Nyumbani » 05/04/2014 Entries posted on “Aprili 5th, 2014”

Ban aitaka CAR ijizuie kutumbukia kwenye mauaji ya kimbari

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon na Rais wa mpito nchini CAR Bi. Catherine Samba-Panza baada ya kuwasili mjini Bangui, Jumamosi

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Kin Moon amewataka wananchi, viongozi wa dini pamoja na pande kinzani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR kujizuia ili kuilinda nchi yao dhidi ya kile alichokiita harufu ya mauaji ya kimbari. Ban ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na baraza la mpito la CAR mjini Bangui ambapo amesema [...]

05/04/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Huu ni wakati wa historia Afghanistan: UM

Kusikiliza / kubispolls

  Ni wakati wa kihistoria kwa Afghanistan, amesema mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini humo  Ján Kubiš  wakati taifa hilo likiwa katika mchakato wa kura ya rais na majimbo jumamosi hii. Bwana Kubiš s ambaye pia ni mkuu wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo UNAMA amesema licha ya hali mbaya [...]

05/04/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mkutano wa dunia kuhusu miji waanza leo Colombia

Kusikiliza / UNHABITAT

Hatimaye mkutano wa kimataifa kuhusu miji unaanza leo huko Medellín, Colombia, ukiwa na maudhui: Uwiano wa maendeleo mijini-Miji na maisha. Mkutano huo ni wa wiki moja na unafanyika wakati wenyeji wa mkutano huo shirika la makazi la Umoja wa Mataifa, UN-Habitat likisema kuwa mifumo ya miji ikiwemo miundombinu na uongozi inasababisha ukosefu wa usawa miongoni [...]

05/04/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031