Nyumbani » 10/08/2014 Entries posted on “Agosti 10th, 2014”

Sitisho la mapigano Gaza ni fursa ya kushughulikia sintofahamu ya pande zote:Ban

Uharibifu uliotokana na mashambulizi huko GAza: Picha ya @UNRWA

Tangazo la Misri kwamba Israeli na Palestina zimekubaliana sitisho la mapigano kwa siku tatu kuanzia usiku wa Jumapili kwa saa za Mashariki ya Kati, limekaribishwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon. Sitisho hilo lisilo na masharti yoyote ni kwa misingi ya kibinadamu ambapo Bwana Ban amekaririwa na msemaji wake akisema kuwa anaamini [...]

10/08/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Undeni serikali itakayoweza kukabiliana na ISIL: Ban awaeleza viongozi wa Iraq

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-moon. Picha@UN Photo

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amesema bado ana hofu kubwa juu ya hali ya kibinadamu na kiusalama inavyoendelea kuibuka huko Iraq kila uchao wakati huu mchakato wa kupata waziri mkuu ukiendelea. Taarifa ya msemaji wa Umoja wa Mataifa imemkariri Ban akisema kuwa Umoja huo na jamii ya kimataifa inafuatilia kwa karibu hali [...]

10/08/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »