Nyumbani » 12/03/2014 Entries posted on “Machi 12th, 2014”

Baraza la usalama laelezwa kuwa huko Abyei hakuna maendeleo yoyote:

Kusikiliza / Rais wa Baraza la Usalama Balozi Sylvia Lucas kutoka Luxembourg

Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wameelezea masikitiko yao juu ya mkwamo wa utekelezaji wa makubaliano ya Septemba 2012 kati ya serikali ya Sudan na ile ya Sudan kusini kuhusu usalama, mpaka wa pamoja huko Abyei na uhusiano wa kiuchumi kwa lengo la kupunguza mvutano na kurejesha mazungumzo baina ya pande mbili [...]

12/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNESCO yalaani mauaji ya waandishi wa habari Iraq

Kusikiliza / Kamera ya mwanahabari aliyeuwawa

Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Shirika la Umoja wa Mataifa la sayansi na Utamaduni, UNESCO Irina Bokova amelaani mauaji ya wapigaji picha waIraqi wawili. Wanahabari hao waliokuwa wanafanya kazi katika kituo cha televisheni cha Al-Iraqia waliuwawa wiki iliyopita baada ya shambulizi la mauaji ya kujitoa katika kituo kimoja mjini Hilla. Bokova alielezea hofu [...]

12/03/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kilimo cha migomba chamulikwa nchini Kenya

Kusikiliza / Kilimo cha migommba

Kilimo ni uti wa mgongo barani Afrika na ni muhimu hususan katika maeneo ya vijijini kwa kipato cha kuweza kukidhi mahitaji. Kilimo cha migomba ni muhimu ijapokuwa kwa muda mrefu katika maeneo tofauti kilimo cha mmea huu hakikuchukuliwakamafursa ya kukuza kipato kwa jamii. Lakini kuimarika kwa teknolojia kumeimarisha zao na bei ya ndizi basi ungana [...]

12/03/2014 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

UM wawakumbusha raia wa Afghanistan kuhusu uhuru wao kupiga kura

Kusikiliza / Upigaji kura Afghanistan (picha ya makataba UNAMA Septemba 2010)

Huku zikiwa zimesalia siku 23 kabla ya uchaguzi wa rais na wanachama wa mabaraza ya mikoa nchini Afghanistan, ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo, UNAMA, umesisitiza kuwa kushiriki kupiga kura ni haki ya kimsingi ya kila mtu. Mwakilishi wa Katibu Mkuu na Mkuu wa UNAMA, Ján Kubiš, amesema, kama watu kwingineko kote duniani, wanaume [...]

12/03/2014 | Jamii: Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Viongozi kukutana kujadili tatizo la madawa ya kulevya

Kusikiliza / Mihadarati

Vingozi mbalimbali duniani wanakutana mjini Vienna Austria kwa ajili ya mkutano wa mjadala kuhusu tatizo la madawa ya kulevya duniani. Kwa mujibu wa taarifa ya shirika la Umoja wa Mataifa la mapamabnao dhidi ya dawa za kulevya UNODC, mkutano huo unaoanza hapo kesho March 13 utahusisha watu mashuhuri akiwamo Malkia Silvia wa Sweden pamoja na [...]

12/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Sheria ya ndoa kikwazo cha maendeleo kwa wanawake

Kusikiliza / Usawa wa kijinsia

Sheria ya ndoa inayoruhusu wasichana kuolewa katika umri mdogo ni moja ya vikwazo katika utekelazaji wa malengo ya milenia hususani  lengo la tatu la kukuza usawa wa kijinsia na kuwezesha wanawake. Katika mahojiano maalum na idhaa hii kandoni mwa kikao cha 58 cha kamisheni ya hali ya wanawake duniani mjini New York, Marekani ambapo utekelezaji [...]

12/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wanaharakati Uganda wasaka haki mahakama kupinga sheria ya mapenzi ya jinisia moja

Kusikiliza / Mwanaharakati

Takribani wiki tatu baada ya sheria ya kupinga mapenzi ya jinsia moja kupitishwa rasmi nchiniUganda, wanaharakati wa haki za binadamu wamekimbilia mahakama ya kikatiba kupinga sheria hiyo. John Kibego wa  Radio washirika ya Spice FM, nchiniUgandana taarifa kamili. (TARIFA YA JOHN KIBEGO) Wanaopinga sheria hiyo ni wanaharakati wa haki za binadamu na wasomi wanaojumuisha Prof. [...]

12/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Uhusiano kati ya elimu na ajira vyaweka utata: ILO

Kusikiliza / Youth unemployment

Shirika la kazi duniani, ILO limetoa ripoti mpya kuhusu kipindi cha mpito cha fursa za ajira kwa vijana wa kike na wa kiume kwenye nchi nane za Afrika zilizo kusini mwa jangwa la Sahara na kubaini sintofahamu kuhusu uhusiano wa elimu na ajira. Taarifa zaidi na Alice Kariuki. (Taarifa ya Alice) Utafiti huo ulifanyika Benin, [...]

12/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban asikitishwa na jamii ya kimataifa kushindwa kuumaliza mzozo wa Syria

Kusikiliza / KM Ban Ki-moon

  Katibu Mkuu wa Umoja Mataifa, Ban Ki-Moon, ameelezea masikitiko makubwa kuhusu jamii ya kimataifa, ukanda wa Mashariki ya Kati, pamoja na watu wa Syria kushindwa kulikomesha janga la mgogoro lililopo nchini mwao. Joshua Mmali na taarifa kamili (TAARIFA YA JOSHUA MMALI) Katika taarifa yake, ikiwa leo ni miaka mitatu tangu mgogoro huo uanze, Bwana [...]

12/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Adhabu ya kifo Iran bado iko juu

Kusikiliza / Christof Heyns

  Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa wa haki za binadamu ameelezea kusikitishwa kwake kutokana na kuongezeka kwa matukio ya unyongaji watu nchini Iran. Ripoti zinasema kuwamba ndani ya mwaka huu pekee kiasi cha watu 176 wamenyongwa kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo yale yanayohusiana na madawa ya kulevya. George Njogopa na taarifa kamili: (Taarifa ya George) [...]

12/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031