Hatudhibiti rasi ya Crimea: Balozi Sergeyev

Kusikiliza /

Balozi Yuriy Sergeyev

Mwakilishi wa kudumu waUkrainekwenye Umoja wa  Mataifa Yuriy Sergeyev amesema nchi yake haidhibiti eneo liitwalo Crimea na badala yake Urusi ndiyo inayotawala eneo hilo.

Akizungumza na waandishi wa habari mjiniNew Yorkmuda mfupi baada ya kikao cha baraza la usalama la Umoja wa Mataifa lililojadili kuzorota kwa usalama Crimea nchiniUkraine. Balozi  Sergeyev amesema licha ya kwamba inaonekana kimtizamo kuwa nch yake inatawala eneohilolakini hiyo ni nadharia pekee.

 " Hatudhibiti eneo hili, eneo lote linatawaliwa na Warusi kwa jeshi na au kwa msaada toka vikundi vya Urusi. Kwa hiyo alama hizi nyeupe uzionazo ni mtizamo kwamba rasi yote ya Crimea inadhibitiwa na Ukraine lakini ni Warusi . Ndiyo maana hatuwezi kuhakikisah kwamba hali ni shwari licha ya ukweli kwamba watu wanajaribu kuishi kwa usahihi.

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Oktoba 2017
T N T K J M P
« sep    
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031