Nyumbani » 03/08/2014 Entries posted on “Agosti 3rd, 2014”

Gaza : Shule nyingine ya UN yapigwa na makombora ya Israel

Kusikiliza / Shule ya Jabalia iliyopigwa na makombora awali wiki hii. Picha ya Shareef Sarhan UNRWA

Wapalestina 10 wamefariki dunia leo jumapili tarehe 3, kutokana na mashambulizi dhidi ya shule ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Palestina, UNRWA, maeneo ya Rafah. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amelaani vikali mauaji hayo akisema ni ukiukwaji wa sheria ya kimataifa ya kibinadamu, inayolazimu pande mbili za [...]

03/08/2014 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Huduma za afya zakaribia kuporomoka Gaza

Kusikiliza / Mtoto aliyejeruhiwa, hospitalini, Gaza. Picha ya @UNICEF

 Mratibu wa Misaada ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa katika maeneo yaliyokaliwa ya Palestina, James Rawley, ameonya kwamba hali ya afya inazorota kwa haraka sana kwenye ukanda wa Gaza.Pamoja na Mkurugenzi wa operesheni kwa ukanda wa Gaza wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Wa Palestina, UNRWA, Robert Turner, na Daktari Ambrogio Manenti, [...]

03/08/2014 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Agosti 2017
T N T K J M P
« jul    
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031