

18/08/2014 | Jamii: Hapa na pale, Malengo ya maendeleo ya milenia | Kusoma Zaidi »

Tanzania imeshuhudia upungufu, maambukizi ya ukimwi kutoka kwa mama hadi mtoto

Kusikiliza / breast feeding news centre

Upatikanaji wa huduma ya afya kwa watoto umekumbwa na changamoto kwa miaka mingi, hivyo kusababisha maafa kwa watoto kabla kutimiza umri wa miaka mitano. Wakati nchi kwa ushirikiano na mashirika mbalimbali zikijikita katika kukabiliana kuepusha vifo vya watoto wachanga, maafa kutokana na maambukizi ya ukimwi kutoka kwa mama hadi mtoto yameripotiwa kupungua katika nchi nyingi.Tanzania [...]

18/08/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Gaza nzima inahitajika kujengwa upya; Baraza la Usalama laelezwa

Kusikiliza / Mratibu Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mashariki ya Kati, Robert Serry wakati wa kikao cha Baraza la Usalama.Picha/UM/Loey Felipe

Mratibu Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mashariki ya Kati, Robert Serry, aliyeshiriki kwenye mazungumzo ya amani kati ya Israel na Palestine, huko Misri, amezungumza mbele ya Baraza la Usalama na kusema kuwa mazungumzo hayo ni muhimu sana ili kusitisha mkwamo wa vitendo vya ghasia na kulipiza visasi. Ameziomba pande zote zifikie makubaliano yatakayoangazia mizizi [...]

18/08/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Siku 500 kabla ya ukomo wa maendeleo, tuchukue hatua:Ban

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon na Malala Yousfzai katika mjadala huo. (Picha:UN/Mark Garten)

Ikiwa zimebakia siku 500 kabla ya kufikia ukomo wa malengo ya maendeleo ya milenia, katibu Mkuu wa Umoja wa MAtaifa Ban Ki-Moon amezungumza kwenye tukio maalum mjini New York akichagiza ufikiaji wa malengo hayo. Grace Kaneiya na ripoti kamili. (Taarifa ya Grace) Tukio hilo lilihusisha mjadala kati ya Katibu mkuu Ban na Mwanaharakati wa kike [...]

18/08/2014 | Jamii: Habari za wiki, Malengo ya maendeleo ya milenia | Kusoma Zaidi »

UM kuendelea kusaidia amani an maendeleo Somaliland

Kusikiliza / Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa  Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Nicholas Kay,UN Photo/Eskinder Debebe

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Nicholas Kay amewasili kwenye mji mkuu wa Somaliland, Hargeisa Jumatatu asubuhi na kusema umoja huo utaendelea na usaidizi wake kwenye eneo hilo. Akizungumza mara baada ya kuwasili, Kay ambaye ni Mkuu wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa Somalia, UNSOM amesema Somaliland imekuwa na maendeleo [...]

18/08/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UNHCR yaanza kusambaza Misaada ya Kibinadamu nchini Libya

Kusikiliza / Misaada ya kibinadamu imewasili Libya.Picha@© UNHCR/A.Ibrahim

Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa, UNHCR, kwa ushirikiano na wadau wake ikiwemo wahudumu wa Afya wa Kimataifa (IMC) na shirika la Taher Al Zawia wametuma misaada kwenda kwa maelfu ya watu waliofurushwa kutoka makazi yao baada ya mapigano yanayoendelea karibu na mji mkuu Tripoli nchini Libya. Zaidi ya jamii 2,000 zinahitaji misaada [...]

18/08/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kuzingirwa kwa Gaza ni adhabu inayopaswa kuondolewa

Kusikiliza / UNRWA na WFP wanaendelea kusambaza msaada wa chakula kwa zaidi ya wakazi 830,000 wa Gaza @Shareef Sarhan-UNRWA Archives

Wakati baraza la usalama likikutana leo kuhusu hali ya Mashariki ya Kati, Pierre Krahenbuhl, ambaye ni mkurungenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Palestina, UNRWA, ameomba Israel isitishe kitendo chake cha kuzingira Ukanda wa Gaza kilichodumu kwa miaka saba, akisema ni adhabu kwa wakazi wote wa Gaza. Akizungumza na waandishi wa [...]

18/08/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mashirika Sita ikiwemo WHO yazindua kikosi kazi kudhibiti Ebola

Kusikiliza / Katika harakati za kuzua maambukizi ya Ebola, WHO imepanga timu ya watu watakaofukua miili ya watu wanaohofiwa kufariki kutokanana maambukizi ya Ebola,kijiji cha Pendebu,Sierra Leone

Kikosi kazi cha masuala ya safari na usafirishaji kinachoundwa na mashirika Sita likiwemo lile la afya duniani WHO, kimeanza kazi ili kudhibiti uwezekano wa kirusi cha Ebola kusambazwa wakati wa safari za anga. WHO na mashirika hayo mengine ya kimataifa likiwemo lile la mamlaka ya anga, ICAO, utalii UNWTO, baraza la viwanja vya ndege ACI, [...]

18/08/2014 | Jamii: Ebola, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

WHO yataka kulindwa kwa watumishi wa afya wanaofanya kazi kwenye mazingira hatarishi

Kusikiliza / Watoa huduma ya afya.Picha@WHO(Video capture)

Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limesema kuwa wakati umefika kwa dunia kuachana na vitendo vya kuwadhuru watumishi wa afya wanaohudumu kwenye maeneo yanayokumbwa na migogoro ya vita . WHO imesisitiza kuwa ni muhimu watumishi hao wakatoa huduma zao kwa uhuru hasa wakati huu ambapo dunia imeendelea kushuhudia ongezeko kubwa la mahitaji ya dharura. Taarifa kamili na George Njogopa. (Taarifa ya [...]

18/08/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ujumbe wa UN walaani vikali kuongezeka mapigano Libya

Kusikiliza / Picha@UNSMIL

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya UNSMIL umelaani vikali mapambano yanayoendelea kupamba moto kati ya makundi ya wanamgambo yanayopingana katika mji mkuu wa Libya, Tripoli na viunga vyake, na kuzitaka pande zote kuheshimu juhudi za kusimamisha mapambano. UNSMIL  pia imekemea vikali urushwaji wa makombora kwenye maeneo ya makazi, ambayo yamesabisha raia wengi kuathirika, kulazimika kukimbia makazi [...]

18/08/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Benki ya Dunia kuboresha maisha ya wakimbizi na jamii zinazowahifadhi Afrika

Kusikiliza / Washauri wa Benki ya Dunia katika kambi ya Kiryandongo. Picha ya John Kibego.

Benki yaDunia imeanza safari ya kutafuta suluhu ya kudumu kwa matatizo yanayowakumba wakimbizi na jamii zinazowahifadhi barani Afrika. Kwa sasa inapanga kuanzisha miradi kabambe ya kusaidia wenyeji na wakimbizi kujiimarisha kiuchumi. John Kibego wa radio wahsirika ya Spice FM, ameongea na Washauri wa benki hiyo waliotembelea kambi ya Kiryandongo nchini Uganda. (Taarifa ya Kibego) Baada [...]

18/08/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031