Nyumbani » 13/03/2014 Entries posted on “Machi 13th, 2014”

UNEP yasifu juhudi za kudhibiti taka za kemikali Amerika Kusini na Karibi

Kusikiliza / uchafu na taka zitokanazo na kemikali

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mpango wa Mazingira katika Umoja wa Mataifa, UNEP, Achim Steiner, amesema kuwa nchi nyingi za Amerika Kusini na eneo la Karibi zimechukuwa hatua mathubuti za kudhibiti vyema uchafu na taka zitokanazo na kemikali, na kuongeza kuwa sheria kuhusu tabianchi zinazidi kushika kasi katika ukanda huo. Bwana Steiner amesema hayo mjini [...]

13/03/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ustawi wa wanawake waangaziwa kambini nchini Uganda

Kusikiliza / Wakati wa sherehe ya maadhimisho kambi ya Kyangwali Uganda

Vuguvugu la ustawi wa wanawake likiwa linaendela kwa mikutano mbalimbali hapa mjini New York inayoangazia hali ya kundi hilo, nchini Uganda katika kambi mojawapo ya wakimbizi wanawake wameshiriki katika mbio za baiskeli, kulikoni? Ungana na John Kibego wa radio washirika Spice Fm iliyoko Hoima nchini Uganda katika makala ifuatayo

13/03/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

WIPO: Marekani na China zaendelea kuongoza katika usajili wa hati miliki

Kusikiliza / Nembo ya WIPO

Marekani na Uchina zimeendelea kuongoza katika usajili wa hati miliki kupitia Shirika la Umoja wa Mataifa la udhibiti wa hati miliki, WIPO katika kipindi cha mwaka 2013, idadi ya maombi ya usajili wa hati miliki ilipozidi 200,000 kwa mara ya kwanza. Idadi nzima ya maombi chini ya mkataba wa WIPO wa hati miliki na ushirikiano, [...]

13/03/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Wadau wakiwemo wabunge waweka mazingira rafiki kwa wasichana kuhudhuria masomo shuleni mwezi mzima: Tanzania

Kusikiliza / Anna Maembe, Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Tanzania

Mkutano wa kamisheni ya hali ya wanawake duniani unaendelea mjini New York na kando kunafanyika vikao mbali mbali kutathmini mwelekeo wa kundi hilo katika nyanja za kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Miongoni mwa vikao hivyo ni kile kilichoangalia nafasi ya wanawake na wasichana katika kuchukua masomo ya sayansi, uhandisi na hesabu. Kikao hicho kilichoratibiwa na Shirika [...]

13/03/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Brahimi apendekeza mkutano wa Tatu kuhusu Syria

Kusikiliza / Lakhdar Brahimi

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limekuwa na mashauriano ya faragha kuhusu Syria wakati huu ambapo janga la nchi hiyo limeingia mwaka wa nne bila dalili za kumalizika. Katika kikao hicho wamepata taarifa kutoka kwa Mjumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na nchi za Kiarabu katika mzozo wa Syria, Lakhdar Brahimi kuhusu [...]

13/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wito watolewa kukabili uhalifu wa kuwanyanyasa watoto kingono

Kusikiliza / Unyanyasaji wa watoto

Mtaalam maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu uuzaji wa watoto, biashara ya ngono inayowahusisha watoto na watoto kutumiwa katika picha za ngono, Najat Maalla M'jid, ametoa wito ulimwengu ukabiliane na tatizo linaloongezeka la uhalifu wa kuwanyanyasasa watoto kingono. Mtaalam huyo wa Umoja wa Mataifa amesema watoto wamo hatarini zaidi kunyanyaswa kimapenzi au kuuzwa nyakati za [...]

13/03/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Sudan Kusini mapigano, mafuriko vyakwamisha usaidizi: DRC-Kivu Kaskazini hali yazidi kuimarika: UM

Kusikiliza / Mafuriko

Mapigano yanayoendelea kwenye majimbo ya Jonglei, Upper Nile na Unity huko Sudan Kusini yanasababisha watu kukimbia makazi yao na kukwamisha jitihada za kuwafikishia misaada ya dharura, imesema ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoratibu misaada ya kibinadamu, OCHA. Msemaji wa Umoja wa Mataifa Stephen Dujarric amewaambia waandishi wa habari kuwa hivi sasa watoa misaada wanahaha kupata [...]

13/03/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Nchi za Asia na Pasifiki zaombwa kushiriki mchakato wa kutokomeza njaa

Kusikiliza / José Graziano da Silva

  Juhudi za kutokomeza njaa katika ukanda wenye watu wengi zaidi duniani zimepigwa jeki kufuatia baadhi ya nchi kuitikia vyema wito wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo, FAO wa kuongeza juhudi za kutomomeza njaa katika maeneo ya Asia na Pasifiki. Akizungumza wakati wa kongamano la FAO la 32 katika ukanda huo, Mkurugenzi [...]

13/03/2014 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

UNESCO na Procter & Gamble wazindua kijitabu cha kusaidia vijana barubaru

Kusikiliza / Wasichana kama hawa bila mwongozo baada ya kubalehe, mustakhbali wao unakuwa hatarini. (Picha-UNESCO)

Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO kwa kushirikiana na kampuni ya Proctar and Gamble wamezindua kijitabu cha kusaidia vijana hao hususan wasichana kukabiliana na kubalehe kwani wamesema kila mwaka wasichana Milioni 50 duniani kote hubalehe lakini kipindi hicho kina mapito makubwa kwani wasichana hukosa mwongozo wa kuwawezesha kuwa imara. Edgar [...]

13/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Madawa ya kulevya yahatarisha afya na maendeleo :UNODC

Kusikiliza / Jan Eliasson

Utengenezaji pamoja na usafirishaji wa madawa ya kulevya unaendelea kusababisha hatari kubwa kwa afya za watu kila mahali ukiathiri maendeleo endelevu ya nchi na kanda mbalimbali amesema mkurugenzi mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa la kupambana na madawa ya kulevya UNODC Yury Fedotov. Taarifa zaidi na Joseph Msami (TAARIFA YA MSAMI) Akiongea wakati wa [...]

13/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ongezeko la vyakula vilivyokuzwa kijenetiki lakwamisha biashara baina ya nchi: FAO

Kusikiliza / FAO food

Shirika la Chakula na Kilimo duniani, FAO limesema bidhaa za mazao zinazouzwa baina ya nchi zimebainika kuwa na kiwango kidogo cha mazao yanayokuzwa kwa kutumia marekebisho ya kijenetiki, GMO na hivyo kusababisha bidhaa hizo kurejeshwa zilikotoka au kuteketezwa. FAO inasema uchanganyaji huo huenda hufanyika bahati mbaya wakati wa uzalishaji, upakiaji, uhifadhi au usafirishaji wakati huu [...]

13/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mgao wa taulo za kike wawezesha wasichana kuhudhuria shule mwezi mzima:: Tanzania

Kusikiliza / Wasichana darasani

Wakati mkutano wa 58 wa Kamisheni ya Hali ya wanawake duniani unaendelea mjini New York, Tanzania imetoa mada kuhusu jinsi wasichana wanavyoshiriki masomo ya Sayansi, Hesabu na Uhandisi na kusema ndoa za umri mdogo, majukumu ya majumbani na baadhi ya sheria zinakwamisha mpango huo. Akizungumza na Idhaa hii baada ya kuwasilisha mada hiyo Katibu Mkuu [...]

13/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mifumo ya sheria ya kitaifa yafaa iwajali watoto: OHCHR

Kusikiliza / Flavia Pansieri

    Watoto wengi duniani hawapati haki kwa maovu na uhalifu unaotendwa dhidi yao kwa sababu wanaogopa kudhulumiwa, kunyanyapaliwa na kutelekezwa au kuadhibiwa wao na familia zao, imesema ofisi ya Haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa, OHCHR. Ofisi hiyo imesema upatikanaji wa haki ni mgumu hasa kwa watoto wanaoishi katika nyumba za malezi, watoto [...]

13/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031