Nyumbani » 06/04/2014 Entries posted on “Aprili 6th, 2014”

Kujifunza pekee haitoshi, vitendo vyahitajika; Ban aieleza jamii ya kimataifa

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-Moon na mwenyeji wake Rais Paul Kagame wa Rwanda

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amewasili Kigali nchini Rwanda tayari kushiriki kumbukizi ya miaka 20 tangu mauaji ya kimbari nchini humo ambapo amepongeza uongozi wa Rais Paul Kagame ulioitoa nchi hiyo katika hali ngumu hadi maendeleo ya sasa ya kiuchumi na kijamii. Akizungumza na waandishi wa habari baada ya mazungumzo yake na [...]

06/04/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Michezo ikitumika vyema huondoa chuki na kuchochea maendeleo: UM

Kusikiliza / Mchezo wa kandanda

Ikiwa Aprili sita kila mwaka ni siku ya kimataifa ya michezo kwa amani na maendeleo, viongozi wa juu wa Umoja wa Mataifa akiwamo Katibu Mkuu Ban Ki-moon na rais wa baraza kuu John Ashe wamezungumza kuhusu siku hiyo ambapo rais wa baraza amesema ikiwa michezo itatumiwa vyema itakuza amani kuwezesha watoto na vijana, kujumuisha jamii [...]

06/04/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930