Nyumbani » 11/04/2014 Entries posted on “Aprili 11th, 2014”

Ban ataka viongozi wa dunia wachukue hatua dhidi ya mabadiliko ya tabianchi.

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon akihutubia mkutano huko Washington DC

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ameshiriki mkutano wa viongozi kuhusu mabadiliko ya tabianchi huko Washington D.C na kurejelea wito wake wa umuhimu wa kupunguza viwango vya joto chafuzi. Amesema suala hilo linapaswa kuwa ajenda muhimu kwa viongozi wanapoangazia suala la maendeleo endelevu kwa hivyo ni vyema kufikia makubaliano ya dunia kuhusu mabadilko [...]

11/04/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Afrika inapeleka ajira zake nje badala ya kuzitengeneza kwa ajili ya watu wake

Kusikiliza / Uongeza thamani wa bidhaa kama unavyofanyika kwenye kiwanda hiki nchini Rwanda hutoa fursa ya ajira. (Picha-UNIDO)

Wakati ripoti zinaonyesha kiwango cha ukuaji wa uchumi Afrika, Katibu Mtendaji wa Tume ya Umoja wa Mataifa ya uchumi Afrika, UNECA Carlos Lopes amesema bado bara hilo halijaweza kutumia rasilimali na bidhaa zake kuweka fursa za ajira. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa ripoti ya uchumi barani Afrika kwa mwaka huu wa 2014 iliyojikita zaidi katika [...]

11/04/2014 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Fahamu ugonjwa wa homa ya ini, Hepatitis C na E.

Kusikiliza / Darubini ya kupimia magonjwa

Katika sehemu yetu ya pili na aya mwisho ya kujifunza homa ya ini , leo tunaangazia hepatitis C na E. Je magonjwa haya inaambukizwa vipi? Kinga zake ni zipi? Na je vipi kuhusu tiba zake? Ungana na Dk Vida Makundi, mtaalamu wa ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa nchiniTanzaniaambaye katika mahojino na Joseph Msami anaeleza pia [...]

11/04/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Brigedia Jenerali Ahamed Mohammed azungumzia MINUSCA, MONUSCO na UNAMID

Kusikiliza / Brigedia Jenerali Ahamed Mohammed Mnadhimu Mkuu, DPKO na Assumpta Massoi wa Radio ya Umoja wa Mataifa wakati wa mahojiano

Operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa zinaendelea maeneo mbali mbali duniani ikiwemo barani Afrika. Majukumu ya kila operesheni yanategemea mazingira husika, lakini kubwa ni kulinda raia. Tarehe 10 Aprili Baraza la Usalama limeidhinisha Umoja wa Mataifa kubeba jukumu la ulinzi wa amani huko Jamhuri ya Afrika ya Kati. Baada ya hatua hiyo [...]

11/04/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Kumbukizi ya miaka 20 ya mauaji ya Kimbari nchini Rwanda

Kusikiliza / Vijana hawa wabeba mshumaa wakati wa kumbukizi nchini Uswisi

Mwaka 1994 kuanzia tarehe Saba Aprili , kwa siku 100 kulifanyika mauaji ya kimbari nchini Rwanda ambapo watu Milioni Moja waliuawa wengi wao watutsi pamoja na wahutu wenye msimamo wa kati na waTwa. Miaka 20 baada ya tukiohilo, kumbukizi maalum imefanyika wiki hii mjiniKigali,Rwandaikiwa na maudhui; Kumbuka, Ungana na Badilika. Basi katika Makala hii tunangazia [...]

11/04/2014 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Athari za Zebaki zaangaziwa

Kusikiliza / Sarah Reuben

Wiki hii Umoja wa Mataifa umeendesha mafunzo kuhusu sheria za kimataifa na athari zake ambapo suala la madhara ya matumizi ya zebaki limeangaziwa. Joseph Msami amefanya mahojiano na mmoja wa washiriki wa semina hiyo kutoka nchini Tanzania Sarah Reuben ambaye anaeleza kile kiilichojiri hususani namna nchi wanachama zinavyoweza kutekeleza makubaliano ya uokozi wa madhara ya [...]

11/04/2014 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Mashambulizi dhidi ya raia ni uhalifu wa kivita na huenda ikawa uhalifu wa kibinadamu

Kusikiliza / Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloratibu misaada ya kibinadamu, OCHA, Bi. Valeri Amos

Uhasama na mashambulizi ya kiholela dhidi ya wananchi Syria imekuwa jambo la kawaida amesema Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloratibu misaada ya kibinadamu, OCHA, Bi. Valeri Amos. Bi Amos amesema hayo baada ya shambulizi ambapo magari mawili yenye mabomu ya kutegwa yalilipuka katikati mwa mji wa Homs nchini Syria Jumanne na kusababisha vifo [...]

11/04/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Jeshi la wanamaji wa Italia laokoa maelfu ya wakimbizi katika bahari ya Mediterranean

Kusikiliza / Wafanyakazi wa UNHCR wazungumza na baadhi ya watu wanovuka Mediterranean kuelekea Italia engi wakikimbia ghasia

Shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi UNHCR linakadiria kuwa takribani watu 6000 wameokolewa na jeshi la wanamaji wa Italia katika boti zaidi ya 40 ambazo zilijaza abiria kupita uwezo wake katika mwambao wa Sicily na Calabria katika bahari ya Mediterranean katika siku nne zilizopita Kwa mujibu waUHNCR idadi kubwa ya watu hao ni watoto [...]

11/04/2014 | Jamii: Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Kumbukizi ya mauaji yakimbari Rwanda

candle

11/04/2014 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Ripoti ya mwaka 2014 ya uchumi barani Afrika yazinduliwa leo

Kusikiliza / Ripoti ya uchumi barani Afrika yazinduliwa leo

Hapa New York, leo kumefanyika uzinduzi wa ripoti ya mwaka 2014 ya uchumi barani Afrika. Taarifa zaidi na Grace Kaneiya. (Taarifa ya Grace) Uchumi Afrika, sera bora za viwanda, michakato na taasisi bunifu ndiyo jina iliyopatiwa ripoti hiyo inayotolewa kwa pamoja kila mwaka na Umoja wa Maitaifa na Muungano wa Afrika, wakati huu ikielezwa kuwa [...]

11/04/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Idadi ya watoto walio na utapiamlo huenda ikaongezeka maradufu:UNICEF

Kusikiliza / infant south sudan

Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa duniani UNICEF limeonya kwamba watoto wachanga katika taifa changa kabisa, Sudan kusini wako katika hatari ya kukabiliwa na hali mbaya ya lishe huku takriban watoto robo milioni wakitabirwa kukubwa na utapiamlo uliokithiri ifikapo mwishoni mwa mwaka huu iwapo hatua hazitachukuliwa. Tangu nchi hiyo ipate uhuru mwaka 2011, [...]

11/04/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Tanzania yaeleza mikakati ya kudhibiti ajali za barabarani

Kusikiliza / Usalama barabarani

Hapo jana baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio lenye lengo la kuimarisha usalama barabarani na kuzitaka nchi wanachama kushughulikia tatizo la usalama barabarani kwa kupitisha mifumo sahihi ya udhibiti wa ajali na kuimarisha usalama barabarani . Takwimu za shirika la msalaba mwekundu zinaonyesha kuwa watu 3,000 hufariki dunia kila siku kutokana na ajali [...]

11/04/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UM yataja wigo wa walinda amani MINUSCA na siri ya mafanikio DRC

Kusikiliza / Brigedia Jenerali Ahamed Mohammed

Jeshi la Umoja wa Mataifa la kulinda amani huko Jamhuri ya Afrika ya Kati litakuwepo maeneo yote tofauti na sasa na hivyo kudhibiti vitendo vinavyofanywa na vikundi vilivyojihami ikiwemo Anti-Balaka na Seleka vya ukatili kwa raia. Amesema Mnadhimu Mkuu wa ofisi ya Kijeshi ya Idara ya ulinzi wa amani ya Umoja wa Mataifa Brigedia Jenerali [...]

11/04/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Tunahitaji miji iliyopangwa vyema, na uwezo wa kuongeza usawa: WUF7

Kusikiliza / Dkt. Joan Clos, Mkurugenzi Mkuu wa UN-Habitat

Kongamano la 7 la Kimataifa kuhusu Makazi ya Mijini, WUF7, linahitimishwa leo Ijumaa mjini Medellin, Colombia. Kongamano hilo liliwaleta pamoja takriban washiriki elfu kumi na tano kutoka nchi 164, ambao wamekuwa wakijadili kwa wiki nzima kuhusu aina za miji inayohitajika. Kutoka Medellin, Joshua Mmali anaripoti RIPOTI YA JOSHUA Mji wa Medellin, umetoa mfano kwa washiriki [...]

11/04/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031