Nyumbani » 21/03/2014 Entries posted on “Machi 21st, 2014”

CSW58 yafunga pazia: Shina Inc. yapigia chepuo ubia na elimu kwa jamii kuhusu tamaduni

Kusikiliza / Ujumbe wa Shina Inc. kwenye mkutano wa CSW58 kwenye Makao Makuu ya UM mjini New York.

Baada ya takribani wiki mbili za vikao kuhusu hali ya wanawake duniani na mustakhbali wa kundi hilo baada ya ukomo wa malengo ya maendeleo ya milenia hapo mwakani na ajenda ya maendeleo endelevu inayofuatia, washiriki wamekuwa na maoni kuhusu mkutano huo uliokutanisha wanawake, wanaume na vijana kutoka kona mbali mbali za dunia. Miongoi mwao ni [...]

21/03/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki, Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

CSW58 Kutoka Kenya

cecily mbarire

21/03/2014 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Liberia na siku ya Furaha duniani

Furaha-300x257

21/03/2014 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Umoja wa Mataifa walaani shambulio hotelini mjini Kabul

Kusikiliza / Nembo ya UNAMA

Ofisi ya Umoja wa Mataifa Afghanistan UNAMA imeshutumu vikali shambulio la jana usiku lililotokeaSerena Hotel, mjini Kabul, ambapo watu tisa waliuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa. Shambulio hilo, linalodaiwa kuhusishwa na Taliban, limetekelezwa siku moja kabla ya maadhimisho ya tamasha la Nowruz, ambapo, kwa mujibu wa UNAMA, ni wakati wa kuweka amani na mshikamano katika jamii. [...]

21/03/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ashley alikataa hali yake ya kiafya kukwamisha ndoto zake za maisha:

Kusikiliza / #WDSD14

Bado watu wenye mtindio wa ubongo wanakumbwa na unyanyapaa na kunyimwa huduma za afya ya kuboresha ustawi wao kinyume na ibara ya 25 ya mkataba wa kimataifa wa haki za watu wenye ulemavu. Hayo yamewekwa bayana wakati wa tukio maalum la siku ya kimataifa yamtindio wa ubongo liliofanyika kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa, [...]

21/03/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Wabunge wanawake kutoka Kenya wasema wanataka usawa wa kijinsia katika uongozi

Kusikiliza / Makamu mwenyekeiti wa wabunge wanawake nchini Kenya Zeinab Chidzuga

  Mkutano unaoangazia hali ya mwanamke CSW ukiwa unafikia kilele chake leo mjiniNew York, wanawake wabunge kutokaKenyawamesema moja ya changamoto kubwa ambayo nchiyaoinakabiliwa ni kuongezeka kwa nafasi ya wanawake katika maamuzi kwa kuwashirikisha katika vyombo vya kisiasa pamoja na utamaduni unaokandamiza kundihilo. Katika mahojiano maalum na Joseph Msami wa idhaa hii wanawake hao wanaowakilisha taasisi [...]

21/03/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Mahakama ya ICJ itathmini uwepo wa Israel kwenye maeneo ya Palestine: Richard Falk

Kusikiliza / Richard Falk

    Mtaalam huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu maeneo ya Wapalestina yalokaliwa, Richard Falk, ametoa wito kwa mahakama ya kimataifa ya haki, ICJ, itathmini hali ya Israel kuendelea kuwepo kwenye maeneo ya Palestina, na madai kuwa hali hiyo ina sifa za ukoloni, ubaguzi wa rangi na uangamizaji ya kimbari. Amesema hatua maalum zinatakiwa kuchukuliwa [...]

21/03/2014 | Jamii: Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Ugonjwa wa Kifua Kikuu waangaziwa nchini Kenya

Kusikiliza / Machi 24 ni siku ya kifua kikuu duniani

Machi 24 ni siku ya kifua kikuu duniani. Siku hii imetengwa kwa ajili ya kuhamashisha na kuleta uelewa kuhusu mzigo wa kifua kikuu na jinsi ya kukabiliana na ugonjwa huu. Kauli mbiu ya mwaka huu ni "Fikia watu hao milioni 3". Shirika la afya duniani WHO linasema kwamba ijapokuwa ugonjwa wa kifua kikuu unatiba lakini [...]

21/03/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Ongezeko la usafirishaji wa madawa ya kulevya Afrika Magharibi laangaziwa.

Kusikiliza / Rais Obasanjo katika mkutano wa kupinga madawa ya kulevya

Wakati mkutano kuhusu madawa ya kuleya na athari zake ukiendelea mjini Vienna Austria, usafirishaji wa madawa hayo aina ya cocaine unasalia changamoto kubwa na kumekuwa na ongezeko la kiwango cha usafirishaji wa madawa meingine aina ya heroin katika ukanda huo tangu mwaka 2010. Hayo ni sehemu ya yaliyojitokeza katika tukio lililoongozwa na kamisheni ya kupinga [...]

21/03/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kuzingatia mchango wa Mandela kutasaidia kutokomeza ubaguzi

Kusikiliza / Ujumbe wa Katibu Mkuu wa UM kwa siku ya kimataifa ya kupinga ubaguzi wa rangi

Katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga ubaguzi, Umoja wa Mataifa unatoa wito kwa watu wote duniani hususan viongozi wa kisiasa, kidini na watetezi wa haki za kiraia kuimarisha mchango wa Hayati Mzee Nelson Mandela za kupiga vita ubaguzi wa rangi na chuki. Katika ujumbe wake katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amesema [...]

21/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Watu Bilioni 1.6 hutegemea misitu kuishi, lazima tuitunze: UM

Kusikiliza / Leo ni siku ya misitu

Leo ni siku ya kimataifa ya misitu na miti, ambapo siku hii imetengwa kwa ajili ya kushawishi serikali na wadau kulinda misitu huku wakiimarisha maisha ya wanaotegemea maliasili hiyo ambayo ni theluthi moja ya ardhi duniani kote. Taarifa zaidi na Priscilla Lecomte. (Taarifa ya Priscilla) Katika ujumbe wake kwa siku hii Raisi wa Baraza Kuu [...]

21/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Msafara wa malori ya misaada waingia Syria

Kusikiliza / Misaada yawasili nchini Syria

Msafara wa malori ya mashirika ya kutoa misaada umeingia Syria hapo jana Alhamis kutoka Uturuki, ukipitia mpaka wa Nusabin-Qamishi. Miongoni mwa msafara huo ni malori malori 11 yalobeba mahema na vifaa vingine kutoka Shirika la Kimataifa la Uhamiaji, IOM, na malori 27 yalosheheni tani 650 za chakula kutoka Shirika la Mpango wa Chakula Duniani, WFP. [...]

21/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

CSW58 yafikia ukingoni, lengo namba 8 lapigiwa chepuo:

Kusikiliza / Washiriki katika moja ya matukio ya vikao vya CSW58 mjini New York.

Wakati pazia la mkutano wa 58 wa Kamisheni ya hali ya wanawake duniani linafungwa hii leo hapa New York, lengo namba nane kuhusu ubia kwa maendeleo limeangaziwa ambapo washiriki wamesema ubia utawezesha kufahamu mbinu mbadala zaidi zinazotumiwa na wengine kuokoa wanawake kutoka lindi la umaskini na tamaduni zinazowakandamizi bila wao kufahamu. Washiriki hao ni pamoja [...]

21/03/2014 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Ban yuko Ukraine, Šimonović awasili Crimea

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-moon akiwa na Oleksandr Turchynov, anayeshikila urais Ukraine.

Harakati zote za kidiplomasia zinaendelea kutumika kupatia suluhu mzozo kati ya Ukraine na Urusi juu ya jimbo la Crimea ambapo hii leo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amekuwa na mazungumzo na viongozi wa Ukraine baada ya kukutana na viongozi waandamizi wa Urusi mjini Moscow siku ya Alhamisi akiwemo Rais Vladmir Putin. Taarifa [...]

21/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wakimbizi na wenyeji wagombea rasilimali Sudan Kusini, UNHCR yatiwa hofu

Kusikiliza / Mfanyakazi wa UNHCR akizungumza na wakazi wa jimbo la Upper Nile State.

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR linasema lina hofu kubwa juu ya ghasia mpya zinazoibuka kutokana na uhaba wa chakula na maeneo ya malisho huko eneo la Maban jimbo la Upper Nile nchini Sudan Kusini. Taarifa zaidi na Grace Kaneiya. (Taarifa ya Grace) UNHCR inasema kumeibuka mvutano kwenye eneo hilo kati ya [...]

21/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031