Nyumbani » 22/02/2014 Entries posted on “Febuari 22nd, 2014”

Ujumbe wa Katibu Mkuu Ban kwa wananchi wa CAR

ban-video-msg

22/02/2014 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Azimio la Baraza la usalama lapigia chepuo usaidizi wa kibinadamu Syria:

Kusikiliza / Misaada ya aina hii ni muhimu kwa watoto hawa wakimbizi nchini Syria

Ni sauti ya Rais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa mwezi huu wa Februari Balozi Raimonda Murmokaite kutoka Lithuania akitangaza kupitishwa kwa kauli moja kwa azimio la baraza hilo la kuchagizi usaidizi wa kibinadamu nchini Syria ikiwemo kuwezesha watoa huduma hizo kufikia walengwa. Azimio hilo pamoja na mambo mengine linatambua madhila yanayokumba wananchi [...]

22/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban azungumza na wananchi wa CAR kupitia Radio awasihi waweke silaha chini

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon

Ni sauti  ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon akizungumza kwa lugha ya Sango ya huko Jamhuri ya Afrika ya Kati, akikijitambulisha kwa wananchi wa nchi hiyo mwanzoni kabisa mwa  ujumbe wake maalum aliowapelekea kupitia radio. Baada ya salamu Bwana Ban ambaye ametuma ujumbe huo pia kwa lugha ya Kifaransa na kiingereza, anawahakikishia wananchi hao [...]

22/02/2014 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930