Nyumbani » 20/02/2014 Entries posted on “Febuari 20th, 2014”

Hali nchini Ukraine inatia shaka: Pillay

Kusikiliza / Bi. Navi Pillay (Kushoto) akihojiwa na Elena Vapnitchnaia wa Radio ya Umoja wa Mataifa.

Kamishna mkuu wa haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa Navy Pillay amesema hali nchini Ukraine inatia shaka na kuna ulazima wa dharura wa kutafuta amani ya kudumu kwa mustakabali mwema wa raia wa nchi hiyo Katika mhojiano na Ellena Vapnitchnaia wa idhaa ya Kirusi yaUmoja wa Mataifa Kamishna Pillay amesema hali ya haki za [...]

20/02/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Malala atembelea kambi ya wakimbizi wa Syria

Kusikiliza / Malala akiwa na wakimbizi

Huku mzozo wa Syria ukiendelea, wananchi wanakimbilia nchini jirani kutafuta hifadhi. Mmjoa ya nchi hizo ni Jordan ambako wakimbizi wanawasili kwa mamia. wengi wamesikia kuhusu mzozo na masaibu wanayokumbana nayo wakimbizi na pia kuna baadhi ya watu ambao wamepata fursa ya kujionea hali halisi mmoja wa shuhuda ni mtoto Malala Yousfzai. Basi ungana na Grace [...]

20/02/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban asikitishwa na ghasia zilizosababisha vifo vya watu 100 huko Ukraine

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon

Nasikitishwa sana na kuendelea kuzorota kwa amani nchini Ukraine hususan Jumatano na Alhamisi kulikosababisha vifo vya watu 100, amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon alipozungumza na waandishi wa habari mjini New York siku ya Alhamisi. Bwana Ban amesema fikra zake ziko na familia za wafiwa huku akiwatakia ahueni ya haraka majeruhi ambapo [...]

20/02/2014 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Ban atoa mapendekezo Sita ya kuimarisha usalama huko CAR

Kusikiliza / Umoja wa Mataifa unataka kuhakikisha mustakhbali wa wananchi wa CAR wakiwemo wanawake na watoto unakuwa wa matumaini

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon leo amelihutubia Baraza la usalama na kutoa mapendekezo Sita ya kuimarisha amani na ulinzi nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati ambako hali ya usalama inazidi kuzorota kila siku huku serikali ya mpito ikijitahidi licha ya ukata kukwamua hali ya kiusalama na kijamii. Bwana Ban amesema pamoja na [...]

20/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ziara ya Malala mpakani Jordan

malala jordan syria

20/02/2014 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Sudan weka wazi ripoti ya maandamano ya mwaka jana: Mtaalamu UM

Kusikiliza / Moja ya vyumba vya wafungwa alivyotembelea Mashood Adebayo Baderin kwenye gereza la Zalingei, Darfur Kati nchini Sudan wakati wa ziara yake.

Mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu nchini Sudan Mashood Adebayo Baderin amehitimisha ziara yake rasmi ya siku Tisa nchini humo akitaka mamlaka kuweka hadharani ripoti ya uchunguzi ya maandamano ya Septemba mwaka jana yaliyosababisha umwagaji damu. Bwana Baderin ameonyesha wasiwasi wake kwa serikali kutotoa ripoti ya maandamano hayo ya kupinga kuondolewa [...]

20/02/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

UM waonya kuendelea kuzorota kwa hali za wakimbizi wa ndani CAR

Kusikiliza / Mkuu wa UNAIDS Michel Sidibé ziarani CAR

Ujumbe wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa ulio ziarani huko Jamhuri ya Afrika ya Kati umejionea hali halisi na kuonya kuwa hali za wakimbizi wa ndani kwenye maeneo mbali mbali nchini humo zinazidi kuzorota na hatua za haraka zahitajika kusitisha mapigano na kuongeza usaidizi. Valerie Amos ambaye ni Mkuu wa shirika umoja wa [...]

20/02/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ongezeko la mahitaji ya dharura laongeza kiwango cha usafirishaji shehena za usaidizi :UNHCR

Kusikiliza / Mfanyakazi wa UNHCR akipakia shehena ya misaada kwa ajili ya wakimbizi wa ndani wa Syria kwenye bohari ya shirika hilo huko Dubai, Falme za kiarabu

Shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi UNHCR linasema kufuatia ongezeko la mahitaji ya dharura ya kibinadamu kwenye maeneo mbali mbali ya mizozo duniani, bohari yake iliyoko Dubai huko Falme za kiarabu limeshuhudia ongezeko dhahiri la operesheni ambapo mwaka jana kiwango cha shehena zilizosafirishwa kiliongezeka kwa asilimia 30 ikilinganishwa na mwaka 2012. Taarifa ya shirika [...]

20/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNESCO yalaani mauaji, UNICEF yasikitishwa na hali ya watoto huko Ukraine

Kusikiliza / Ramani ya Ukraine

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO Irina Bokova amelaani vikali mauji ya mwanahabari Vyacheslav Veremyi, yaliyotokea Jumatano kweney mji mkuu wa Ukraine Kiev na kutaka ulinzi zaidi kwa wanahabari. Katika taarifa yake, Bi.Bokova amekaririwa akisema kuwa haki za wanahabari za kutafuta na kuandika habari kwenye mazingira ya [...]

20/02/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UNFPA yachukua hatua za dharura za mahitaji ya wajawazito Ufilipino

Kusikiliza / Mfanyakazi wa UNFPA akitoa huduma kwa mama mzazi huko Tacloban

Shirika la Idadi ya watu la Umoja wa Mataifa, UNFPA limeungana na tamko la Umoja huo la kutangaza kiwango cha juu zaidi cha dharura nchini Ufilipino kufuatia janga la kimbunga Haiyan zaidi ya miezi mitatu iliyopita. Mkurugenzi Mkuu wa UNFPA Dkt. Babatunde Osotimehin amesema hali hiyo imefanya wapatie kipaumbele cha juu huduma zake eneo hilo [...]

20/02/2014 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Athari za uhaba wa maji na uhakika wa chakula kuangaziwa kwenye mkutano wa NENA.

Kusikiliza / Athari za upungufu wa maji

  Uhaba wa maji na uhakika wa chakula ni ajenda kuu ya mkutano wa 32 wa nchi za Afrika Kaskazini na baadhi ya nchi za Mashariki ya Kati, NENA utakaoanza jumatatu ijayo huko Roma, Italia, limesema shirika la chakula na kilimo duniani, FAO kama anavyoripoti Assumpta Massoi. (Ripoti ya Assumpta) Wakati upatikanaji wa maji kwenye [...]

20/02/2014 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Tofauti kati ya maskini na tajiri duniani yazidi kuongezeka: Ban

Kusikiliza / Leo ni siku ya kimataifa ya haki ya kijamii

Viongozi waandamizi ndani ya Umoja wa Mataifa wamepaza sauti zao hii leo siku ya kimataifa ya haki ya kijamii wakitaka mamlaka kote duniani kuchukua hatua kujenga mazingira ya ustawi bora kwa wote kwani tofauti kati ya maskini na tajiri inazidi kuongezeka kila uchao. Miongoni mwao ni Katibu Mkuu wa Ban Ki-Moon ambaye amesema tofauti hiyo [...]

20/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Twakabiliwa na janga la kijamii., wanasiasa hawapaswi kupuuza : ILO

Kusikiliza / Kuna janga la kijamii:ILO picha ya Bay Ismoyo/AFP 2014

  Wakati dunia inaadhimisha siku ya haki ya kijamii hii leo, shirika la kazi ulimwenguni, ILO linasema hali ya kijamii si shwari kwani vijana wamekata tamaa na hakuna mwanasiasa anayeweza kuepuka kutambua hilo na hivyo ILO imetaka wanasiasa kuungana na kuwa na kauli moja juu ya kuondokana na hali hiyo. Alice Kariuki na ripoti kamili. [...]

20/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031