Nyumbani » 25/02/2014 Entries posted on “Febuari 25th, 2014”

Nuru yaonekana mchakato wa amani Mashariki ya Kati: Feltman

Kusikiliza / Jeffrey Feltman

Kuna matumaini makubwa kwa mchakato wa amani huko Mashariki ya Kati, amesema Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mkuu wa Masuala ya kisiasa ndani ya Umoja huo Jeffrey Feltman alipolihutubia baraza la usalama siku ya Jumanne. Amesema jitihada za miezi saba iliyopita za kupatia suluhu mzozo kati ya Palestina na Israeli kwa [...]

25/02/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

UNICEF linawaunganisha watoto na familia zao Sudan kusini

Kusikiliza / Mtoto Sudan Kusini

Wakati mapigano yakiripotiwa kupungua nchini Sudani Kusini shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF linahaha kuwaunganisha na familia zao watoto ambao walitengana na familia kutokana na adha za vita. Ungana na Joseph Msami katika makala ifuatayo

25/02/2014 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban atumai Uganda kuangalia upya sheria inayopinga ushoga

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-Moon alipokutana na Mwakilishi wa kudumu wa Uganda kwenye Umoja wa Mataifa Dkt. Richard Nduhuura

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amekuwa na mazungumzo na Mwakilishi wa kudumu wa Uganda kwenye Umoja huo Dokta Richard Nduhuura ambapo amesisitiza kuwa kila binadamu ana haki ya kufurahia haki za msingi za maisha na utu bila kubaguliwa. Msemaji wa Umoja wa Mataifa Martin Nesirky amesema Bwana Ban ameonyesha wasiwasi mkubwa kwa [...]

25/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wafanyakazi wanne wa UM waliouawa Afghanistan waenziwa

Kusikiliza / Bamba ya majina ya watu waliouwawa Afghanistan

Huko Afghanistan hii leo kumefanyika kumbukumbu maalum ya wafanyakazi wanne wa Umoja wa Mataifa waliouawa katika shambulio la kigaidi kwenye mji mkuu Kabul mwezi Januari mwaka huu. Kumbukumbu hiyo imeenda sambamba na uzinduzi wa bamba maalum lililonakshiwa majina ya wafanyakazi hao Vadim Nazarov wa Russia, Basra Hassan wa Marekani, Dkt. Nasreen Khan wa Pakistan na [...]

25/02/2014 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Utapiamlo kitisho kinachoibukia miongoni mwa wakimbizi wa Syria: UNICEF

Kusikiliza / syriamalnutrition

Tathmini ya pamoja ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF na wadau wake kuhusu hali ya wakimbizi wa Syria nchini Lebanon imezindulia leo na kufichua utapiamlo kama mojawapo ya kitisho kinachoibukia. Mathalani kwenye bonde la Bekka na maeneo ya kaskazini mwa Lebanon visa vya utapiamlo uliopindukia miongoni mwa wakimbizi vimeongezeka maradufu mwaka [...]

25/02/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UNSMIL yasikitishwa kuendelea kwa mapiganoLibya

Kusikiliza / UNSMIL

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya UNSIMIL umeelezea kusikitishwa kwake na kuendelea kwa ghasia ikiwamo mauaji, mashambulizi ya mabomu, utekwaji na mashambulizi mengine mashariki na sehemu nyingine za nchi. Taarifa ya UNSMIL iliyotolewa leo jumanne inasema ghasia hizo zinawalenga majaji, maafisa usalama, wanaharakati, raia wakiwamo wa Kiarabu na mataifa mengine pamoja na vituo vya [...]

25/02/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ripoti ya UM yabainisha umuhimu wa ushirikiano kwa nchi za Uarabuni

Kusikiliza / Ripoti ya ESCWA

Imeelezwa kuwa nchi za kiarabu zitakuwa na mafanikio makubwa ikiwa zitashirikiana katika maswala ya kiuchumi, kisiasa na kijamii, imesema ripoti ya Tume ya Umoja wa Mataifa ya masuala ya kiuchumi na kijamii kwa ajili ya nchi za Asia Magharibi ESCWA. Ripoti hiyo iliyozinduliwa leo hukoTunisiana Katibu Mtendaji wa tume hiyo Dokta. Rima Khalaf imebainisha maono [...]

25/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Janga la kibinadamu Syria laangaziwa ndani ya Baraza Kuu la UM

Kusikiliza / Kambi ya wakimbizi wa Syria (UNHCR)

Baraza kuu la Umoja wa Mataifa leo limekuwa na mjadala kuhusu hali ya kibinadamu nchini Syria wakati huu ambapo janga lililokumba nchi hiyo likiingia mwaka wa nne. Flora Nducha na Ripoti kamili. (Ripoti ya Flora) Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon na viongozi wengine waandamizi wa mashirika ya umoja huo ikiwemo UNHCR, WHO, [...]

25/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

IOM, UNHCR Kuanza utafiti wa zoezi la kuwahamisha wakimbizi waSomalia walioko Kenya

Kusikiliza / Kambi ya Dadaab ilioko Kenya

Shirika la kimataifa la uhamijai IOM  kwa kushirikiana  na shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi UNHCR wameanza utafiti wa miezi mine kuhusu adhma ya kuwarudisha kw ahiarui wakibiz waSomaliawalioko katika kambi ya Daadab nchiniKenya. Hii inafuataia makubalinao yaloyotiwa saini mwaka jana  kati ya serikali zaKenyana Somaliana UNHCR ambapo mashirika hayo yalikubaliana kuendesha utafiti kuhakiisha [...]

25/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kuna uwezekano wa raia kushambuliwa huko CAR: UNHCR

Kusikiliza / Baba na mwanawe wakitembea katika kituo cha wahamiaji mjini Bangui ambako watu wengi wako hatarini(Picha ya UNHCR)

  Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limeonya kuwa takribani raia 15,000 wamezingira na vikundi vilivyojihami huko Jamhuri ya Afrika ya Kati na kuna hatari ya kwamba wanaweza kushambuliwa wakati wowote. Taarifa zaidi na Grace Kaneiya. (Taarifa ya Grace) Idadi kubwa ya walionaswa kwenye mazingira hayo ni waislamu walioenea katika maeneo 18 [...]

25/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wakimbizi kutoka CAR wahaha kujikimu nchi jirani:WFP yahitaji fedha zaidi

Kusikiliza / Malori yanawasili kutoka CAR na watu wanaorudi Chad

  Zaidi ya wakimbizi 150,000 kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati waliosaka hifadhi nchi jirani sasa wanahaha kujikimu maisha yao angalau wakidhi mahitaji ya msingi. Hali hiyo inakuja wakati shirika la mpango wa chakula duniani WFP likisema kwa kipindi cha miezi sita ijayo litahitaji karibu dola Milioni 25 kupatia msaada wa chakula wakimbizi wa Jamhuri [...]

25/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031