Nyumbani » 08/03/2014 Entries posted on “Machi 8th, 2014”

UNSOM yataka wanawake washiriki zaidi katika ujenzi wa Somalia

Kusikiliza / Wanawake wa Somalia

Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu na Mkuu wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, UNSOM, Nicholas Kay, ametoa wito kwa serikali ya Somalia ipanue fursa za kushirikishwa wanawake katika harakati za ujenzi wa amani na ujenzi wa taifa, wakati wa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, leo Machi 8. Bwana Kay amesema katika miongo [...]

08/03/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

IMF yajikita kwenye kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Wanawake

Kusikiliza / Mkurugenzi Mtendaji wa IMF Christine Lagarde

Shirika la Feddha Duniani, IMF, limeungana na mashirika mengine ya kimataifa katika kusheherekea Siku ya Wanawake Duniani, Machi 8. Katika ujumbe wa video, Mkuu wa IMF, Christine Lagarde, amesema shirika hilo linajaribu kumulika masuala ya wanawake, na kuhakikisha kuwa kila mtu anafahamu kuwa wanawake huleta mabadiliko "Wanawake huongeza thamani katika jamii, wanaweza kuchangia katika uchumi, [...]

08/03/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Usawa wa wanawake haimaanishi wanaume wanapoteza nguvu: Mkuu UN-Women Tanzania

Kusikiliza / Wanawake wajasiriamali huchangia kuboresha maisha ya kaya zao

Wakati Tanzania leo inaungana na dunia kuadhimisha siku ya wanawake duniani, Mkuu wa ofisi ya shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na wanawake UN-Women nchini Tanzania Anna Collins Falk amesema ujumbe wa mwaka huu umekuja wakati muafaka ili kuondoa dhana inayodhani kuwa lengo la usawa kwa wanawake ni kuengua wanaume. Akizungumza katika mahojiano maalum na [...]

08/03/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930