Nyumbani » 18/03/2014 Entries posted on “Machi 18th, 2014”

Dokta Kazibwe amweleza Rais Museveni madhara ya sheria dhidi ya Ushoga

Kusikiliza / Bendera

Wiki tatu baada ya sheria dhidi ya Ushoga kutiwa saini nchini Uganda, Mjumbe maalum wa Katibu mkuu wa umoja wa Mataifa kuhusu Ukimwi barani Afrika Dokta Specioza Wandira-Kazibwe amesema amezungumza na Rais Yoweri Museveni na kumweleza madhara ya kitendo hicho kwenye vita dhidi ya Ukimwi. Msemaji wa Umoja wa Mataifa Stephane Dujarric amewaeleza waandishi wa [...]

18/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wamasai waleta hoja CSW58

maasai001_medium

18/03/2014 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Hapa na pale CSW58

CSW58

18/03/2014 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

One Woman , wimbo wa UN women

onewoman290-en

18/03/2014 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Kumbukizi ya mauaji ya Rwanda

rwanda memorial

18/03/2014 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Utunzaji wa masikio

ear care day

18/03/2014 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Uamuzi mgumu wahitajika kwa viongozi wa Israel na Palestina: Feltman

Kusikiliza / Jeffrey Feltman

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limezitaka Palestina na Israeli kujizuia kuchukua hatua zinazoleta shuku bainayaona badala yake zifanye maamuzi magumu ili kutekeleza suala la uwepo wa mataifa mawili kwenye ukanda huo wa Mashariki  ya Kati.Wajumbe wa Baraza wamesema hayo baada ya  kupokea ripoti kutoka kwa Mkuu wa masuala ya siasa ndani ya Umoja [...]

18/03/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Idadi ya wakimbizi wa Syria nchini Lebanon kufikia milioni moja na nusu

Kusikiliza / Wakimbizi kutoka Syria wanaokimbilia Lebanon

Idadi ya wakimbizi wa Syria wanaowasili nchini Lebanon inaendelea kuongezeka kila uchao na nchi hiyo huenda ikahifadhi wakimbizi milioni 1.5 mwisho wa mwaka huu. Kwa mujibu wa mratibu mkaazi wa misaada ya kiutu wa Umoja wa Mataifa nchiniLebanonRossMountainwakimbizi waSyrianchini humo sasa ni asilimia 25 ya idadi ya raia waLebanonhali inayochochea shinikizo la huduma za kijamii [...]

18/03/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mgao wa chakula wasambazwa kwa anga huko Sudan Kusini: WFP

Kusikiliza / Ndege ya WFP ikidondosha chakula kwenye maeneo ambayo ni magumu kufikika

Nchini Sudan Kusini , Shirika la mpango wa chakula duniani, WFP limeanza kazi ya kusambaza kwa njia ya anga msaada wa dharura wa chakula kwenye maeneo ya ndani zaidi ambayo ni magumu kufikika kutokana sababu mbali mbali ikiwemo ukosefu wa usalama. Operesheni hiyo imeanza kwa ajili ya kulisha waathirika wa mzozo unaoendelea na kwenye kambi [...]

18/03/2014 | Jamii: Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

UM walaani vikali shambulio la kujilipua huko Afghanistan

Kusikiliza / Naibu Mwakilishi  maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan Nicholas Haysom

Umoja wa Mataifa umelaani vikali shambulio la kujilipua lililotokea Jumanne huko jimbo la Faryab, Kaskazini mwa Afghanistan na kusababisha vifo vya raia 15 na wengine wapatao 50 wamejeruhiwa. Ripoti zinasema mshambuliaji akiwe amejifunga mwilini vilipukaji alijilipua katikati mwa mji mkuu wa jimbo hilo, Maimana ambapo kituo cha afya kimeripoti kuwa miongoni mwa waliouawa ni watoto [...]

18/03/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Uporaji wa vifaa tiba wakwamisha huduma za afya Jamhuri ya Afrika ya Kati: WHO

Kusikiliza / Mtoto chini ya chandarua

Kamishna Mkuu wa haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa Navi Pillay anaelekea Jamhuri ya Afrika ya Kati ambako akiwa nchini humo atakutana na viongozi kadhaa akiwemo Rais wa mpito Catherine Samba-Panza. Ziara hiyo inafanyika wakati shirika la afya duniani, WHO linasema asilimia 50 ya miundombinu ya afya nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati imeporwa [...]

18/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Tutaandika maripoti hadi lini? Syria hali ni mbaya: Pinheiro

Kusikiliza / Sérgio Pinheiro

Janga la Syria limeingia mwaka wan ne na watoto wanakufa kwa njaa kwenye miji na vitongoji vinavyoshikiliwa na pande zinazokinzana nchini humo, imesema tume ya kimataifa ya kuchunguza ukiukwaji wa haki za binadamu Syria kama anavyoripoti Grace Kaneiya. (Taarifa ya Grace) Katika ripoti yake mpya kwa baraza la haki za binadamu huko Geneva,Uswisi, tume hiyo [...]

18/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Utafiti wabaini machungu miongoni wa wakimbizi wa Syria huko Jordan

Kusikiliza / syrians

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR na wadau wake wamefanya utafiti na kubaini ongezeko la mazingira magumu miongoni mwa mamia ya maelfu ya wakimbizi wa Syria wanaoishi nje ya kambi nchini Jordan. Utafiti huo umeonyesha changamoto za kila siku ya wakimbizi 450,000 wa Syria waliosajiliwa Jordan na kuona jinsi wanavyohaha kujikimu ambapo [...]

18/03/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Wataalamu wa UM walaani kifo cha mwanaharakati China

Kusikiliza / nembo ya Ofisi ya haki za binadamu ya UM

Kundi la wataalamu wa Umoja wa Mataifa limeeleza hofu yake juu ya kifo cha mwanahakarati Cao Sun Ly Shunli kilichotokea hospitali huko China tarehe 14 mwezi huu huku wakituma rambirambi kwa familia yake na marafiki. Wataalamu hao wamesema hayo katika ombi lao kufuatia kifo chake huku wakisema taarifa za Bi. Cao mwanasheria maarufu wa masuala [...]

18/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

WFP yarejelea ombi la usaidizi la sivyo kupunguza mgao wake DRC

Kusikiliza / Shughuli za mgao wa chakula DRC

Shirika la mpango wa chakula duniani, WFP limesema ukata unalazimu kupunguza wigo wa mgao wake wa chakula huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC. Shirika hilo limesema sasa linapatia kipaumbele mgao wa vyakula kwa ajili ya kuokoa maisha kwenye maeneo yaliyokumbwa na kuathiriwa zaidi na mizozo wakati huu ambapo operesheni zake nchini humo kwa sasa [...]

18/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Serikali isiposhirikisha walengwa, MDGs zitakamwa: Mshiriki CSW58

Kusikiliza / Ushiriki wa wanawake na wasichana kwenye mipango ya maendeleo mashinani ni muhimu kwa maendeleo ya jamii nzima

Kutoshirikishwa kikamilifu kwa wanachi katika mipango na sera za kitaifa kumesababisha kuchelewa kutekelezwa kwa lengo namba tatu la maendeleo ya milenia kuhusu uwezeshaji wanawake na usawa wa kijinsia Mkuu wa sera na uwakili wa makubaliano yaliyoko chini ya shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na wanawake, UN-Women Selina Sanou kutoka Kenya amesema wananchi wa mashinani [...]

18/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031