Nyumbani » 16/08/2014 Entries posted on “Agosti 16th, 2014”

Mali: Ban alaani mauaji ya walinda amani wawili

Kusikiliza / Walinda amani katika doria maeneo ya Ber, Timbuktu, Mali. Picha ya MINUSMA

  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amelaani vikali shambulio la kujitoa muhanga lililotokea Mali, maeneo ya Timbuktu asubuhi hii dhidi ya kituo cha Umoja wa Mataifa nchini humo, MINUSMA na kusababisha vifo vya walinda amani wawili pamoja na majeruhi saba. Bwana Ban ameeleza kusikitishwa sana na mauaji ya walinda amani hawa, [...]

16/08/2014 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Ban akutana na rais wa China

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon akiwa na Rais wa China Xi Jinping (Picha: UN /Mark Garten)

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon ambaye amewasili leo China kwa ajili ya uzinduzi wa michezo ya Olimpiki ya vijana ya pili huko Nanjing, amekuwa na mazungumzo na rais wa China Xi Jinping. Ban ametoa shukrani zake kwa jinsi China inavyounga mkono jitihada za Umoja wa Mataifa za kuendeleza amani na usalama, [...]

16/08/2014 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031