Mama yangu alisimama kidete kuhakikisha naendelea na shule: Hajjat Amina

Kusikiliza /

Watoto darasani

Mama yangu asingalisimama kidete na kuisihi serikali inigharimie shule, nisingalikuwa hapa, ni kauli ya Kamishna wa senseTanzaniamwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho Saidi aliyotoa alipozungumza na Idhaa hii kuhusu siku ya wanawake duniani akimulika fursa aliyoipata na kuitumia vyema. Akiwa ni mwenyeji wa Monduli, Arusha,akitoka familia ya watoto 25 Hajjat Amina anasema akiwa alifaulu kwenda Sekondari haj lakini wazazi wake hawakuwa na uwezo wa kumlipia karo.

(Sauti ya Hajjat Amina Mrisho Saidi)

 Akiangazia usawa kwa wanawake na maendeleo, mtakwimu wa kwanza wa serikali mwanamke Afrika Mashariki  Dokta Albina Chuwa, yeye anaweka jukumuhilokwa wanawake kwanza, halafu liweze kutandaa kwa jamii nzima.

(Sauti ya Dokta Albina Chuwa)

 

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Oktoba 2017
T N T K J M P
« sep    
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031