Nyumbani » 07/03/2014 Entries posted on “Machi 7th, 2014”

Ban akaribisha uamuzi wa ICC dhidi ya Katanga

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon

Baada ya Mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC huko The Hague kutangaza kumpata na hatia German Katanga ya makosa matano ikiwemo uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu, Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amekaribisha hatua hiyo akisema ni muhimu kwa wahanga wa tukio la shambulio husika kwenye kijiji cha Bogoro, wilaya [...]

07/03/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Mwanwamitindo Naomi Campbell awataka wanawake kujitokeza kupinga ukatili wa kijinsia

Kusikiliza / Naomi Campbell

Mwanamitindo maarufu Naomi Campbell amewataka wanawake kuwa na matumaini na kujitokeza kupinga ukatili dhidi ya wanawake. Akiongea katika mahojiniano maalum na Leda Letra wa idhaa ya Umoja wa Mataifa ya Kireno muda mfupi kabla ya kushiriki matembezi ya wanawake ya kuhamisha kupinga ukatili wa kijinsia yaliyofanyika makao makuu ya Umoja wa Mataifa, mwanamtindo huyo amesema [...]

07/03/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Siku ya wanawake duniani yamulikwa Maziwa Makuu Afrika

Kusikiliza / Mkurugenz i Mkuu wa UN Phumzile Mlambo-Ncguka na wanawake nchini Malawi

Tarehe Nane Machi kila mwaka ni siku ya wanawake duniani! Ujumbe wa mwaka huu ni Usawa kwa wanawake Maendeleo kwa Wote! Ujumbe huo umepigiwa chepuo kila kona ya dunia kwa kutambua kuwa iwapo wanawake watapatiwa fursa zaidi iwe katika sekta  za kijamii, kiuchumi au kisiasa, manufaa yanayopatikana ni kwa jamii nzima. Hii ni kwa kuzingatia [...]

07/03/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Mchango wa wanawake katika maendeleo ni dhahiri lakini bado kuna vikwazo: UM

Kusikiliza / Rais wa Baraza Kuu John Ashe akisalimiana na Bi. Clinton huku Katibu Mkuu Ban Ki-Moon akishuhudia.

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya wanawake, UN-Women limeanda kongamano la ngazi ya juu kuhusu siku ya wanawake duniani likimulika maudhui ya mwaka huu Usawa kwa wanawake ni maendeleo kwa wote. Miongoni mwa washiriki alikuwa Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa John William Ashe, ambaye amesema hatua zimepigwa za kusherehekewa [...]

07/03/2014 | Jamii: Habari za wiki, Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Mama yangu hakuwa amesoma lakini alihakikisha naingia sekondari: Hajjat Amina Mrisho Saidi

Kusikiliza / Hajjat Amina Mrisho Saidi, Kamishna wa Sensa Tanzania mwaka 2012

Kuwapatia wanawake fursa katika nyanja zote ni muhimu kwa maendeleo ya kaya zao na hata taifa kwa ujumla. Kauli hiyo imejidhihirisha kwa Hajjat Amina Mrisho Saidi, Kamishna wa Sensa Tanzania mwaka 2012 ambaye baada ya kumaliza elimu ya msingi alijikita katika kuchunga mbuzi huko kwao mkoani Arusha akidhani ndoto ya elimu ya sekondari imetwama! Hata [...]

07/03/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Wanawake tusiporomoshane! Tushirikiane ili tusonge mbele: Dokta Chuwa

Kusikiliza / Dokta Albina Chuwa, Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania

Harakati za kukomboa wanawake zianze na wanawake wenyewe kwa kuweka ushirikiano zaidi badala ya kuhujumiana, amesema Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania Dkt. Albina Chuwa alipoulizwa na Idhaa hii kuhusu ujumbe wa siku hii wa Usawa kwa wanawake ni maendeleo kwa wote! Dokta Chuwa ambaye ni mtakwimu wa kwanza wa Taifa mwanamke [...]

07/03/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Wanawake wa pemebezoni wajitutumua na kuanzisha kiwanda cha maziwa

Kusikiliza / Kiwanada cha maziwa

Huko mkoani Manyara nchini Tanzania kuliko na jamaii ya pembezoni ya wamasai, wanawake wameaumua kuchukua hatua za uzalishaji ili kuinua uchumi wa familia zao na jamii kwa ujumla. Walichofanya wanawake hawa ni kuanzisha kiwanda cha maziwa ambacho kimekuwa ukombozi. Ungana na Baraka David ole Maika wa radio washirika ORS iliyoko Manyara Tanzania.

07/03/2014 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Mamilioni ya wanawake bado wanakabiliana na vikwazo kazini: ILO

Kusikiliza / Wanawake bado wanakabiliwa na changamoto za usawa kazini:ilo

Shirika la Ajira Duniani, ILO, limesema kuwa wakati Siku ya Kimataifa ya Wanawake ikiadhimishwa hapo kesho Machi 8, wanawake bado wanakabiliwa na changamoto za kuwa na usawa kazini. Shirika hilo limesema tangu lilipoanzishwa mnamo mwaka 1919, wanawake wengi duniani hawakuwa na haki ya kupiga kura, na wale wenye ajira walikuwa hawana fursa ya kutetea haki [...]

07/03/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Baraza la usalama lajadili ukombozi kwa watoto walioko katika maeneo yenye vita

Kusikiliza / sawaneh

Hapa New York, Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa leo limeendesha mjadala kuhusu ulinzi kwa watoto walioko kwenye maeneo ya vita ambapo Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu watoto katika maendeo yenye migogoro Leila Zerrougui akapaza sauti akiangazia hali ngumu za watoto katika vita barani Afrika Akihutubia baraza hilo kijana [...]

07/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

New York katika pilka pilka za kuadhimisha Siku ya Wanawake

Kusikiliza / Usawa na maendeleo kwa wote

    Wakati huo huo, shughuli nyingine zimepangwa kufanyika hapa mjini New York kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. Shughuli hizo ni pamoja na maandamano ya wanawake mashuhuri, wakiwemo mkewe Katibu Mkuu Bi Ban Soon-taek, nyota nyota wa mitindo, Naomi Campbell na mwanamuziki na mwigizaji Monique Coleman, ambayo yatalenga kuchagiza uelewa kuhusu haja ya kutokomeza ukatili [...]

07/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wanawake, vijana na mashirika ya kiraia yapatiwe fursa zaidi ajenda ya baada ya 2015

Kusikiliza / Tarja Halolen, Rais wa kwanza mwanamke wa Finland

Ratiba ya shughuli za Umoja wa Mataifa imesheheni ajenda kuhusu wanawake kuelekea kilele cha siku hiyo duniani kesho Machi Nane. Mathalani asubuhi kumefanyika mjadala wa ngazi ya juu kuhusu mchango wa wanawake, vijana na mashirika ya kiraia kwenye ajenda ya maendeleo baada ya mwaka 2015. Taarifa kamili ya Grace Kaneiya: (Taarifa ya Grace) Tarja Halolen, [...]

07/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

FAO yataka usawa wa kijinsia kwenye sekta ya Kilimo

Kusikiliza / Kuwawazesha wakulima kwa pembejeo na ardhi kunaweza kuimarisha kilimo:FAO

Katika kuadhimisha siku ya wanawake Machi Nane mwaka huu, Shirika la Chakula na Kilimo duniani, FAO limeendesha tukio la ngazi ya juu hii leo huko Roma, Italia likiangazia usawa wa kijinsia kwenye kutokomeza njaa na kuimarisha mifumo endelevu ya chakula. Taarifa zaidi na Alice Kariuki. (Taarifa ya Alice) Tukiohilolilihusisha viongozi waandamizi wa Umoja wa Mataifa [...]

07/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mama yangu alisimama kidete kuhakikisha naendelea na shule: Hajjat Amina

Kusikiliza / Watoto darasani

Mama yangu asingalisimama kidete na kuisihi serikali inigharimie shule, nisingalikuwa hapa, ni kauli ya Kamishna wa senseTanzaniamwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho Saidi aliyotoa alipozungumza na Idhaa hii kuhusu siku ya wanawake duniani akimulika fursa aliyoipata na kuitumia vyema. Akiwa ni mwenyeji wa Monduli, Arusha,akitoka familia ya watoto 25 Hajjat Amina anasema akiwa alifaulu kwenda Sekondari [...]

07/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Katanga apatikana na hatia huko ICC, hukumu kutolewa baadaye

Kusikiliza / Germain Katanga

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu huko the Hague, ICC imemkuta na hatia ya makosa matano Germain Katanga ambaye alishtakiwa kwa makosa kumi ikiwemo uhalifu dhidi ya binadamu na uhalifu wa kivita. Uamuzi huo wa jopo la majaji umesomwa na Jaji Bruno Cotte akitaja makosa hayo kuwa ni moja dhidi ya uhalifu wa kibinadamu kwenye mauaji [...]

07/03/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Uwepo wa wanawake kwenye vikao huleta mabadiliko: Bi. Santos Pais

Kusikiliza / Bi. Marta Santos Pais

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika kupinga ukatili dhidi ya watoto Marta Santos Pais amesema amekuwa akitumia fursa ya uwepo wake ndani ya Umoja huo kuchagiza hatua za mabadiliko stahili kwa maisha ya watoto wa kike na wa kiume wanaokumbwa na madhila sehemu mbali mbali duniani. Amesema hayo wakati wa mahojiano [...]

07/03/2014 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Ujumbe wa mwaka huu kwa siku ya wanawake ni dhahiri: Mkuu UN-Women

Kusikiliza / Phumzile Mlambo-Ncguka

Usawa kwa wanawake ni maendeleo kwa wote ni ujumbe wa siku ya wanawake duniani mwaka huu wa 2014 ambapo Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na wanawake Phumzile Mlambo-Ncguka amesema ni sahihi kabisa kwani usawa katika sekta zote utapunguza hata madhila yanayokumba jamii.   Akizungumza katika mahoajiano maalum na Dereck Mbatha wa [...]

07/03/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031