Nyumbani » 01/04/2014 Entries posted on “Aprili 1st, 2014”

Ban akutana na ujumbe wa serikali ya Sudan Kusini

Kusikiliza / Mwananchi akipeperusha bendera ya Sudan Kusini

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon, amekutana na kufanya mazungumzo na wajumbe wa serikali ya Sudan Kusini mjini Brussels, Ubeljiji, pembezoni mwa mkutano wa Muungano wa nchi za Ulaya na Afrika. Ujumbe huo wa Sudan Kusini uliongozwa na Waziri katika Ofisi ya rais, Awan Guol Riak na Waziri wa Masuala ya Kigeni na [...]

01/04/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Mkurugenzi wa UNESCO alaani kuuawa kwa mwandishi wa habari Misri

Kusikiliza / stop killing journalists2

Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Irina Bokova, amelaani kuuawa hivi karibuni kwa  Mayada Ashraf, aliyekuwa mwandishi wa habari wa Misri. Bi Bokova amesema anataraji kuwa serikali ya Misri itafanya lolote liwezekanalo kusaka watekelezaji wa kitendo hicho na kuwapeleka kuwafikisha mbele ya sheria, akiongeza kwamba waandishi wa [...]

01/04/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Wote ni wazee watarajiwa: Kamishna ustawi wa jamii Tanzania

Kusikiliza / maslahi ya wazee

Ikiwa jukwaa la kijamiii la haki za binadamu linakutana mjini Geneva katika mkutano wa siku tatu ambao utalenga kujadili haki za wazee ikiwemo mifumo kuhusu kundi hili watetezi wa haki za wazee wanasema Ni muhimu kundi hilo litahiminiwe. Katika mahojiano maalum na Joseph Msami wa idhaa kamishna mkuu wa ustai wa jamii nchini Tanzabia Dunford [...]

01/04/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Umoja wa Mataifa, washirika wahaha kunusuru watoto yatima Sudan Kusini

Watoto yatima nchini Sudan Kusini

Wakati mapigano yakiendelea kuripotiwa huo Sudan Kusini Umoja wa Mataifa na washirika wanafanya kila wawezalo kunusuru watoto hususani yatima amabo huteseka zaidi kutokana na kutengana na familia zao wakati zikihaha kunusuru maisha yao. Ungana Joseph Msami katika makala inayoangazia juhudi hizo katika taifa changa lililotumbukia katika mizozo.

01/04/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Mauaji ya kimbari yanaweza kuathiri sehemu yoyote duniani: Ban

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika kaongamano mjini Bussels, Ubelgiji

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban ki-Moon, ametoa wito ulinzi zaidi utolewe kwa watu walio katika hatari ya kufanyiwa mauaji ya kimbari. Bwana Ban amesema hayo leo katika kongamano la kimataifa kuhusu uzuiaji wa mauaji ya kimbari, mjiniBrussels, Ubeljiji. Joshua Mmali ana taarifa kamili (Taarifa ya Joshua) Bwana Ban amesema Umoja wa Mataifa sasa [...]

01/04/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wakuu wa WFP na UNHCR wasikitishwa na walichoshuhudia Sudan Kusini

Kusikiliza / Mapigano yanayoendelea Sudan Kusini yameleta madhila makubwa ikiwemo njaa kwa wakazi hususan wanawake na watoto. (Picha-WFP)

Wakuu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa wameonya kuwa janga linaloendelea Sudan kusini linaweza kuhatarisha maisha ya mamilioni ya watu katika miezi michache ijayo iwapo hakuna hatua za dharura zitakazochukuliwa kumaliza mgogoro unaoendelea na kusaidia raia wanaohaha kujikwamua. Viongozi hao ni Kamishna mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR Antonnio Guterres [...]

01/04/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Utatuzi wa mizozo watawala mazungumzo kati ya Ban na Waziri Mkuu Di Rupo

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon na Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Elio Di Rupo. (Picha-UM)

Nimetoa shukrani zangu za dhati kwa Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Elio Di Rupo kwa vile ambavyo serikali yake inasaidia Burundi na wadau wengine kutatua kwa amani tofauti zinazojitokeza wakati huu nchi hiyo inajiandaa kwa uchaguzi mkuu mwakani. Ni kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon alipozungumza na waandishi wa habari mjini Brussels [...]

01/04/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Vifaa vya kujikinga dhidi ya Ebola vyafika Guinea: WHO

Kusikiliza / WHO/T. Jasarevic

Shirika la Afya Duniani, WHO, limeanza kugawa vifaa vya kujikinga dhidi ya ugonjwa Ebola kwenye vituo vya afya, nchini Guinea.Taarifa ya Priscilla (Taarifa ya Priscilla) Zaidi ya tani Tatu na Nusu ya vifaa vimewasilishwa Conakry, mji mkuu wa Guinea, tarehe 30 mwezi Machi, zikiwemo nguo za kuvaa mara moja na madawa, kwa ajili ya kujikinga [...]

01/04/2014 | Jamii: Ebola, Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Jukwaa la kijamii la haki za binadamu kukutana Geneva

Kusikiliza / Baraza la haki za binadamu

Jukwaa la kijamiii la haki za binadamu linakutana mjini Geneva katika mkutano wa siku tatu ambao utalenga kujadili haki za wazee ikiwemo mifumo kuhusu kundi hili. Jukwaa hili la kijamii ambalo hukutana mara moja kwa mwaka huendesha mijadala ya wazi inayoleta pamoja wawakilishi wa serikali , asasi za kiraia ikiwamo mashirika kutoka mashinani na asasi [...]

01/04/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Sasa tugeukie vitendo ili kusaidia watu wenye ulemavu wa akili: Kongamano

Kusikiliza / Mmoja wa watoto aliyeshiriki katika ujumbe wa siku ya ulemavu wa akili, Umoja wa Mataifa(picha ya UM)

  Wakati dunia ikijiandaa kuadhimisha siku ya kuelimisha umma kuhusu matatizo ya ulemavu wa akili au Autism Aprili pili , hii leo kumefanyika kwenye Umoja wa Mataifa kikao cha ngazi ya juu kubadili uhamasishaji kuhusu ugonjwa huo kuwa vitendo. Kabla ya kuwasilishwa mada mbali mbali, video yenye ujumbe wa watoto na Katibu Mkuu Ban Ki-Moon [...]

01/04/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mapigano mapya CAR yazidisha machungu kwa raia

Kusikiliza / Kutwa kucha maisha ya wananchi wa CAR ni  ya barabarani kutokana na kukimbia mapigano yanayoendelea. (Picha-UNHCR)

Umoja wa Mataifa umeeleza kusikitishwa kwake na hali mpya ya mapigano huko Jamhuri ya Afrika ya Kati ukitaka hatua za haraka kuchukuliwa kutekeleza ombi la Katibu Mkuu la kuimarisha vikosi vya ulinzi wa amani. Assumpta Massoi na taarifa zaidi. (Taarifa ya Assumpta) Amkani si shwari tena kwenye mji mkuu Bangui, ndivyo ofisi ya haki za [...]

01/04/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031