Nyumbani » 03/04/2014 Entries posted on “Aprili 3rd, 2014”

Palestina yaomba kuungana na mikataba ya UM

Kusikiliza / Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa, Riyad Mansour

Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa amesema kwamba Umoja wa Mataifa umepokea rasmi maombi ya Palestina kuungana na mikataba tofauti 15, ikiwemo mikataba ya The Hague na ya Geneva kuhusu sheria na kanuni za vita, na pia mikataka mingine kama vile juu ya haki za watoto vitani au dhidi ya ubaguzi. Mwakilishi huyu ameongeza kwamba Umoja [...]

03/04/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Upatikanaji wa maji waimarisha kilimo Kenya

Kusikiliza / Mkulima

Ukataji wa miti kiholela na matumizi mabaya ya ardhi ni miongoni mwa mambo ambayo yanaathiri upatikanaji wa maji. Maji ni kiungo muhimu kwa kilimo lakini inakuwa changamoto kama watu wanategemea tu mvua. Basi katika makala ifuatayo ungana na Grace Kaneiya kupata ripoti kamili kuhusu mkulima Christine ambaye kupitia mradi wa maji kwa ufadhili wa IFAD [...]

03/04/2014 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Uzinduzi wa UNDAF Kenya

UNDAF kENYA

03/04/2014 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama laazimia kuimarisha ujumbe wa UNAMID

Kusikiliza / Baraza la Usalama

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataidfa, leo kwa kauli moja limepitisha azimio la kuimarisha ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika kuhusu eneo la Darfur, UNAMID, na kufanyia marekebisho majukumu yake. Joshua Mmali na taarifa kamili Taarifa ya Joshua Azimio hilo namba 2148/2014. limetokana na mswada uliowasilishwa na Australia, Ufaransa, [...]

03/04/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Idadi ya wakimbizi wa Syria nchini Lebanon yavuka Milioni Moja

Kusikiliza / wakimbizi wa Syria kwenye kituo cha usajili cha UNHCR katika kijiji cha Jeb Janeen nchini Lebanon. (Picha: UNHCR)

Nchini Lebanon, kati ya watu 1000, watu 220 ni wakimbizi kutoka Syria, hizo ni takwimu zilizotolewa leo na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR wakati huu ambapo idadi ya wakimbizi hao imevuka Milioni Moja. UNHCR inasema miaka mitatu tangu kuanza kwa mzozo huo Lebanon imekuwa na idadi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani [...]

03/04/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Bado usaidizi kwa Malaria hautoshelezi: Ban

Kusikiliza / Katibu Mkuu akichunguza chandarua Malawi

Mkutano wa viongozi wa Muungano wa Afrika kuhusu ushirikiano wa kutokomeza malaria umefanyika Brussels, Ubelgiji ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon, ametoa wito kwa wadau mbalimbali kufadhili vita dhidi ya malaria. Taarifa zaidi na Priscilla Lecomte. (Taarifa na Priscilla ) Katibu Mkuu ametumia msemo kwamba afya ni utajiri akisisitiza kuwa kupambana [...]

03/04/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Hali ya usalama imeimarika mjini Bangui:UM

Kusikiliza / Ramana ya CAR

Hali ya usalama mjini Bangui mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR imeimarika katika siku za hivi karibuni licha ya kwamba matukio kadhaa ya kuhatarisha usalama yanashuhudiwa mara kadhaa. Katika mahojiano na idhaa hii Jean Piere Ramazani wa radio ya Umoja wa Mataifa idhaa ya kifaransa amesema licha ya kwamba hali bado ni [...]

03/04/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNFPA yaungana mkono na wadau kukabiliana na ndoa za utotoni Tanzania

Kusikiliza / Mama na mwanawe (picha ya UNFPA)

Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu, UNFPA limetiliana saini na taasisi ya Graça Machel na ile ya utu kwa mtoto CDF makubaliano yakupinga ndoa za utotoni nchini Tanzania. Taarifa zaidi na Assumpta Massoi. (Taarifa ya Assumpta) Makubaliano hayo yamefanyika wakati Tanzania ikiwa ni miongoni mwa nchi 41 duniani zenye idadi kubwa ya [...]

03/04/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

WFP kugawa fedha badala ya chakula Uganda

Kusikiliza / Wakimbizi wa DRC walioko nchini Uganda katika kambi (picha ya maktaba)

Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) nchini Uganda litaanza kutoa pesa kwa wakimbizi badala ya chakula ili waweze kujinunulia chakula wanachotaka. Mpango huo unawalenga  wakimbizi  ambao wameishi ukimbizini kwa muda mrefu. John Kibego wa radio wahsirika ya Spice FM,Ugandana taarifa kamili. (Tarifa ya John KIibego) Mpango huo utatekelezwa katika kambi za wakimbizi magharibi mwa [...]

03/04/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031