Nyumbani » 24/02/2014 Entries posted on “Febuari 24th, 2014”

Angelina Jolie ashuhudia madhila ya wakimbizi wa Syria huko Lebanon

Kusikiliza / Angelina Jolie akizungumza na watoto kwenye huko Bekaa, nchini Lebanon

Mjumbe maalum wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR Angelina Jolie amezuru kambi za wakimbizi wa Syria nchini Lebanon na kushuhudia madhila yanayowakumba ikiwemo kukosa huduma za msingi ikiwemo afya na elimu. Akiwa ziarani humo kwa siku tatu muigizaji huyo mashuhuru wa Hollywood, amekutana na watoto yatima kwenye jimbo la Bekaa na [...]

24/02/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Vijana Tanzania wapaza sauti zao kuhusu Bunge la Katiba na matarajio yao

Kusikiliza / Baadhi ya wajumbe wa Bunge maalum la katiba nchini Tanzania wakiwa kwenye u ukumbi wa mkutano mjini Dodoma.

Wakati bunge maalum la katiba likiendelea na kikao chake huko Dodoma, nchini Tanzania Stella Vuzo wa kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa nchini humo amezungumza na vijana kutaka kufahamu uelewa wao wa kile kinachoendelea na matarajio yao kwenye mchakato huo. Mathalani iwapo wana hoja mahsusi na kama wanafahamu Katiba yenyewe ni nini na ushirikishwaji [...]

24/02/2014 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Mkuu wa OCHA kuzuru Ufilipino kujionea hali halisi

Kusikiliza / Ufilipino siku chache baada ya Kimbunga Haiyan kilipoipiga nchi hiyo (Picha ya maktaba ya OCHA)

Mkuu wa masuala ya usaidizi wa binadamu kwenye Umoja wa Mataifa Bi. Valerie Amos Jumatano hii anaanza ziara ya siku Mbili nchini Ufilipino kutathmini hali ya usaidizi wa kibinadamu takribani miezi minne baada ya kimbunga Haiyan kupiga nchi hiyo na kuathiri watu Milioni 14. Taarifa ya OCHA shirika analoongoza Bi. Amos imesema wakati wa ziara [...]

24/02/2014 | Jamii: Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Vitambulisho vya uraia vyaanza kutolewa Somalia, raia wafurahia!

Kusikiliza / Vitambulisho Somalia

Somalia! Taifa linalochomoza kwa kukuwa katika sekta mbalimbali. Licha ya changamoto za kiusalama lakini taifa hili linazidi kupiga hatua mbalimbali. Makala ifuatayo inaangazia namna vitambulisho vya uraia vinavyoweza kutolewa. Ungana na Asumpta Massoi kwa undani wa taarifa hiyo.

24/02/2014 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban asisitiza suluhu bila ghasia nchini Ukraine

Kusikiliza / Ramana ya Ukraine

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amerejelea wito wake wa kupatia suluhu bila ghasia mzozo unaoendelea huko Ukraine huku akisema anaendelea na mawasiliano ya karibu na wahusika wakuu jinsi ya kusaidia utatuzi wa amani wa mzozo huo.   Taarifa ya leo imemkariri Bwana Ban akisema juu ya yote anataka mchakato jumuishi wa kisiasa [...]

24/02/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Pillay asikitishwa na Uganda kupitisha sheria ya kupinga mapenzi ya jinsia moja

Kusikiliza / Navi Pillay

Saa chache baada ya Rais wa Uganda Yoweri Museveni kutia saini na kuwa sheria muswada unaopinga mapenzi ya jinsia mmoja, Kamishna Mkuu wa haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa Navi Pillay ameeleza kusikitishwa na hatua hiyo akisema ni matumaini  yake kuwa itafanyiwa mapitio haraka iwezekanavyo ili kulinda haki za binadamu za kundi hilo. Katika [...]

24/02/2014 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Mwaka wa kimataifa wa visiwa vidogo wazinduliwa rasmi

Kusikiliza / Rais wa Baraza Kuu, John Ashe

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo limezindua rasmi mwaka wa kimataifa wa nchi za visiwa vidogo zinazoendelea, SIDS kwa lengo la kuangazia changamoto na fursa katika maeneo hayo hususan wakati huu wa mabadiliko ya tabia nchi. Taarifa zaidi na Alice Kariuki. (Taarifa ya Alice) Mabadiliko ya tabianchi yamekuwa moja ya changamoto kubwa kaw nchi [...]

24/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Rais Museveni atia saini sheria ya kupinga mapenzi ya jinsia moja

Kusikiliza / Rais Yoweri Museveni wa Uganda

Hatimaye  Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni ametia saini sheria ya kupinga mapenzi ya jinsia moja huku Kamishna Mkuu wa Haki za binadamu Navi Pillay akieleza masikitiko yake na hatua hiyo akisema kuwa ni matumaini yake itapitiwa upya mapema iwezekanavyo ili kulinda haki za binadamu za kundihilo. John Kibego wa Radio washirika Spice FM Uganda [...]

24/02/2014 | Jamii: Habari za wiki, Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Migogoro, ongezeko la watu vyachochea ukosefu wa chakula Ukanda wa Mashariki na Kaskazini mwa Afrika

Kusikiliza / fao-food-1

Imeelezwa kwamba hali ya migogoro, ongezeko la holela la watu na kuwepo kwa idadi kubwa ya watu wanaohamia maeneo ya mijini, ni baadhi ya mambo yanozidisha kuwepo kwa hali ya  wasiwasi wa ukosefu wa usalama wa chakula katika maeneo ya Karibu na Mashariki ya Kati na Afrika ya Kaskazini. Taarifa hiyo ambayo pia imeorodhesha mwenendo [...]

24/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Vijana wapazia sauti watakayo kwa Bunge maalum la Katiba

Kusikiliza / Mwanafunzi wa shule ya sekondari Kikuyu akiuliza swali kwenye moja ya vikao walivyokutanishwa na afisa kutoka kituo cha habari cha UM nchini Tanzania

Wakati bunge maalum la Katiba likiwa limeanza vikao vyake huko Dodoma nchini Tanzania kupitia rasimu ya katiba mpya, baadhi ya vijana wameeleze kile wanachotaka kuona kwa mustakhbali bora wa kundi hilo na nchi kwa ujumla. Wakizungumza na Stella Vuzo wa Kituo cha Umoja wa Mataifa Tanzania, vijana hao wakiwemo Merkson Lauden mwanafunzi wa Chuo Kikuu [...]

24/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mustakabali wa watoto wa Syria uko mashakani kutokana na vita

Kusikiliza / Watoto wa Syria

Wakati mapigano nchini Syria yakiingia mwaka wa nne tangu kuanza kwake, ripoti zinasema kuwa zaidi ya watoto milioni 5.5 wanakabiliwa na wakati mgumu juu ya hatma ya maisha yao ya baadaye. Taarifa zaidi na George Njogopa. (Taarifa ya George) Mashirika ya Umoja wa Mataifa yanayoendesha operesheni zake nchini humo yanasema kuwa mapigano hayo ambayo sasa [...]

24/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930