Nyumbani » 11/03/2014 Entries posted on “Machi 11th, 2014”

Watoto wazidi kuathiriwa na mgogoro nchini Syria: UNICEF

Kusikiliza / Watoto wa Syria

Mgogoro wa miaka mitatu nchini Syriaumeendelea kusababisha madhila kwa watoto nchini humo, imesema ripoti ya hivi karibuni iliyotolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF. Ripoyi hiyo iliyopewa jina “waliozingirwa,  madhara makubwa kwa watoto walioko katika mgogoro kwa miaka miatatuSyria” inasema mgogoro huo umesababaisha athari kubwa kwa watoto milioni 5.5 Ripoti hiyo [...]

11/03/2014 | Jamii: Hapa na pale, Mawasiliano mbalimbali, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Mashambulizi mapya yaanza dhidi ya Al-Shabaab Somalia

Kusikiliza / Baraza la Usalama

Vikosi vya Muungano wa Afrika nchini Somalia, AMISOM vimeanza operesheni ya mashambulizi dhidi ya wanamgambo wa Kiislamu wa Al Shabaab, kwa ushirikiano na vikosi vya serikali ya Somalia. Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Nicholas Kay, ameliambia Baraza la Usalama kuwa hatua hiyo ya kuanza kufanya [...]

11/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Idadi ya wanawake ni ya juu zaidi kuwahi kushuhudiwa:IPU

Kusikiliza / Hon Makinda kutoka Tanzani katika mkutano wa wabunge wa 128

Idadi ya wanawake bungeni kote duniani imeimarika ikifika rekodi mpya ya asilimia 22. Muungano wa wabunge duniani IPU unasema kwamba ongezeko hilo limetokana na uwajibikaji wa kisiasa na nchi binafsi kuhakikisha wanawake zaidi wanateuliwa. IPU inasema kwamba idadi ya wanawake hususan katika nchi za Marekani na baadhi ya nchi barani Ulaya na Afrika ni ya [...]

11/03/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Licha ya kuanza kutambuliwa na kutetewa safari ya albino kujikomboa bado ni ndefu: Mwanaharakati

Kusikiliza / Mtu mwenye ulemavu wa ngozi, albino

Mwanaharakati wa ulemavu wa ngozi, albino ambaye ni afisa katika taasisi ya utetezi wa kundi hilo iitwayo Under the same sun, Ikponwosa Ero amesema licha ya kwamba serikali nyingi duniani hivi sasa zinatambua na kutetea haki za watu wenye ulemavu wa ngozi, albino, bado safari ya ukombozi wa kundi hilo ni ndefu. Katika mahojiano maalum [...]

11/03/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Serikali zilinde uhuru wa kuabudu ili kukabiliana na chuki za kidini: UM

Kusikiliza / Uhuru wa kuabudu

Mtaalam maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya kuwa na imani au dini, Heiner Bielefeldt, ametoa wito kwa serikali ziendeleze na kuulinda uhuru wa kila mmoja kuwa na dini au imani, ili kukabiliana na tatizo linalozidi kukua la chuki za kidini duniani.   Bwana Bielefeldt, ambaye amekuwa akiwasilisha ripoti yake mpya kwa Baraza la [...]

11/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

CSW58 iangazie madhila yanayokumba wanawake wakiwemo wale wa jamii za kiasili.

Kusikiliza / Washiriki wa mkutano wa CSW58, juu kulia ni Martha  kutoka Tanzania na Beatrice Shanka kutoka Kenya. Chini ni Lt. Kanali Julius Mukonga kutoka Jeshi la Wokovu, Kenya.

Mwaka umeanza na mkutano mwingine wa kutathmini hali ya wanawake duniani umeanza katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York. Ukijulikana kama CSW58, yaani Kamisheni ya hali ya wanawake , mkutano huu hukutanisha viongozi wa serikali na makundi ya kiraia ili kuangalia mustakhbali wa wanawake, na mwaka huu mkutano huu ni adhimu zaidi [...]

11/03/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Dawa zaidi na kuwashirikisha wanaume kutasaidia kukabiliana na HIV: Dr. Kazibwe

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon akiwa na Dokta Specioza Kazibwe na Mkurugenzi Mtendaji wa UNAIDS, Michel Sidibe, baada ya mazungumzo mjini New  York.

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu kuhusu masuala ya HIV na Ukimwi barani Afrika, Dkt. Specioza Wandira Kazibwe, amesema kuwa ingawa bara la Afrika limepiga hatua katika kupambana na HIV na Ukimwi, bado kuna changamoto ambazo zinapunguza kasi ya hatua hizo. Dkt. Kazibwe ambaye yupo mjini New York kuhudhuria kongamano la hali ya wanawake kwenye Umoja [...]

11/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Vyakula vya kusindika kutoka nje ya nchi vyatishia afya za wakazi wa Pasifiki: FAO

Kusikiliza / Mazao  haya ya shambani yanatishiwa na vyakula vya kusindikwa kutoka nje ya nchi

Shirika la chakula na kilimo duniani, FAO limeonya kitendo cha kuendelea kuongezeka kwa maduka ya rejarejan kwenye nchi za visiwa vya Pasifiki yanayouza vyakula kutoka nchi za nje ambavyo vimesindikwa. Hayo yamo katika mada iliyowasilishwa na FAO kwenye mkutano wa 32 wa ukanda wa Asia na Pacifiki unaofanyika huko Mongolia ambapo imesema vyakula hivyo licha [...]

11/03/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Janga la kuzama kwa boti ghuba ya Aden lasikitisha UNHCR

Kusikiliza / Watoa huduma wawasaidia manusura kuelekea pwani

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limeeleza masikitiko yake juu ya tukio jipya la kuzama kwa boti kwenye ghuba ya Aden mwishoni mwa wiki na kusababisha abiria 44 kutojulikana waliko hadi sasa, huku wengine 33 wakiwa wameokolewa. Boti hiyo ilikuwa imebeba watu 77 wakiwemo wanawake, wanaume na watoto ambapo inaelezwa kuwa iliondoka [...]

11/03/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Yaliyotokea Maldives yamsikitisha Katibu Mkuu wa UM

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ameeleza masikitiko yake na kitendo cha uamuzi wa mahakama ya juu kabisa nchini Maldives kuwaondoa madarakani mwenyekiti na makamu wa Tume ya uchaguzi nchini humo. Taarifa ya msemaji wa Umoja wa Mataifa imesema uamuzi huo wa tarehe Tisa Machi ulioenda sanjari na kumhukumu Mwenyekiti huyo kwa kosa [...]

11/03/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Šimonović ziarani Ukraine, katika kusaidia kupunguza mvutano

Kusikiliza / Ivan Šimonović

Katika kuimarisha hali ya haki za binadamu na kupunguza mvutano unaondelea nchini Ukarine msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu Ivan Šimonovićyuko ziarani nchiniUkrainemjini Kharkiv. Joseph Msami na taarifa zaidi (TAARIFA YA MSAMI) Katika ziara hiyo Bwana Šimonović anakutana na mamalaka nchini humo kwa lengo kujadili hatua za kuchukua zinazohusiana [...]

11/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Raia wabeba mzigo wa ghasia zinazoendelea Darfur Kusini: Pillay

Kusikiliza / Wakimbizi wa Sudan Kusini wanaokimbia machafuko na kuelekea nchi jirani

Kamishna Mkuu wa haki za binadamu, Navi Pillay ameeleza masikitiko yake kutokana na vile raia wanaendelea kukumbwa na madhila kutokana na mapigano yanayoendelea jimbo la Darfur Kusini nchini Sudan. Amenukuu watu walioshuhudia matukio hayo wakisema kuwa vikundi vilivyojihami vinatumia nguvu kupita kiasi dhidi raia wasio na hatia. Mathalani tangu mwezi Februari vijiji 45 kwenye eneo [...]

11/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wimbi la wakimbizi kutoka Syria lalazimu Jordan kujenga kambi mpya

Kusikiliza / Kambi ya wakimbizi

Jordan itafungua kambi ya tatu kwa ajili ya kuhifadhi wakimbizi kutoka Syria ambao wanaendelea kumiminika nchini humo kila uchao kutokana na mapigano yanayoendelea nchini mwao. Hatua hiyo inakuja wakati shirka la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR likisema idadi ya wakimbizi wanaoingia Jordan kila siku kutoka Syria imeongezeka kwa asilimia hamsini na kufikia wastani [...]

11/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Haki ya kupiga kura kwa wanawake kutoka jamii za kiasili bado mashakani: Mshiriki wa CSW58

Kusikiliza / Beatrice Shanka

Wakati kikao cha 58 cha Kamisheni ya hali ya wanawake duniani kikiwa kinaendelea mjini New York,Marekani, washiriki kutoka taasisi za kiraia zinazotetea haki za wanawake wa jamii ya kiasili wamepaza sauti wakitaka madhila yanayokumba kundi hilo yaangaziwe na kupatiwa suluhu. Beatrice Shanka kutoka taasisi ya Ilaramata huko Kajiado nchini Kenya ambaye amefadhiliwa na shirika la [...]

11/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031