Nyumbani » 01/03/2014 Entries posted on “Machi 1st, 2014”

Ban alaani mauaji ya raia wasio na hatia nchini China

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon

Shambulio dhidi ya raia wasio na hatia kwenye stesheni ya reli huko Kunming nchini China limelaaniwa vikali na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon. Taarifa ya msemaji wa Umoja wa Mataifa imemkariri Katibu Mkuu akituma rambirambi kwa wafiwa huku akiwatakia ahueni ya haraka majeruhi. Bwana Ban amesema hakuna jambo lolote linaloweza kuhalalisha mauaji [...]

01/03/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Lengo kuu la UM lizingatiwe kutatua mzozo wa Ukraine: Baraza la usalama laelezwa

Kusikiliza / Naibu Katibu Mkuu wa UM Jan Eliasson akilihutubia Baraza la Usalama siku ya Jumamosi kuhusu Ukraine.

  Saa 24 baada ya Baraza la Usalama kupatiwa muhtasari kuhusu hali ya usalama nchini Ukraine, mambo yamezidi kubadilika ikiwemo maeneo muhimu kwenye jimbo linalojitawala la Crimea nchini humo kama vile viwanja vya ndege, majengo ya umma na bunge la kikanda kushikiliwa na watu waliojihami wasiojulikana. Huo ulikuwa ni ujumbe wa Naibu Katibu Mkuu wa [...]

01/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Hali ya usalama Ukraine yazorota; Ban azungumza na Putin

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon

Hali ya usalama nchini Ukraine inazidi kuzorota na kumtia wasiwasi Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon na tayari amezungumza na Rais Vladmir Putin wa Urusi kuhusiana na suala hilo. Hayo yamesemwa na msemaji wa Umoja wa Mataifa Martin Nesirky alipozungumza na waandishi wa habari mjini New York, wakati huu ambapo Robert Serry ambaye [...]

01/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031