Nyumbani » 13/04/2014 Entries posted on “Aprili 13th, 2014”

Baraza la usalama lafanya kikao cha dharura wakati ghasia Ukraine zikisababisha majeruhi:

Ramani ya Ukraine. (Picha-Maktaba ya ramani-UM)

Sinfotahamu inayoendelea kukumba Ukraine imelazimu Baraza la Usalama kukutana kwa dharura siku ya Jumapili ambapo Naibu Mkuu wa masuala ya siasa ndani ya Umoja wa Mataifa Oscar Fernandez-Taranco amesema kwa mara nyingine tena usalama nchini humo unazidi kuzorota. Baraza hilo limekutana wakati huu ambapo saa 24 zilizopita zimeshuhudia mapigano kati ya wafuasi na wapinzania wa [...]

13/04/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kasi ya ongezeko la gesi chafuzi inatisha;IPCC yaonya, Ban ataka hatua zichukuliwe

Kusikiliza / madhara ya mabadiliko ya tabianchi

 Jopo  la kiserikali kuhusu mabadiliko ya tabia nchi limetoa tathmini yake ya tano inayendekeza jinsi ya kupunguza madhara ya mabadiliko ya tabianchi na kueleza kuwa kiwango cha utoaji wa gesi chafuzi duniani kinaongezeka kwa kasi kubwa na hivyo ni vyema hatua madhubuti zikachukuliwa. Kufuatia kutolewa kwa ripoti hiyo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban [...]

13/04/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wananchi wa Guinea-Bissau wapiga kura Jumapili, Ban awatakia uchaguzi wa amani

Kusikiliza / Elimu ya mpiga kura ilipokuwa ikitolewa kwa wananchi huko Guinea Bissau. (Picha-UNDP-Guinea-Bissau)

Wananchi wa Guinea Bissau leo Jumapili wanapiga kura kuchagua rais na wabunge ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ametoa wito kwa wananchi na taasisi nchini humo kuhakikisha uchaguzi huo unafanyika kwa amani na unakuwa huru na wa haki. Bwana Ban amesema wagombea nafasi husika, wafuasi wao pamoja na serikali ya mpito na [...]

13/04/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930