Nyumbani » 17/02/2014 Entries posted on “Febuari 17th, 2014”

Wataalam wa IAEA wakutana kuhusu kinga dhidi ya mionzi ya nyuklia

Kusikiliza / Fukushima

Mkutano wa wataalam wa Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomiki, IAEA kuhusu kinga dhidi ya mionzi ya nyuklia, umeanza leo mjini Vienna, Austria. Lengo la mkutano huo ni kuchagiza uaminifu na uelewa wa suala la kinga dhidi ya mionzi ya nyuklia baada ya ajali ya nyukli ya mtambo wa Fukushima Daiichi. Katika mkutano huo [...]

17/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Uhalifu ulokithiri unatendeka Korea Kaskazini, DPRK: UM

Kusikiliza / Bendera ya DPRK

Uhalifu ulokithiri unatendeka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea, DPRK, kwa mujibu wa ripoti mpya ilotolewa na Umoja wa Mataifa.   Ripoti hiyo ilotolewa na tume ya uchunguzi inaorodhesha kile inachokiita uhalifu dhidi ya ubinadamu, ambao hautendeki tu ndani ya mfumo wa jela pekee. Uhalifu huo unajumuisha uangamizaji, mauaji, utumwa, vifungo vya jela, [...]

17/02/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kenya yatakiwa kufuta vipengele vya sheria ya kuhusu umiliki wa mali kwa wanandoa

Kusikiliza / Frances Raday

Jopo la wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa leo wameisihi Kenya kufuta baadhi ya vipengele kwenye sheria ya umiliki wa mali za ndoa kwa misingi ya kwamba ni ya kibaguzi kwani inawanyima wanawake haki ya umiliki wa mali hizo iwapo kuna talaka au kifo cha mwanandoa. Wakizungumza mjini Geneva wataalamu hao wamesema [...]

17/02/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Hali ya huduma kwa watu walio taabani kutokana na maradhi ina katisha tamaa

Kusikiliza / Ripoti

  Ripoti mpya iliyotolewa hivi karibuni kuhusu huduma kwa watu walio taabani kutokana na maradhi imeonyesha kuwa hali ya huduma hiyo ni mbaya zaidi kwenye nchi zinazoendelea. Mathalani inasema kuwa wagonjwa walio taabani kutokana na magonjwa kama vile saratani, moyo, kisukari na hata kiharusi hupata machungu ya maumivu bila tiba huku uangalizi ukiwa wa taabu. [...]

17/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930