Nyumbani » 27/03/2014 Entries posted on “Machi 27th, 2014”

Mpigano yaendelea Darfur, mamlaka Sudan zatakiwa kulinda raia na watoa misaada

Kusikiliza / Mwanamke akijificha na mwanae katika kibanda katika kambi  itwayo Al Salaam, Sudan. (Picha na Albert Farran)

Mamlaka nchiniSudanzimetakiwa kuchukua hatua mathubuti kulinda raia na wafanyakazi wa misaada ya kiutu wakati huu ambapo machafuko yanaendeleaDarfur Wito huo umetolewa na maafisa wa Umoja wa Mataifa na muungano wa Afrika ambao wamesema wanasononeshwa na kuendelea kwa machafuko katika ukanda huo. Katika mkutano na waandishi wa habari mjini New York msemaji wa Umoja wa Mataifa [...]

27/03/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Afghanistan yasifiwa kwa maandalizi ya uchaguzi

Kusikiliza / Mkuu wa operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa Hervé Ladsous

Mkuu wa Operesheni za Ulinzi wa Amani katika Umoja wa Mataifa, Hervé Ladsous, amesema Umoja wa Mataifa unashikamana na watu wa Afghanistan wakati huu muhumu wanapoenda kwenye uchaguzi wa urais na viongozi wa mabaraza ya mikoa. Bwana Ladsous amesema Umoja wa Mataifa unawaunga mkono raia wengi wa Afghanistan, ambao wanatarajia kupiga kura, akiongeza kuwa ni [...]

27/03/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mke wa Raisi wa China ateuliwa kama mwakilishi maalum wa UNESCO

Kusikiliza / Peng Liyuan na Irina Bokova, Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO

  Peng Liyuan, ambaye ni mwanamuziki maarufu na pia mke wa raisi wa China, ameteuliwa kama mwakilishi maalum wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, kuhusu mwendeleo wa elimu kwa wanawake na watoto wa kike. Akizungumza wakati wa kumteua Peng Liyuan huko Paris, Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Irina Bokova, amesema [...]

27/03/2014 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Jeshi la Somalia laendesha operesheni ya kuwasaka Al shabaab

Kusikiliza / Wanajeshi Somalia katika operesheni

Mfululizo wa matukio ya kigaidi yameendelea kuripotiwa nchini Somalia likiwemo la hivi karibuni zaidi ambapo wazee wa nane wa koo nchini humo waliuwawa huku kundi la kigaidi la Al shabaab likikiri kuhusika katika tukio hilo. Jeshi la Somalia kwa kushirikiana na vikosi vya muungano wa Afrika AMISOM liko katika operesheni kali ya kutokomeza mtandao wa [...]

27/03/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Baraza kuu lapitisha azimio kupinga Crimea kujitenga na Ukraine

Kusikiliza / Rais wa Baraza Kuu John William Ashe

Baada ya nchi wanachama kujadili na kueleza misimamo yao kuhusu azimio la kutetea na kulinda mipaka ya Ukraine kutokana na tukio la hivi karibuni la Crimea kupiga kura ya maoni na kujitenga na Ukraine huku ikielekea Urusi, kura zimepigwa na baraza kuunga mkono azimio hilo. Azimio lilikuwa linapinga kura ya maoni na kutaka nchi wanachama [...]

27/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wajumbe wa Baraza Kuu waendelea kuchangia rasimu ya azimio kuhusu uzingatiaji wa mipaka ya Ukraine

Kusikiliza / baraza

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa linaendelea na kikao cha wazi kikiangazia kuzuia majanga ya kivita, kwa kuimarisha dhima ya usuluhishi kwa kutatua migogoro kwa njia ya amani. Katika kikao hicho imewasilishwa rasimu ya azimio kuhusu uzingatiaji mipaka ya Ukraine ikitajwa kuwa hivi karibuni mipaka ya nchi hiyo imeingiliwa na nchi nyingine. Azimio hilo linaeleza [...]

27/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mtaalamu aonya haki bila upendeleo ndiyo mwarobaini wa Cote d'Ivoire

Kusikiliza / Doudou Diène

Mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu nchini Cote d'Ivoire Doudou Diène ameelezea kusikitishwa kwake na kile alichokiita kutokamilika kwa mchakato wa taifa wa maridhiano nchini humo inapoelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015. Bwana Diène amesisistiza kuwa ni muhimu kuwepo na haki bila upendeleo kwa wote katika nchi ambayo ilikumbwa na sintofahamu baada [...]

27/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

ICTR kukamalisha kazi zake mwakani

Kusikiliza / Nembo ya ICTR

  Pamoja na kukumbuka miaka ishirini ya mauaji ya kimbari Rwanda, Mahakama ya kimataifa ya Uhalifu nchini humo, ICTR, inafikia miaka ishirini ya kazi zake na kutarajia kukamilisha majukumu yake. Priscilla Lecomte na ripoti kamili. (Taarifa ya Priscilla ) Wakizungumza mbele ya waandishi wa habari, Msaidizi wa Katibu Mkuu na Msajili wa ICTR, Bwana Bongani [...]

27/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mikakati ya maendeleo yapigwa jeki Kenya:UNDAF

Kusikiliza / Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa masuala ya mawasiliano  na taarifa kwa umma Peter Launsky-Tieffenthal akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta, Ikulu Nairobi. (Picha-UNIC-Kenya)

Umoja wa mataifa na Serikali ya Kenya zimetia saini mkataba wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya mikakati ya maendeleo UNDAF, ambapo Kenya itapokea Shilingi Bilioni 102 kwa ajili ya mikakati ya maendeleo kwa kipindi cha miaka minne. Akizungumza wakati wa hafla hiyo iliofanyika Ikulu mjini Nairobi Kenya, Mwakilishi mkaazi wa Umoja wa Mataifa nchini [...]

27/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Polio yatokomezwa Kusini-Mashariki mwa Asia: WHO

Kusikiliza / polio asia

Nchi za Ukanda wa Kusini-Mashariki mwa Asia zimetangazwa rasmi kuwa zimetokomeza ugonjwa wa Polio, na hiyo ni kwa mujibu ripoti ya shirika la afya duniani WHO. Taarifa zaidi na Assumpta Massoi. (Taarifa ya Assumpta) Ukanda huo una nchi 11 ambazo ni Bangladesh, Bhutan, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea, India, Indonesia, Maldives, Myanmar, Nepal, [...]

27/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Tarehe ya kusikiliza iwapo Goudé ana kesi ya kujibu yapangwa

Kusikiliza / Charles Blé Goudé

Kesi dhidi ya mtuhumiwa wa makosa ya uhalifu wa kivita nchini Côte d’Ivoire, Charles Blé Goudé itaanza kusikilizwa kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu huko ICC The Hague, Uholanzi tarehe 18 Agosti 2014 ambapo mahakama iwapo itaamua kama ana mashtaka ya kujibu au la. Kutangazwa kwa tarehe hiyo kunafuatia kufika mahakamani kwa mara ya kwanza [...]

27/03/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031