Nyumbani » 16/02/2014 Entries posted on “Febuari 16th, 2014”

Ban alaani vikali shambulio la kigaidi Misri

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, amelaani vikali shambulio la kigaidi dhidi ya basi la abiria katika mjini wa Taba, kusini mwa Sinai, nchini Misri, ambalo limeripotiwa kuwaua watu wane, wakiwemo watalii wa Korea Kusini, na kuwajeruhi wengine wengi. Taarifa ilotolewa na msemaji wake imesema Bwana Ban ametuma risala za rambi rambi kwa [...]

16/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Radio ni chombo chaa kijamii hususani Afrika: Dkt Hamza Mwamoyo

Kusikiliza / Dkt. Hamza Mwamoyo

  Radio ni chombo cha habari kwa makundi yote kwa wasomi na wasio wasomi na pia chombo hiki hutumika kama chombo cha kijamii barani Afrika amesema mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya sauti ya America VOA  Dkt. Mwamoyo Hamza wakati akihojiwa an Sunday Shomari wa idhaa hiyo aliyewakilisha idhaa ya Kiswahili ya radio ya Umoja wa [...]

16/02/2014 | Jamii: Mahojiano, Siku ya Radio Duniani | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930