Nyumbani » 11/08/2014 Entries posted on “Agosti 11th, 2014”

Somalia imebadilika, tuisaidie isirudi nyuma: mtalaam wa UM Tom Nyanduga

Kusikiliza / watoto 50,000 wameathirika na utapiamlo Somalia @UN Photos

Nchini Somalia, wakati kundi la kigaidi la Al-shabab likendelea kufanya mashambulizi na kukabiliwa na Ujumbe wa Muungano la Afrika unaoungwa mkono na Umoja wa Mataifa, AMISOM, raia wako hatarini kuathirika na baa la njaa jinsi waliovyoathirika mwaka 2011, ambapo zaidi ya watu 250,000 wamefariki dunia. Mtalaam Huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu [...]

11/08/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Wataalam wa afya wakutana kutathmini maadili ya matibabu ya Ebola

Kusikiliza / Wafanyakazi wa wizara ya afya Monrovia, Liberia  katika kituo cha afya kinachofadhiliwa na WHO,MSF.Picha ya UNMIL/Staton Winter

Jopo la wataalam wa maadili ya utabibu wamekutana mjini Geneva kutathmini mchango wa matibabu ya majaribio katika kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola. Akiwahutubia waandishi wa habari mjini New York, Msemaji wa Umoja wa Mataifa, Stephane Dujarric, amesema kuwa kuwatibu hivi karibuni wahudumu wawili wa afya kwa kutumia dawa za majaribio, kumeibua mjadala kuhusu [...]

11/08/2014 | Jamii: Ebola, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Hali ya kibindamu mlima Sinjar ni mbaya; baadhi wajinasua:OCHA

Kusikiliza / Wakimbizi wa ndani wavuka kutoka Sahela wakielekea hadi maeneo salama ya Zummar.Picha@UNHCR

Ikiwa ni siku ya Tisa tangu watu wa jamii ya Yazed na makundi madogo wajifiche kwenye mlima Sinjar huko Iraq wakikimbia mashambulizi dhidiyaokutoka kikundi cha waislamu wenye msimamo mkali ISIL , Umoja wa Mataifa umesema haliyaoya kibinadamu inazidi kudorora kila uchao. Mkuu wa mawasiliano wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu misaada ya kibinadamu, [...]

11/08/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Ban akaribisha hatua za kuunda serikali Iraq

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-moon. UN Photo.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amekaribisha hatua zilizopigwa katika kuunda serikali mpya nchini Iraq. Ban amempongeza pia Rais Fuad Massoum kwa kumkabidhi Dkt. Haider al-Abbadi mamlaka ya kuunda serikali mpya, kulingana na katiba ya nchi hiyo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na msemaji wake, Katibu Mkuu pia amemsihi Waziri Mkuu huyo kuunda [...]

11/08/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Jamhuri ya Afrika ya Kati yapata waziri Mkuu wa Kiislamu kwa mara ya kwanza

Kusikiliza / Catherine Samba Panza, rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati alipokutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa @UNphotos

Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Catherine Samba-Panza, amemteua Mahamat Kamoun kuwa Waziri Mkuu, hapo jana jumapili. Mahamat ni Mwislamu wa kwanza kuchukua nafasi hiyo tangu uhuru wa taifa hilo mwaka 1960. Kwa mujibu wa Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini humo, Babacar Gaye, uteuzi huo ni hatua kubwa katika [...]

11/08/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Baraza la Haki launda tume kuchunguza ukiukwaji wa haki Gaza:

Kusikiliza / Watoto Ukanda wa Gaza. Picha@UNRWA

Baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa limeunda tume ya kimataifa ya watu watatu kuchunguza ukiukwaji wa sheria ya haki za binadamu huko Ukanda wa Gaza kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni ya Israel kwenye eneo hilo. Mwenyekiti wa jopo hilo ni Profesa William Schabas wa sheria za kimataifa kutoka Canada, akisaidiwa na mwanasheria [...]

11/08/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mapigano Sudan Kusini na machungu wapitiao watoto wa wakimbizi wa ndani

Kusikiliza / Katika kambi ilioko karibu na mji wa Bentiu.Picha@UNIFEED

Katika nchi iliyochanga zaidi duniani ya Sudan Kusini, miaka mitatu baada ya Uhuru kumeukuwa na changamoto nyingi zikiwemo mapigano ambayo yamesababisha raia kukimbia makaziyaona kutafuta usalama kwenye kambi za hifadhi za mashirika za Umoja wa Mataifa. Kwenye makazi hayo vifo vya watoto wachanga ni baadhi ya mambo yanayoripotiwa kila uchao.  Je nini kinafanyika? Basi ungana [...]

11/08/2014 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Iraq yazindua kampeni kutokomeza ugonjwa wa kupooza

Kusikiliza / Picha ya UNICEF

Iraq imezindua kampeni kubwa kwa ajili ya kukabiliana na tatizo la polio ikilenga kuwanusuru zaidi ya watoto milioni nne walio chini ya umri wa miaka 5 ambao mara nyingi wako hatarini kubwa na ugonjwa huo. Taarifa kamili na George Njogopa. Kampeni hiyo ya siku nne inaendeshwa na Wizara ya Afya kwa kusaidiwa na Mashirika ya [...]

11/08/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mwakilishi wa Ban asikitikia hali ya kisiasa Iraq

Kusikiliza / wakimbizi wa Iraq wako kwenye hali mbaya ya kibinadamu. Picha @UNHCR/S. Baldwin

Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq Nickolay Mladenov amesema kuwa amevunjwa moyo na hali mbaya ya kisiasa inayoendelea kujitokeza nchini humo na amewataka viongozi wa kiasiasa kuheshimu Katiba inayompa mamlaka Rais. Mwakilishi huyo amesema kuwa yale yanayofanywa na Rais Fuad Masoum yanatokana na msingi wa Katiba hivyo hakuna mamlaka nyingine yoyote inayoweza kuhoji utendaji [...]

11/08/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama ziarani Ulaya na Afrika

Kusikiliza / Baraza la Usalama.Picha ya UM//Paulo Filgueiras/NICA

Wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, wameanza ziara yao ya Ulaya na Afrika kwa kutua kwanza Ubeljiji na The Hague, Uholanzi, kabla ya kuelekea Sudan Kusini na Somalia. Wakiwa The Hague, walikutana na wawakilishi wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai, ICC, Mahakama ya Sheria ya Kimataifa, ICJ na majopo maalum [...]

11/08/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Jopo la UM latathmini hali Somalia, Mtaalamu Nyanduga ataka usaidizi uharakishwe:

Kusikiliza / Wanawake wakimbizi wa ndani wakielekea kambi ya AMISOM baada ya mafuriko na mzozo karibu na Jowhar,Somalia.Picha ya UM/Tobin Jones(maktaba:12/11/13)

Wajumbe wa mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa pamoja na Waziri wa Mambo wa Ndani wa Somalia wametembelea mji mkuu wa jimbo la Shabelle Kati nchini Somalia ili kutathmini hali iliyopo eneo hilo kufuatia mafuriko ya mwaka jana. Mathalani wataangalia usaidizi unaotakiwa kwenye miradi ya ujenzi mpya wa mifereji ya maji iliyoharibiwa na mafuriko hayo. [...]

11/08/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mchicha zao la kiasili kwa mwezi Agosti: FAO

Kusikiliza / Mchicha zao la asili la mwezi Agosti.Picha@FAO

Shirika la chakula na kilimo duniani, FAO limetangaza Mchicha kuwa ni zao la kiasili kwa mwezi huu wa Agosti likisema kuwa lina virutubisho muhimu kwenye majani yake au mbegu. Taarifa kamili na Grace Kaneiya.. (Taarifa ya Grace) Ukijulikana kwa jina la kitaalamu Amaranthus au mchicha kwa lugha ya Kiswahili, FAO imesema unaweza kuliwa kama mboga ya [...]

11/08/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031