Nyumbani » 08/08/2014 Entries posted on “Agosti 8th, 2014”

Hali ya kibinadamu Ukraine yatia wasiwasi UM

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameeleza kutiwa wasiwasi sana na kuzorota kwa hali ya kibinadamu katika maeneo ya mashariki mwa Ukraine, ambapo raia wanaendelea kupoteza maisha. Huku idadi ya wanaokimbia maeneo hayo ikiongezeka, amesema ni lazima kukarabati miundombinu ya maji na usafi ili kurejesha hali ya kawaida. Taarifa kutoka msemaji wa Umoja [...]

08/08/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Serikali ya Nigeria yachagua njia ya majadiliano kuokoa wasichana wa Chibok

Kusikiliza / Said Djinnit @UN Photos

Serikali ya Nigeria haitaki tena kushambulia kundi la Boko Haram ili liachilie huru wasichana zaidi ya 200 waliotekwa nyara na kundi hilo kwa sababu inahofia kwa maisha yao, na badala yake imeamua kujaribu majadiliano, amesema Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu kuhusu ukanda wa Afrika ya Magharibi, Said Djinit, alipozungumza na Redio ya Umoja wa Mataifa. [...]

08/08/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Uandikishaji sawa kati ya wasichana na wavulana katika shule ya msingi na ya sekondari waangaziwa, Tanzania

Kusikiliza / Picha@UNICEF

Lengo la tatu la maendeleao ya  milenia ni kuimarisha usawa wa kijinsia na kustawisha wanawake. Katika kufikia lengo hili suala kuu ni kuimarisha uandikishaji sawa kati ya wasichana na wavulana katika shule ya mzingi na vile vile shule ya sekondari kabla ya mwaka 2015. Kwa ujumla dunia imefikia kawa kiasi usawa wa kutoa elimu kwa [...]

08/08/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki, Malengo ya maendeleo ya milenia | Kusoma Zaidi »

Sierra Leone yakwamua wasichana waliopata ujauzito shuleni:UNICEF

Kusikiliza / Mbalu mmoja wa wasichana anayetoa ushauri kwa wenzake Sierra Leone. Picha@UNICEF/Sierra Leone

Shirika la mpango wa maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP lilipotoa ripoti ya mafanikio ya malengo ya milenia, limeonyesha kwamba bado jitihada zinahitajika ili kufikisha usawa kati ya wasichana na wavulana katika kupata elimu ya msingi na ya sekondari. Moja ya vikwazo kwa wasichana kuendelea na masomo ni mimba za utotoni.  Hata hivyo nchini Sierra [...]

08/08/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lalaani ukiukwaji wa makubaliano ya amani Sudan Kusini

Kusikiliza / Baraza la usalama.Picha ya UM/NICA

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeelezea kusikitishwa na kuzorota zaidi kwa hali ya kisiasa na usalama nchini Sudan Kusini, pamoja na janga la kibinadamu linalotokana na mzozo wa kisiasa ndani ya serikali ya SPLM, na machafuko, yakiwemo ukatili dhidi ya raia tangu tarehe 15 Disemba 2013. Katika taarifa iliyotolewa na rais wake, Baraza [...]

08/08/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Ban asikitishwa na kurejea kwa mapigano Gaza

Kusikiliza / Msemaji wa Umoja wa Mataifa Farhan Haq Picha@UM

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ameelezea masikitiko yake baada ya pande kewnye mzozo wa Gaza kushindwa kukubaliana juu ya kuongeza muda wa sitisho la mapigano lililomalizika jana. Msemaji wa Umoja wa Mataifa Farhan  Haq amesema Ban ameshutumu kuanza tena kwa urushwaji wa maroketi kuelekea Israel akisema machungu na vifo vinavyokumba raia walionasa [...]

08/08/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UM waonya kuhusu uhalifu dhidi ya binadamu nchini Iraq

Kusikiliza / @Ravina Shamdasani/OCHR

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imeonya kuwa vitendo vya watu kulazimishwa kuhama makazi yao huko Kaskazini mwa Iraq vyaweza kuwa ni uhalifu dhidi ya binadamu. Imesema makumi ya maelfu ya raia kutoka jamii ya Yezidi na jamii nyingine ndogo wamekuwa wakisaka hifadhi kwenye milima ya Sinjar mpakani wa Iraq na Syia [...]

08/08/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mapigano yaanza tena Gaza; wakimbizi warejea kusaka hifadhi UNRWA

Kusikiliza / Mtoto akiangalia nyumba ya jirani akiwa katika vifusi vya nyumba iliyoharibiwa © UNICEF/NYHQ2014-0984/El Baba

Baada ya kumalizika kiku tatu za sitisho la mapigano huko Gaza, mapigano yameripotiwa kuanza tena katika Ukanda wa Gaza…..   Taarifa zaidi na John Ronoh. (Taarifa ya John) Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Palestina, UNRWA, limesema raia wa Palestina ambao walirudi makwao wakati wa sitishohilo, wamekimbilia tena kupata hifadhi katika majengo [...]

08/08/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Homa ya Ini yaibuka kambi tatu za wakimbizi Ethiopia: UNHCR

Kusikiliza / UNHCR Logo

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, limesema limeongeza juhudi za kukabiliana na homa ya ini ya Hepatitis E miongoni mwa wakimbizi wa Sudan Kusini walioko nchini Ethiopia. Ugonjwa wa Hepatitis E umesambaa nchini Sudan Kusini katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, na sasa umeibuka katika kambi tatu zilizopo nchini Ethiopia karibu na [...]

08/08/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Tumefanikiwa kulinda raia lakini utashi wa kisiasa wahitajika Sudan: UNAMID

Kusikiliza / Afisa polisi wa UNAMID,  Grace Ngassa kutoka Tanzania akiwa na polisi jamii wa kujitolea  Jazira Ahmad Mohammad wakizungumza na mwanamke mmoja kwenye kambi ya wakimbizi wa ndani ya Zam Zam huko Darfur Kaskazini kama sehemu ya kulinda raia.(Picha:. Albert Gonzalez Farran, UNAMID)

Mwakilishi wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika kwenye kikosi cha kulinda amani huko Darfur, Sudan UNAMID Mohammed Ibn Chambas amesema ana matumaini ya kumalizika kwa mzozo unaoendelea kwenye eneo hilo. Chambas ameiambia radio ya Umoja wa Mataifa kuwa kila uchao matumaini yapo ikiwemo kupungua kwa kiwango cha mapigano kati ya jeshi [...]

08/08/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban ataka serikali ziboreshe maisha na fursa za watu wa asili

Kusikiliza / Katika mkutano wa watu wa asili.UN/DPI.Picha ya Evan Schneider/NICA

Ikiwa kesho terehe 9 Agosti ni Siku ya Kimataifa ya Watu wa Asili, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon, amezitaka serikali zishirikiane na watu wa asili ili kuboresha maisha na fursa zao katika jamii, wakati kongamano la kimataifa kuhusu watu wa asili likikaribia mnamo mwezi Septemba. Taarifa kamili na Amina Hassan (Taarifa ya [...]

08/08/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ebola ni dharura ya afya ya umma duniani; hakuna zuio la safari au biashara:WHO

Kusikiliza / Mwanamke asubiri kuingia kumlisha mumewe katika wadi iliyotengwa inayofadhiliwa kwa pamoja na wizara ya Liberia, WHO na MSF wanaotoa huduma kwa wagonjwa katika mji mkuu Monrovia.Picha UNMIL/Staton Winter

Hatimaye shirika la afya duniani WHO limetangaza ugonjwa wa Ebola kuwa ni dharura ya afya ya umma duniani wakati huu ambapo umeshasababisha vifo vya watu zaidi ya 900 huko Afrika Magharibi huku likieleza bayana hakuna zuio la biashara au safari kutokana na mlipuko huo. Taarifa zaidi na Assumpta Massoi. (Taarifa ya Assumpta) WHO imesema mlipuko [...]

08/08/2014 | Jamii: Ebola, Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031