Nyumbani » 20/03/2014 Entries posted on “Machi 20th, 2014”

Ugunduzi wa mafuta Uganda na hatma ya msitu wa Bujaawe yaangaziwa

Kusikiliza / Misitu uganda

Tarehe 21 Machi ni siku ya Misitu duniani ambapo Umoja wa Mataifa kupitia Katibu Mkuu Ban Ki-Moon unarejelea wito wa kutaka kutunzwa kwa rasilimali hiyo adhimu kwa maslahi ya dunia zima. Bwana Ban anasema ni vyema kila mtu kutambua na kuzingatia umuhimu wa misitu na kuitumia kiuendelevu kwani athari za matumizi mabaya ya maliasili hiyo [...]

20/03/2014 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Mradi wa EXPAND-TB waleta nuru katika vita dhidi ya Kifua Kikuu Tanzania: Dkt. Mleoh

Kusikiliza / tblogo

Wakati dunia ikijiandaa kuadhimisha siku ya Kifua Kikuu duniani tarehe 24 mwezi huu, nchini Tanzania harakati za kupambana na ugonjwa huo ikiwemo Kifua Kikuu sugu zinaanza kuzaa matunda. Nuru hiyo inatokana na mradi wa shirika la afya duniani, WHO unaolenga nchi 27 ikiwemo Tanzania ambako Kifua Kikuu Sugu kinahatarisha afya ya umma. Je mradi huo [...]

20/03/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Moscow na Kiev waanze mazungumzo wazi : Ban

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-Moon akizungumza na waandishi wa habari mjini Moscow

Mvutano unaoongezeka katika Ukraine na Urusi ni hatari kwa amani ya nchi hizo mbili na bara nzima, amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon baada ya mkutano wake na raisi wa Urusi, Vladimir Putin. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Moscow, Bwana Ban amesisitiza umuhimu kwa pande zote mbili kuacha vitendo vya [...]

20/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Leo hakuna ripoti za mapigano Malakal:UNMISS

Kusikiliza / Askari wa UNMISS wakisimamia usafirishaji wa wananchi huko Malakal. 
(Picha-UNMISS)

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, UNMISS umesema shambulio la jana lililofanywa na jeshi la serikali, SPLA dhidi ya vikundi vilivyojihami limewezesha utulivu kwenye mji wa Malakal ulioko jimbo la Upper Nile. Msemaji wa Umoja wa Mataifa amenukuu ujumbe huo ukisema kuwa hali leo ni shwari na vikosi vya serikali vimejiimarisha mjini humo [...]

20/03/2014 | Jamii: Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Zaidi ya nusu ya silaha za kemikali Syria imeondolewa au kuharibiwa:UM

Kusikiliza / Farhan Haq

Jopo la pamoja la Umoja wa Mataifa na shirika la kimataifa la kupinga silaha za kemikali, OPCW lenye jukumu la kusimamia uteketezaji wa mpango wa silaha za kemikali nchini Syria limesema zaidi ya nusu ya silaha hizo zimeshaondoshwa au kuharibiwa. Ripoti hizo ni kwa mujibu wa taarifa ya jopo hilo wakati huu inapozingatiwa kuwa azimio [...]

20/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

WFP yaonya ukosefu wa chakula na magonjwa CAR

Kusikiliza / WFP CAR

Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani, WFP, Ertharin Cousin, ameonya kuhusu hali ya kutisha ya ukosefu wa chakula na utapiamlo, huko Jamhuri ya Afrika ya Kati, kutokana na ghasia zinazoendelea na ukosefu wa fedha. Akiwa ziarani nchini humo Bi Cousin, amesisitiza umuhimu wa kuchukua hatua hatua kabla msimu wa mvua haujaanza, ili [...]

20/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban akutana na Rais Putin akiwa ziarani Urusi

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-Moon na Rais Vladmir Putin wa Urusi mjini Moscow

Katibu Mkuu Ban Kin Moon amewasili nchini Urusi na tayari ameshakutna na waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Sergey Lavrov. Hivi sasa Bwana Ban anakutana na rais wa nchi hiyo, Vladmir Putin kujadili namna ya kuutataua mzozo wa Ukraine. Awali katika mkutano huo, rais wa Urusi amemshukuru Katibu Mkuu Ban kwa kuongoza juhudi [...]

20/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Hali Jamhuri ya Afrika ya Kati ni mbovu mno: Pillay

Kusikiliza / Navi Pillay

Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa, Navi Pillay, amesema hali mbovu mno. Bi Pillay amesema hayo wakati akihitimisha ziara yake ya siku mbili nchini humo, ambako amefanya mikutano na rais wa mpito, Waziri Mkuu, Waziri wa Sheria, mashirika ya umma, mashirika ya kibinadamu pamoja na makamanda wa vikosi vya kulinda amani. [...]

20/03/2014 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Leo ni siku ya kimataifa ya furaha, UM wataka migogoro kukomeshwa

Kusikiliza / Siku ya furaha duniani

Leo ni siku ya kimataifa ya furaha ambapo bazara kuu la Umoja wa Mataifa lina shughuli maalum kuienzi siku hii hapa mjini New York. Kwa upande wake Katibu Mkuu Ban Kin Moon ametoa ujumbe kuhusu siku hiyo akisema japo furaha yaweza kuwa na maana tofauti lakini wote twaweza kukubaliana kwamba ina maana ya kukomesha migogoro, [...]

20/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kifua Kikuu sugu chaendelea kuleta mkwamo: Mradi mpya kuleta matumaini: WHO

Kusikiliza / Mtaalamu katika maabara ya kuchunguza Kifua Kifuu

Kifua Kikuu sugu kimeendelea kuwa changamoto kubwa kwa tiba dhidi ya ugonjwa huo limesema shirika la afya duniani, WHO wakati huu wa kuelekea siku ya kifua kikuu duniani hapo Jumatatu. WHO inasema mwaka 2012 pekee watu Laki Tano walikumbwa na ugonjwa huo na ni mtu mmoja tu kati ya wanne ambaye aliweza kuchunguzwa kutokana na [...]

20/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031