Mradi wa kiwanda cha maziwa eneo la wafugaji laboresha maisha

Kusikiliza /

Schola Robert akiwa sehemu ya kutengeneza jibini kwenye kiwanda kinachozalisha bidhaa zitokanazo na maziwa mkoani Arusha

Mradi wa viwanda vya kutengeneza bidhaa zitokanazo na maziwa hususan kwenye maeneo ya wafugaji nchini Tanzania umekuwa na manufaa katika kuboresha maisha ya jamii na kuwezesha kaya kukidhi mahitaji muhimu ikiwemo lishe bora na hata elimu kwa watoto wao.

Umoja wa Mataifa kupitia kituo chake cha habari nchini humo kilipata taarifa hizo wakati wa mahojiano na Schola Robert, mmoja wa wanawake wa jamii ya wafugaji mkoani Arusha aliyepata stadi na sasa ni meneja mzalishaji wa kiwanda cha Engitenterrat. Amesema wananunua maziwa kutoka kwa wafugaji na hutengeneza bidhaa kama vile jibini, maziwa ya kawaida na mtindi yanayoweza kuhifadhiwa uda mrefu

(Sauti ya Schola)

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930