Nyumbani » 12/04/2014 Entries posted on “Aprili 12th, 2014”

Mvua kubwa zinazonyesha DSM Tanzania zakata mawasiliano baina ya miji.

Kusikiliza / untitled-2

Serikali ya Tanzania imesema mabadiliko ya tabianchi pamoja na shughuli za kibinadamu zimesababisha kubomoka kwa tuta la daraja la mto Mpiji linalounganisha jiji la Dar es salaam na mji wa kitalii wa Bagamoyo ulioko mkoa wa Pwani. Afisa wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa nchini Tanzania Stella Vuzo alifika eneo hilo na kumkuta [...]

12/04/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Umoja wa Mataifa, Muungano wa Ulaya na Marekani zatoa wito kwa usaidizi wa Sudan Kusini

Kusikiliza / Mahitaji ya kibinadamu Sudan Kusini yanaongeza kila uchao wakati huu mapigano yakiripotiwa. (Picha-UNHCR)

Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Muungano wa Ulaya na Marekani wametoa wito wa pamoja wa kusaidia wananchi wa Sudan Kusini ambao mapigano yaliyoanza nchini mwao tarehe 15 Disemba mwaka jana yanazidi kuwaletea machungu na kusababisha zaidi ya wananchi Milioni Moja wamekimbia makazi yao na maelfu wakisaka hifadhi Kenya, Uganda, Ethiopia na Sudan. Ombi hilo [...]

12/04/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Agosti 2017
T N T K J M P
« jul    
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031