Nyumbani » 13/08/2014 Entries posted on “Agosti 13th, 2014”

Marekani yatoa dola milioni 180 kupambana na njaa Sudan Kusini

Kusikiliza / Katika baadhi ya maeneo ya Sudan Kusini, vyakula vinapelekwa kwa njia ya ndege. PIcha ya WFP

Serikali ya Marekani imetangaza kutoa mchango wa ziada wa dola milioni 180 kwa ajili ya operesheni za Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula, WFP nchini Sudan Kusini. Kwa mujibu wa WFP, janga la njaa linalokabili Sudan Kusini hivi sasa ndilo tatizo baya zaidi duniani. Mchango wa Marekani utasaidia kufadhili gharama za usafirishaji [...]

13/08/2014 | Jamii: Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lapongeza juhudi za rais wa Iraq

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa alipokutana na rais wa Iraq Fuad Mansum @UN Photos

Wanachama wa Baraza la Usalama wamekaribisha amri ya Rais wa Iraq Fuad Masum ya kumteua Waziri Mkuu mpya. Wamesema uteuzi huo ni hatua muhimu, katika utaratibu wa kuunda serikali jumuishi itakayowakilisha makundi yote ya raia wa Iraq na ambayo itachangia katika kupata suluhu endelevu kwa mzozo unaoendelea sasa hivi. Wamesihi Waziri Mkuu Mtarajiwa, Bwana Haider [...]

13/08/2014 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Tatizo la kibinadamu Iraq latangazwa kufikia ngazi ya juu kabisa ya dharura

Kusikiliza / Wakimbizi wa Iraq wanahitaji misaada ya kibinadamu @UNAMI

Umoja wa Mataifa umetangaza siku ya Jumatano tarehe 13 kwamba tatizo la kibinadamu Iraq ni suala la dharura kwa ngazi ya tatu, huku Nickolay Mladenov, Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Mataifa nchini humo, akieleza kwamba maamuzi hayo yatarahisisha ukusanyaji wa pesa na vifaa, na uratibu wa misaada ya kibinadamu kwa ajili ya wakimbizi wa ndani. [...]

13/08/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mfumo dume watukwaza; wasema wanawake Tanzania

Kusikiliza / Picha@ Rashidi Chilumba, Radio SAUT

Usawa wa kijinsia ni tatizo huko Mwanza nchini Tanazania ambapo wajane wanakumbwa na tatizo hilo kwa kunyang’anywa mali walizochuma na waliokuwa waume zao. Je matatizo yapi huwapata? na je hali ya kujenga uwezo kwa  wanawake  na kutokomeza mfumo huo dume ili kuwezesha utimilifu wa lengo la tatu maendeleo ya milenia la  Usawa wa Kijinsia inatekelezwa [...]

13/08/2014 | Jamii: Jarida, Makala za wiki, Malengo ya maendeleo ya milenia | Kusoma Zaidi »

Waasi wa FDLR wakataa kambi ya mpito ya Kisangani

Kusikiliza / Ray Virgilio Torres, mkuu wa ofisi ya MONUSCO kwenye mkoa wa Kivu Kaskazini, akihesabu silaha zilizorudisha na kundi la FDLR. PIcha ya MONUSCO.

  Ujumbe wa Umoja wa Mataifa kwenye Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, MONUSCO, umeelezea kusikitishwa sana na maamuzi ya FDLR kukataa kwenda kwenye kambi ya Kisangani. Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC ilikuwa imechagua eneo hilo la Kisangani kwa ajili ya operesheni za kujisalimisha waasi hao. Akizungumza na Radio OKAPI, Mkuu wa ofisi [...]

13/08/2014 | Jamii: Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Saudi Arabia yasaidia harakati za UM za kukabiliana na ugaidi; Ban ashukuru

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon. UN Photo/Paulo Filgueiras/NICA

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameishukuru serikali ya Saudi Arabia kwa msaada wake wa dola Milioni Mia Moja kwa ajili ya kituo cha udhibiti wa ugaidi cha umoja huo, UNCCT. Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutolewa kwa msaada huo Ban amesema kituo hicho ni kimetokana na ubunifu wa Saudia Arabia [...]

13/08/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Marekani yakamilisha uteketezaji wa kemikali zihusianazo na Sarin kutoka Syria

Kusikiliza / Meli ya kimarekani, Cape Ray ambako kemikali zimeteketezwa. (Picha-OPCW)

Shirika la kimataifa la kutokomeza silaha za kemikali, OPCW limesema tani zote za ujazo 581 za kemikali za sumu ambazo zingaliweza kutumiwa na Syria kutengeneza gesi ya Sarini zimetekezwa. Mkurugenzi Mkuu wa OPCW Ahmet Üzümcü amesema shehena hiyo iliyosafirishwa kutoka Syria mwezi Julai iliteketezwa ndani ya meli ya kimarekani Cape Ray iliyokuwa kwenye eneo la [...]

13/08/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Kurekebisha uchumi na mabadiliko ya tabianchi kutaleta maendeleo: UNEP

Kusikiliza / Picha@UNEP

  Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Mazingira UNEP limetoa ripoti mpya inayoonyesha kwamba uwekezaji pesa katika kubadilisha uchumi wa nchi za kiafrika unaweza kuzuia kasoro za mabadiliko ya tabianchi bali pia kuleta maendeleo endelevu . Achim Steiner, mkuu wa UNEP, amekumbusha kwamba asilimia 94 ya kilimo cha Afrika kinategemea maji ya mvua, [...]

13/08/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wanachama wa Baraza la Usalama watua Mogadishu

Kusikiliza / Rais wa Baraza la Usalama la UM Balozi Mark Lyall Grant akiwa na Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud mjini Mogadishu.(Picha:UN Photo/Tobin Jones)

Wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambao wapo ziarani barani Afrika, leo wametua mjini Mogadishu, Somalia, baada ya ziara ya nchini Sudan Kusini, ambayo imehitimishwa leo. Taarifa kamili na Joshua Mmali Taarifa ya Joshua Ziara ya wanachama hao wa Baraza la Usalama nchini Sudan Kusini, ambako wametokea wakienda Somalia, imetajwa kuwa yenye [...]

13/08/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Raquelina ataja atakachofanya kwanza akiwa Katibu Mkuu wa UM

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon akiwa na Raquelina Langa. (Picha:UN /Mark Garten)

Mwanafunzi wa darasa la Kumi kutoka Msumbiji ambaye alialikwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon kujionea shughuli za Umoja huo na kushiriki mkutano wa vijana amezungumzia hisia zake na vile ambavyo amejifunza katika kipindi hicho. Taarifa kamili na Assumpta Massoi. (Taarifa ya Assumpta) Raquelina Langa ameiambia Radio ya Umoja wa Mataifa kuwa [...]

13/08/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kenya yachukua hatua kudhibiti uwezekano wa mlipuko wa Ebola

Kusikiliza / Harakati za kujikinga dhidi ya Ebola. (Picha@WHO)

Shrika la afya duniani, WHO limesema Kenya iko hatarini kukumbwa na maambukizi ya ugonjwa wa Ebola kwa kuzingatia kuwa ni kitovu cha usafiri wa ndege kutoka Afrika Magharibi. John Ronoh na ripoti kamili. (Taarifa ya John) Hili ni onyo la kwanza kutolewa na WHO siku chache baada ya kuridhia matumizi ya dawa ya majaribio kutibu [...]

13/08/2014 | Jamii: Ebola, Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

UM watiwa hofu na ukatili wa kingono dhidi ya wakimbizi wa ndani Iraq

Kusikiliza / Umoja wa Mataifa

Tuna wasiwasi mkubwa wa ripoti za kuendelea kwa vitendo vya ukatili wa kingono dhidi ya wakimbizi wa ndani nchiniIraq. Zainab-Hawa Bangura anayehusika na ukatili wa kingono kwenye mizozo na Nikolai Mladenov anayemwakilisha Katibu Mkuu hukoIraqwametoa kauli hiyo kwenye taarifayaoya pamoja. Wamesema matukio ya kikatili ya vitendo vya kuendelea kutekwa na kushikiliwa wanawake na watoto wa [...]

13/08/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031