Nyumbani » 03/03/2014 Entries posted on “Machi 3rd, 2014”

Hatua za kijeshi hazina nafasi Ukraine: Wajumbe wa Baraza

Kusikiliza / secco2

Hatua za kijeshi hazina nafasi kwenye utatuzi wa mzozo wa kisiasa unaoendelea nchini Ukraine! Hiyo ni moja ya kauli zilizotolewa na wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wakati wa kikao cha wazi kuhusu hali inayoendelea nchini Ukraine wakati huu ambapo jitihada za kimataifa zinaendelea kusuluhisha mzozo huo. Kikao hicho kiliongozwa na Rais [...]

03/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

MONUSCO washambulia kituo cha ADF Kivu Kaskazini

Kusikiliza / Makamanda wa MONUSCO wakionekana kukubaliana jambo baada ya mashauriano kuhusu jukumu lao huku DRC

Vikosi vya ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, MONUSCO vimeendelea na jukumu la kulinda raia kwa kusaka vikundi vilivyojihami Mashariki mwa nchi hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari mjini New York hii leo, Msemaji wa Umoja wa Mataifa Martin Nesirky ametaja harakati hizo kuwa ni pamoja na [...]

03/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Juhudi za kujikomboa za wanawake walioko maeneo ya mizozo zaangaziwa:DRC

Kusikiliza / Mwanamke mfanya biashara

Tukiwa tunaelekea siku ya wanawake duniani March 8, je wanawake walioko katika meoneo yaliyokumbwa na mizozo wanafanya nini kujikomboa kiuchumi na kijamii? Langi Asumani wa radio washirika Umoja iliyoko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC amezungumza na baadhi ya wanawake wajasiriamali nchini humo. Ungana naye katika mahojinao haya

03/03/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

UNICEF yaonya kuibuka upya kwa mapigano kunazorotesha zaidi hali ya kibinadamu Sudani Kusini

Kusikiliza / Watoto wa Sudan Kusini

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF linaonya kuwa kuibuka upya mapigano nchini Sudani Kusini kutasababisha maelfu zaidi kukosa makazi ambapo hadi sasa takribani watu laki tisa nusu yao wakiwa watoto wamepoteza makazi yao. Katika taarifa yake UNICEF inasema licha ya dalili ya makubaliano yakusitisha mapigano mwishoni mwa mwezi January mapigano baina ya [...]

03/03/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Wanawake watakiwa kutumia mitaji midogo na uhuru kujikwamua

Kusikiliza / Alice Kabatoro

Mmoja wa wanawake wafanyabiashara nchini Uganda amewasihi wanawake wenzake kutumia mitaji midogo katika kujikwamua kiuchumi na kijamii licha ya changamoto wanazokutana nazo mathalani kutopewa kipaumbele na taasisi za kifedha. Katika mahojiano na John Kibego wa radio washirika Spice Fm ya nchini Uganda mfanyabiashara huyo Alice Kabatoro anayemiliki mgahawa na nyumba ya wageni huko Hoima, amesema [...]

03/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Afrika yazingatia uchumi unaojali mazingira: UNEP

Kusikiliza / Profesa Wangari Maathai alikuwa mstari wa mbele kupigania uhifadhi wa mazingira

Shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa UNEP limesema bara la Afrika liko kwenye mwelekeo sahihi wa kuchochea shughuli za kiuchumi zinazojali mazingira. Mkurugenzi Mtendaji wa UNEP Achim Steiner amesema hayo leo siku ambayo bara hilo linaadhimisha siku ya mazingira ikiwa ni utambuzi wa mwanaharakati wa mazingira duniani na mshindi wa tuzo ya amani hayati [...]

03/03/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Sikio lina mfumo wake wa asili wa kujisafisha, usitumie kitu kingine: Wataalamu

Kusikiliza / Siku ya usafi wa masikio

Wakati dunia leo ikiadhimisha siku ya usafi wa masikio wataalamu wa afya wamesema  kitendo cha mtu kuchokonoa sikio kwa ajili ya kulisafisha ni kinyume na utaratibu ambao mwili wa binadamu umejiwekea ili kusafisha kiungo hicho cha mwili. Watalamu hao akiwemo Dokta Bruno Minja wamesema kitendo cha kuchokonoa kwa kutumia kalamu, pamba, kijiti au kuweka mafuta [...]

03/03/2014 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Ban ataka wavunjifu wa haki za binadamu wasifichwe

Kusikiliza / Wakati wa hotuba kwa kikao cha 25 cha Baraza la Haki za binadamu Geneva

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amehutubia kikao cha 25 Baraza la Haki za binadamu na kuelezea masikitiko kutokana na kukosekana kwa uwajibikaji wa wahusika wa vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu, vitendo vinaavyoendelea kuzikumba nchi za Syria , Sudan Kusin na Jamhuri ya Afrika ya Kati. Amesema kuwa siku zote machafuko [...]

03/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Viumbe wa porini ni sehemu ya urithi wetu na maendeleo endelevu: Ban

Kusikiliza / Wanyama pori

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, amesema viumbe wa porini ni sehemu muhimu ya mustakhbali wa mwanadamu kwa sababu ya mchano wake katika sayansi, technolojia na starehe. Bwana Ban amesema hayo wakati akifungua maonyesho ya kuadhimisha Siku ya Viumbe wa Porini Duniani, ambayo inaadhimishwa leo kwa mara ya kwanza. Maonyesho hayo yameandaliwa na [...]

03/03/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

UNAMID yatiwa hofu na ghasia kusini mwa Darfur

Kusikiliza / Askari wa UNAMID

Ujumbe wa Pamoja wa Muungano wa Afrika na Umoja wa Mataifa kwenye eneo la Darfur, UNAMID, limeeleza kutiwa hofu na ripoti za kuongezeka machafuko kusini mwa Darfur Suda, katika kipindi cha siku chache zilizopita. Machafuko hayo yameripotiwa kusababisha uteketezaji wa vijiji kadhaa na idadi kubwa ya watu kuhama makwao karibu na Um Gunya, yapata kilomita [...]

03/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNRWA yapigwa jeki ya dola 759,000 kuwasaidia wakimbizi wa kambi ya Yarmouk

Kusikiliza / Wakimbizi wa Kipalestina walionaswa Syria(picha ya UNRWA)

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwasaidia Wakimbizi wa Palestina, UNRWA, limesaini makubaliano ya ufadhili wa misaada ya dharura yenye thamani ya dola 759,000 kutoka kwa Shirika la Kiislam la Misaada ya Dharura, IRW. Mchango huo wa IRW utasaidia kufadhili utoaji misaada ya chakula na bidhaa za kujisafi kwa zaidi ya wakimbizi 70,000 wa Kipalestina [...]

03/03/2014 | Jamii: Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

UM yajitolea kusuluhisha mzozo wa kisiasa Ukraine

Kusikiliza / GENEVA

Umoja wa Mataifa uko tayari kutoa usaidizi wowote utakaowezesha kusuluhisha mzozo wa kisiasa unaoendelea nchini Ukraine, amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon mjini Geneva, Uswisi wakati akizungumza na waandishi wa habari kama anavyoripoti Joshua Mmali. (Taarifa ya Joshua) Bwana Ban ambaye anatarajia kuwa na mazungumzo na Waziri wa Mambo ya nje wa [...]

03/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930