Nyumbani » 22/03/2014 Entries posted on “Machi 22nd, 2014”

Ban akutana na Waziri Mkuu wa Ukraine

Kusikiliza / Ban na Yatsenyuk

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ukraine, Arseniy Yatsenyuk mjini Kyiv. Wametathmini kuhusu hali ya sasa nchini Ukraine na ukanda mzima. Katibu Mkuu amempongeza Waziri huyo Mkuu kwa hotuba yake ya hivi karibuni ambapo alitoa wito kuwepo harakati  jumuishi za kisiasa nchini Ukraine. Bwana [...]

22/03/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mahitaji ya maji yaongezeka kutokana na mahitaji ya nishati

Kusikiliza / Siklu ya maji duniani

  Umoja wa Mataifa unaadhimisha tarehe 22 siku ya kimataifa ya maji, ikilenga jinsi maji na nishati zinaambatanishwa. Chombo kinachoratibu masuala ya maji na usafi katika umoja wa mataifa, UN Water, kimesema kwamba maji yanahitajika katika kutengeneza aina zote za nishati. Pia nishati inahitajika kwa upatikanaji na usafishaji wa maji. UN Water imeongeza kuwa ongezeko [...]

22/03/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930