Nyumbani » 10/03/2014 Entries posted on “Machi 10th, 2014”

Malengo mapya ya elimu duniani yatoe kipaumbele kwa wasichana: UNESCO

Kusikiliza / Mtoto wa kike aliyenufaika na vitabu vya UNICEF

    Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, limesema kuwa hali mbaya ya kutokuwa na usawa katika elimu duniani imewaacha zaidi ya watoto wa kike milioni 100 katika nchi za kipato cha chini na cha wastani bila uwezo wa kusoma hata angalau sentensi moja. Hayo yameibuka katika ripoti ya utafiti ulofanywa na UNESCO kuhusu [...]

10/03/2014 | Jamii: Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lataka uhuru na mipaka ya Ukraine viheshimiwe

Kusikiliza / Baraza la Usalama

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, limefanya mkutano wa faragha kuhusu matukio nchini Ukraine, ambapo pia limehutubiwa na Msaidizi wa Katibu Mkuu kuhusu masuala ya kisiasa, Jeffrey Feltman pamoja na Mwakilishi wa Kudumu wa Ukraine kwenye Umoja wa Mataifa, Yuriy A. Sergeyev. Baada ya Mkutano huo, rais wa Baraza hilo kwa mwezi huu wa [...]

10/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa kuwasili Juba kesho kuchunguza tukio la usafirishaji silaha kwa barabara

Kusikiliza / Makamanda wa UNMISS walipotembelea ofisi za ujumbe huo huko Malakal, jimbo la Upper Nile. (Picha-UNMISS)

Ujumbe wa ngazi ya juu kutoka Umoja wa Mataifa unatarajiwa kuwasili Juba, Sudan Kusini siku ya Jumanne kuanza uchunguzi dhidi ya tukio la shehena ya silaha za walinda amani wa Umoja huo kudaiwa kukutwa inasafirishwa kwa magari ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo, UNMISS tofauti na sera iliyokubaliwa. Makubaliano kati ya serikali ya [...]

10/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake nchini Tanzania

Kusikiliza / Bendera ya Tanzania

Wakati siku ya wanawake ikiadhimishwa Machi 8 kila mwaka kote duniani baadhi ya sherehe zimeandaliwa katika maadhimisho ya siku hii basi Ungana na Tamimu Adam ambaye alihudhuria maadhimisho Songea nchini Tanzania.

10/03/2014 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Shamra shamra za maadhimisho ya siku ya wanawake zamulikwa Afrika Mashariki

Kusikiliza / Sherehe za siku ya wanawake nchini Uganda

Katika makala hii tunamulika maadhimisho ya siku ya wanawake tujiunge na Anthony Joseph wa radio washirika Wapo Radion FM ya Tanzania  na kisha John Kibego wa radio washirika Spice FM huko Uganda.

10/03/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Mratibu maalum akaribisha hatua ya Mauritania kupinga utumwa

Kusikiliza / Utumwa

  Mratibu maalum wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya maswala ya utumwa Bi Gulnara Shahinian amekaribisha hatua ya Mauritania kupitisha pendekezo la Ofisi ya Kamishna ya haki za binadamu kama hatua muhimu katika vita dhidi ya utumwa.   Bi Shahinian, amesema kwamba hatua hiyo iliyochukuliwa na Mauritania Machi 6 2014 ya kupitisha mapendekezo ya [...]

10/03/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Hali huko Ukraine yazidi kumtia wasiwasi Katibu Mkuu

Kusikiliza / Ramana ya Ukraine

Naendelea kutiwa hofu na kile kinachoendelea huko Ukraine kwani tangu kuanza kwa mzozo huo nimesihi pande zote kupunguza mvutano na kushiriki kwenye mashauriano lakini bado hali inasikitisha! Ni kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon aliyoitoa kupitia msemaji wake Stéphane Dujarric hii leo. Amesema kuwa matukio ya hivi karibuni huko Crimea yamezidi [...]

10/03/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Mtaalam wa UM ataka kusiwepo visingizio vya siri za kitaifa kufanya utesaji

Kusikiliza / Juan Mendez

Mtaalam maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu utesaji, Juan Mendez, ameshutumu utesaji wa watu kwa kisingizio cha kile kinachoitwa siri ya taifa, akisisitiza kuwa ukiukwaji huo wa haki za binadamu usikubalike kwa misingi yoyote. Akilihutubia Baraza la Haki za Binadamu mjini Geneva, Bwana Mendez ameonya kuwa kila wakati mtu anapotoa ushahidi wa siri katika mahakama, [...]

10/03/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mtaalam wa Umoja wa Mataifa ataka watetezi wa haki za binadamu walindwe

Kusikiliza / Margeret Sekaggya

Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya watetezi wa haki za binadamu Margeret Sekaggya, amesema kuwa anaingiwa na hali ya wasiwasi mkubwa kutokana na watetezi hao wa haki wanavyopata shida. Taarifa zaidi na alice Kariuki (Taarifa ya Alice)  Akiwasilisha ripoti yake ya kila mwaka kuhusiana na nchi alizotembelea mwaka uliopita, mtaalam huyo amesema [...]

10/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lakutana kuangazia hali Libya

Kusikiliza / Mwakilishi wa Katibu Mkuu na Mkuu wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya, Tarik Mitri

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limekutana kumulika hali nchini Libya, Ambato limeambiwa nchi hiyo inakabiliwa na hatari ya kutumbukia katika machafuko mapya ambayo hayajapata kushuhudiwa. Joshua Mmali na taarifa kamili. Taarifa ya Joshua Mmali: Onyo hilo kuhusu uwezekano wa Libya kutumbukia katika machafuko limetolewa na Mwakilishi wa Katibu Mkuu na Mkuu wa [...]

10/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Maendeleo ya wanawake na wasichana bado yana mkwamo licha ya mafanikio:CSW58

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-Moon na Mwenyekiti wa Kikao cha 58 cha Kamisheni ya hali ya wanawake duniani, Balozi Libran Cabactulan

Mkutano wa 58 wa Kamisheni ya juu ya hadhi ya wanawake duniani umeanza leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York ukibeba maudhui ya jumla juu ya changamoto na mafanikio ya utekelezaji wa malengo ya milenia hususan yale yanayohusu wanawake na wasichana. Taarifa zaidi na Assumpta Massoi. (Taarifa ya Assumpta) Mkutano ulianza [...]

10/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kamishna kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu CAR kuanza kazi

Kusikiliza / Wakimbizi kutoka CAR wanaokimbia ghasia wakati waliwasili N'Djamena baada ya kutoka Bangui kwa ndege

Kamishina ya kimataifa iliyopewa jukumu la kuchunguza kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati inatazamiwa kuwasili nchini humo hapo jumanne tayari kwa kuanza kukusanya ushahidi. Taarifa zaidi na George Njogopa.   (Taarifa ya George) Kamishna hiyo ilianzishwa kufuatia azimio lililopitishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa ajili [...]

10/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Machafuko yaliyozuka upya Syria yatatiza shughili za misaada

Kusikiliza / Wakimbizi wa Syria

Kumejitokeza upya mkwamo wa usambazaji wa huduma za usamaria mwema nchini Syria kufuatia kujitokeza kwa ghasia ambazo zinatatiza shughuli mbalimbali. Msemaji wa shirika la Umoja wa Mataifa la utoaji misaada kwa wakimbizi wa Kipalestina UNRWA, amesema kuwa mapigano yaliyozuka wiki iliyopita katika maeneo ya Yarmouk yamesababisha hali ya ustawi wa kibinadamu kuzorota. Msemaji huyo Christopher [...]

10/03/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UNAMID yatiwa hofu na kuongezeka ghasia na wakimbizi Darfur

Kusikiliza / Walinda amani wa UNAMID

Ujumbe wa pamoja wa Muungano wa Afrika na Umoja wa Mataifa Darfur, UNAMID, umeelezea kutiwa hofu na mkurupuko wa ghasia za kikabila katika mji wa Saraf Omra, kaskazini mwa Darfur, ambazo zimesababisha watu wengi kulazimika kuhama makwao, pamoja na kuongezeka idadi ya vifo katika siku chache zilizopita. Maelfu ya watu walolazimika kuhama kutoka mji wa [...]

10/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mkutano wa CSW58 waanza leo, Maziwa Makuu na Ukanda wa Sahel wamulikwa:UNFPA

Kusikiliza / Dkt. Babatunde Osotimehin, Mkurugenzi Mtendaji wa UNFPA

Mkutano wa 58 wa Kamisheni kuhusu hali ya wanawake duniani, CSW58 unaanza leo mjini New York, Marekani ambapo moja ya vikao vya ngazi ya juu vitavyofanyika ni kuhusu mwelekeo wa jamii kwenye ukanda wa Sahel na ukatili wa kijinsia kwenye nchi za maziwa makuu barani Afrika. Akizungumzia katika mahojiano maalum na Yasmin Guerda wa kituo [...]

10/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mkutano kuhusu mabadiliko ya tabianchi waanza leo Bonn, Ujerumani

Kusikiliza / multiunfccc1

Huko Bonn, Ujerumani hii leo kunaanza mashauriano ya kwanza kabisa kwa mwaka huu kuhusu mabadiliko ya tabianchi, mashauriano ambayo yatarajiwa kuwezesha kufikia makubaliano ya dhati kuhusu mabadiliko ya tabianchi baadaye mwakani huko Paris. Taarifa ya kamati ya Umoja wa Mataifa kuhusu mkataba wa kimataifa wa mabadiliko ya tabianchi, UNFCCC inasema kuwa mashauriano hayo ya wiki [...]

10/03/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031