Nyumbani » 26/03/2014 Entries posted on “Machi 26th, 2014”

Wanajeshi 20 wauawa Yemen: UM walaani

Kusikiliza / Sylvie Lucas, mwakilishi wa kudumu wa Luxembourg

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelaani vikali shambulio lililotokea sehemu ya Hadramawt, Yemen, lililosababisha wajeshi 20 kupoteza uhai. Baraza lilirejelea wito kwa nchi zote za Umoja wa Mataifa kushirikiana na serikali ya Yemen ili watekelezaji wa tukio hilo wahukumiwe. Wanachama wote wa Baraza la Usalama wamepeleka rambirambi zao kwa familia za wahanga wa [...]

26/03/2014 | Jamii: Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Mabadiliko ya tabianchi ni dhahiri, tuchukue hatua: Ban asema hayo huko Greenland

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon alipowasili mji wa Uummanaq akiwa na Waziri Mkuu wa Denmark Aleqa Hammond.

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa aliyeko ziarani huko Greenland ameeleza wasiwasi wake juu ya kasi ya kuyeyuka kwa barafu kwenye nchi hiyo iliyofunikwa kwa barafu na theluji. Akizungumza mjini Ummannag katika mkutano na waandishi wa habari uliohudhuriwa pia na Waziri Mkuu wa Denmark, Aleqa Hammond, Bwana Ban amesema pamoja na kuvutiwa na ukaribu na [...]

26/03/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Uhaba wa maji wamulikiwa nchini Tanzania

Kusikiliza / Mfereji

  Dunia ikiwa imeangazia umuhimu wa maji kwa siku maalum hivi karibuni, upatikanajai wa maji bado ni changamoto kubwa katika nchi zinazoendelea mathalani Tanzania ambapo jamii nyingi hazipati maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na kazi nyinginezo. Ungana na Muhamed Hammie kutoka radio washirika Panganai Fm iliyoko Tanga Tanzania anayeangazia uhaba wa maji mkoani [...]

26/03/2014 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

UM waonya kuzorota kwa usalama CAR

Kusikiliza / Babakar Gaye, Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

Jamhuri ya Afika ya Kati inapewa fursa ya mwisho kukomesha machafuko , ameonya Babakar Gaye, Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu nchini humo. Akizungumza na waandishi wa habari siku ya leo, Bwana Gaye amelaani mashambulizi yaliyotokea dhidi ya wanajeshi walinda amani  na vitisho vya vifo kwa wafanyakazi wa umoja wa mataifa kwa misingi ya imani za [...]

26/03/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Tamko la serikali Kenya kuhusu wakimbizi lazua hofu:UNHCR

Kusikiliza / Kambi ya Dadaab inayohifadhi wakimbizi wengi zaidi kutoka Somalia(picha ya UNHCR)

Kenya ni moja ya nchi ambayo inahifadhi wakimbizi. Katika siku za hivi majuzi kumekuwa na maswala yanayoibuka kuhusu uhusiano wa uwepo wa wakimbizi katika maeneno tofauti na hali ya usalama nchini humo. Katika mahojiano maalum na Idhaa hii Joseph Msami amezungumza na msemaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi UNHCR nchini Kenya Abel [...]

26/03/2014 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Sierra Leone tumeimarika sasa tunasonga mbele: Waziri Kamara

Kusikiliza / Waziri wa Mambo ya nje wa Sierra Leone  Samura Kamara

Safari ya miaka 15 ya Umoja wa Mataifa kusaidia ujenzi wa amani nchini Sierra Leone baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe imefikia ukingoni mwishoni mwa mwezi huu na hii leo Baraza la Usalama limepokea ripoti ya Katibu Mkuu kuhusu majukumu yaliyotokelewa na changamoto zilizobakia baada ya hatua hiyo. Mathalani ripoti hiyo inataja mafanikio yaliyopatikana [...]

26/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Siku ya Ushairi duniani Machi 21

unesco poetry

26/03/2014 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Ban alaani mauaji ya mlinzi kutoka Iran

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amelaani vikali mauaji ya mlinzi wa mpaka kutoka Iran na kundi la wanamgambo. Mlinzi huyo alikuwa mmoja wa walinzi watano ambao walitekwa nyara na kundi hilo kusini mashariki mwa mpaka mapema mwezi Februari. Katika taarifa iliotolewa na msemaji wake Katibu Mkuu ameelezea mshikamano wake na serikali na [...]

26/03/2014 | Jamii: Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Vietnam yaombwa isitishe kuwafukuza wakaazi

Kusikiliza / Maeneo ya makaazi ya mabanda Hanoi, Viet Nam Juni 21 2011. (picha ya UM/Kibae Park)

Wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za bindamu wametolea wito serikali yaVietnam kuingilia kati na kusitisha shughuli za kuwafukuza wakaazi wa kijiji kidogo katikati mwa nchi. Wakaazi wa kijiji hicho kilichoko nje kidogo mwa mji waDa Nangni moja ya nyumba takriban 100 ambapo wakaazi wameamrishwa kuondoka au makaaziyaoyabomolewe. Wataalam hao wamesema kuwa ufukuzaji [...]

26/03/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Jaribio la tahadhari ya Tsunami kufanyika leo Ukanda wa Karibia

Kusikiliza / Jaribio la tahadhari ya Tsunami kufanyika leo Karibia kwa uandalizi wa UNESCO

  Siku ya leo, zaidi ya nchi 31 zinashirikiana katika zoezi maalum la tahadhari ya tsunami, ukanda wa Karibia. Jaribio hilo limeandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, kupitia Kamisheni ya Kiserikali ya Elimu ya Bahari. Taarifa kamili na  Priscilla Lecomte (TAARIFA YA PRISCILLA) Jaribio hilo lilitakiwa kufanyika leo [...]

26/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kamisheni kusaidia mchakato wa mpito wa ofisi ya UM Burundi

Kusikiliza / Kikao cha Baraza Kuu (picha ya maktaba)

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo limekuwa na kikao cha wazi kuhusu utendaji wa Kamisheni ya umoja huo kuhusu ujenzi wa amani yenye jukumu la kuratibu ofisi za ujenzi wa amani kwenye maeneo baada ya mizozo. Taarifa zaidi na Assumpta Massoi: (Taarifa ya Assumpta) Katika kikao hicho, wajumbe walisomewa ripoti ya utendaji ya kamisheni [...]

26/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNHCR nchini Kenya yashtushwa na tamko la serikali

Kusikiliza / Kambi ya wakimbizi Dadaab Kenya

Shirika la umoja wa Mataifa la wakimbizi UNHCR nchini Kenya limesema limeshtushwa na taarifa ya serikali ya nchi hiyo ya kuwataka wakimbizi wote walioko nchini humo kurejea kambini. Katika mahojiano maalum na idhaa hii msemaji wa shirika hilo Abel Mbilinyi amesema kufuatia hatua hiyo UNHCR inatarajia kufanya mazungumzo na serikali ya Kenya kwani hatua hiyo [...]

26/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban Ziarani Greenland kutathmini athari za mabadiliko ya tabianchi

Kusikiliza / Picha hii ilichukuliwa kwa ndege wakati Katibu Mkuu Ban Ki-moon akiwasili Kangerlussua akielekea Ilulissat greenland

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, ban Ki-Moon, yuko ziarani nchini Greenland kufanya tathmini ya athari za mabadiliko ya tabianchi, kabla ya mkutano wa mkuu kuhusu mabadiliko ya tabia nchi mnamo mwezi Septemba. Joshua Mmali na taarifa kamili (TAARIFA YA JOSHUA) Katika ziara hiyo, Bwana Ban anautembelea wa Ilulissat, ulioko kilomita 250 kutoka kwa mzunguko [...]

26/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mradi wa Panyabuku waleta ustawi kwa wanawake China

Kusikiliza / Kilimo cha panyabuku

Maisha ya wanawake maskini kwenye maeneo ya vijijini nchini China yamebadilika na kuwa bora kutokana na mradi wa ufugaji panyabuku ulioratibiwa na Shirika la kimataifa la maendeleo ya kilimo, IFAD. Kupitia mradi huo wanawake hao walipatiwa stadi za ufugaji wanyama hao ambao ni kitoweo cha hali ya juu nchini China. IFAD inasema mradi ulianza mwaka [...]

26/03/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Pillay ataka tume huru kuchunguza uvunjifu wa haki za binadamu Sri Lanka

Kusikiliza / Navi Pillay

Wito umetolewa kwa kutumwa kamishna huru ya kimataifa ili kuchunguza madai ya kuwepo kwa uvunjifu wa haki za binadamu nchini Sri Lanka ambayo ilikumbwa na machafuko ya kiraia yaliyokoma Mai 2009. Taarifa zaidi na George Njogopa. (Taarifa ya George) Wito huo umetolewa na Kamishna wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa Navi Pillay ambaye [...]

26/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031