Nyumbani » 21/02/2014 Entries posted on “Febuari 21st, 2014”

Baraza la Usalama lalaani shambulio la kigaidi Somalia

Kusikiliza / Baraza la Usalama

Baraza la Usalama limelaani shambulio la kigaidi nchini Somalia nakusababisha vifo na majeruhi kadhaa ambapo kundi la kigaidi la Al Shabaab limekri kuhusika katika shambulio hilo lililolenga ofisi ya Rais wa taifa hilo. Taarifa ya baraza hilo iliyotolewa mjini New York leo ijumaa imesema baraza la usalama limetuma rambarambi kwa familia za wahanga, watu na [...]

21/02/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Hatimaye wakimbizi wa Somalia walioko Kenya kuanza kurudishwa makwao kwa hiari

Kusikiliza / Kambi ya wakimbizi Kenya

Waswahili husema dalili za mvua ni mawingu, na panapofuka moshi kuna moto. Hii ni misemo inayoweza kuitumika kuelezea matumaini ya kutekelezeka kwa mkataba wa kuwarejesha makwao kwa hiari wafungwa wa Somalia waliko nchini Kenya zoezi ambalo awali lilikwama. Katika mahojiano maalum na Joseph Msami wa idhaa hii msemaji wa shirika la Umoja wa Mataifa la [...]

21/02/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban akaribisha makubaliano kati ya pande kinzani Ukraine

Kusikiliza / KM Ban Ki-moon

  Katibu Mlkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ametiwa moyo na makubaliano yaliyofikiwa kati ya Rais Yanukovych wa Ukraine na viongozi wa upinzani ikiwa sehemu ya mchakato wa kurejesha utulivu nchini humo. Taarifa iliyotolewa na msemaji wa Umoja wa Mataifa imesema Bwana Ban alimpigia simu Rais Yanukovych akielezea pongezi zake kwa hatua hiyo huku [...]

21/02/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Uwezo wa kusoma bado ni ndoto kwa wengi

Kusikiliza / Watoto wa shule nchini Uganda

Hivi karibuni shirika la Umoja wa Mataifa la elimu sayansi na utamaduni UNESCO lilichapisha taarifa iliyoanisha hali ya elimu ya msingi duniani ambapo pamoja na mambo mengine ripoti hiyo inaonyesha kuwa kati ya vijana wanne mmoja hajui kusoma duniani kutokana na ukweli kwamba elimu hiyo ya msingi haijatekelezwa kwa nchi nyingi kama inavyopaswa. Noel Thomson [...]

21/02/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Lugha ya mama ina umuhimu katika kuinua kiwango cha elimu

Kusikiliza / mother language day

Februari 21 ni siku ya lugha ya mama duniani, siku hii huadhimishwa kusherehekea uwepo wa lugha nyingi na tamaduni tofauti kote ulimwenguni. Lugha ya mama ni lugha ya kwanza imtokayo mtu pale anapoanza kuwa na uwezo wa kuzungumza. Mtu anaweza kuwa ni raia wa Uganda na kabila lake ni muankole, lakini akazaliwa Marekani na iwapo [...]

21/02/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Machafuko Ukraine hayakubaliki: UM

Kusikiliza / Nembo ya Umoja wa Mataifa

Jopo la  wataalamu huru wa Umoja wa Matifa leo limetaka kusitishwa hima kwa machafuko mjini Kiev Ukraine ambayo yameshuhudia vifo vya raia  na vikosi vy ausalama. Taarifa ya jopo hilo kwa vyombo vya habari inamnukuu Chaloka Beyani, anayeongoza kamati ya kuratibu wataalamu wa kimataifa iliyoteuliwa na baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa. [...]

21/02/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Wavuvi wadogowadogo kupigwa chepuo na FAO

Kusikiliza / fishermen - Africa

Huenda wavuvi wadogo wadogo wa samaki wakanufaika kutokana na shirika la chakula na kilimo FAO kuwasaidia wavuvi hao hususani katika nchi zinazoendelea hatua ambayo itawasaidia wavuvi hao kupata faida kutokana na kukua kwa soko la bidhaa hizo duniani Katika mahojiano na Sandra Ferrari wa radio ya Umoja wa Mataifa mchambuzi wa mipango ya samaki kutoka [...]

21/02/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ripoti mpya ya UM yamulika ukiukwaji wa haki za binadamu Uganda`

Kusikiliza / Human Rights

Tume ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imetoa ripoti mpya kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Uganda. Ripoti hiyo inatia mstari wa mbele taasisi ya polisi ikifuatwa na jeshi la serikali ya nchi hiyo. Hi hapa ni tarifa kamili na John Kibego wa radio washirika ya Spice FM nchini humo. (Taarifa ya [...]

21/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Tunategemea uongozi wako kwenye mabadiliko ya tabianchi; Ban amweleza Bloomberg

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-Moon na Michael Bloomberg

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon leo amekutana na Michael Bloomberg ambaye ni mjumbe wake maalum kuhusu miji na mabadiliko ya tabianchi na kusema ni matumaini yake kuwa Meya huyo mstaafu wa jiji la New York atatumia uzoefu wake kusaidia miji kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa. Akizungumza baada ya tukio maalum [...]

21/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Zoezi la kuwahamisha kwa hiari wakimbizi wa Somalia walioko Kenya kuanza tena

Kusikiliza / Wakimbizi wa Somalia walioko nchini Kenya

Zoezi la kuwarejesha makwao kwa hiari wakimbizi wa Somalia walioko nchini Kenya linatarajiwa kuanza tena baada ya mabadiliko ya serikali nchini Somalia ambayo yalisababisha kusitishwa kwa zaoezi hilo. Katika mahojiano maalum na idhaa hii msemaji wa ofisi ya shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi nchini Kenya Abel Mbilinyi amesema ziara ya waziri mkuu mpya [...]

21/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mapigano makali ya hivi karibuni zaidi Sudan Kusini yamtia hofu Ban

Kusikiliza / Mapigano ya Sudan Kusini yanapelekea wengi kukimbia nyumbani

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameeleza wasiwasi wake juu ya ripoti za kuanza tena kwa mapigano makali kwenye jimbo la Upper Nile nchini Sudan Kusini mapema wiki hi na madhara yake kwa wananchi. Katika taarifa yake Ban ametaka pande kwenye mzozo huo kuheshimu sheria za kimataifa za haki za binadamu na kuhakikisha [...]

21/02/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UM walaani shambulio nchini Somalia

Kusikiliza / Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa UM nchini Somalia, Nicholas Kay

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Nicholas Kay amelaani shambulio la leo dhidi ya ofisi za makao makuu ya ofisi za serikali kwenye mji mkuu wa nchi hiyo, Mogadishu. Taarifa zaidi na Joseph Msami. (Taarifa ya Joseph) Hili ni tukio lingine la uhalifu linalodhihirisha kuhaha kwa watekelezaji, amesema Kay katika [...]

21/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNICEF yahitaji zaidi ya dola Bilioni Mbili kunusuru mamilioni ya watoto

Kusikiliza / unicef-logo

Shirika la Umoja la kuhudumia watoto, UNICEF limetoa ombi la zaidi ya dola Bilioni Mbili kwa ajili ya usaidizi kwa watoto wenye mahitaji ya dharura kwenye nchi 50 duniani kwa mwaka huu wa 2014. Taarifa zaidi na Alice Kariuki. (Taarifa ya Alice) UNICEF inasema idadi hiyo ya watoto ni miongoni mwa watu Milioni 85 kwenye [...]

21/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Zaidi ya wakimbizi 20,000 wa CAR waingia Cameroon ndani ya wiki tatu

Kusikiliza / Mtoto mkimbizi kutoka CAR akipatiwa chanjo kwenye kituo kimoja cha Nangungue, Mashariki mwa Cameroon kilichowekwa na UNHCR. (Picha-UNHCR)

Wakati Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ametoa mapendekezo sita ya kuimarisha ulinzi na usalama huko Jamhuri ya AFriak ya Kati ikiwemo kuongeza askari na polisi wa Elfu Tatu, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limesema idadi ya wananchi waliokimbia makwao na kuingia Cameroon wiki tatu zilizopita ni zaidi ya [...]

21/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031