Nyumbani » 14/02/2014 Entries posted on “Febuari 14th, 2014”

Sauti kutoka kona mbali zadhihirisha umuhimu wa chombo:Radio

Kusikiliza / Mtoto akisikiliza radio (picha ya UNESCO)

Mwaka huu 2014, siku ya Radio duniani imeangazia uwezeshaji wa kijinsia kupitia Radio, iwe kwa kuajiri wanawake kama viongozi kwenye sekta hiyo au watendaji au kuandaa vipindi ambavyo vinajenga usawa wa kijinsia kwa kuboresha maisha ya wanawake na watoto wa kike kiuchumi, kisiasa na kijamii. Ni katika muktadha huo ambapo Idhaa hii imekusanya taarifa kutoka [...]

14/02/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki, Siku ya Radio Duniani | Kusoma Zaidi »

Kati ya radio na intaneti ipi ina nafasi kubwa

Kusikiliza / Radio

Dunia ikiwa imeadhimisha wiki ya internet salama iliyokwenda sanjari na siku ya radio duniani, mjadala mkubwa umekuwa nikamauwepo wa radio unaondoa umuhimu wa radio? Joseph Msami anaangazia tishio la kutoweka kwa radio kutokana na wengi kupata taarifa muhimu kwenye mitandao inayopatikana katika internet, ungana naye.

14/02/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki, Siku ya Radio Duniani | Kusoma Zaidi »

Ripoti mpya yaangazia madhila na mafanikio ya wahamiaji vijana duniani

Kusikiliza / WYR_Launch_14_Feb_2014_1

Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imezinduliwa leo ikiangazia athari za wahamiaji vijana kwa nchi wanazotoka, kule wanakopita na hata maeneo wanakohitimishia safari zao. Ikiwa imechapishwa na Idara ya masuala ya uchumi na kijamii ya Umoja wa Mataifa, DESA, ikiwa na jina Ripoti ya vijana duniani inabainisha mafanikio na hata madhila ya kundi hilo. Mathalani [...]

14/02/2014 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Mjumbe maalum wa UM yuko DRC kuchagiza mchakato wa amani

Kusikiliza / Bi. Mary Robinson akiwa katika sehemu ya ziara yake huko DRC. (Picha-MONUSCO)

Mazungumzo kati ya Mjumbe maalum wa Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa kwenye nchi za maziwa makuu Bi. Mary Robinson na viongozi wa serikali huko Jamhuri ya Kidemokrasia yaCongokuhusu utekelezaji wa mpango wa amani, ulinzi na ushirikiano uliotiwa saini mwezi Februari mwaka jana yamekuwa na manufaa. Amesema msemaji wa Umoja wa Mataifa mjiniNew Yorkalipozungumza na [...]

14/02/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Ban apongeza makubaliano ya kukutanisha familia kwenye rasi ya Korea.

Kusikiliza / Korean-Penninsula

  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, amekaribisha makubaliano Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea, DPRK na Jamhuri ya kufanya ukutanishaji wa jamaa kwenye Mlima wa Kumgang kati ya Februari 20-25 kama ilivyopangwa. Taarifa ilotolewa na msemaji wake inasema kuwa Katibu Mkuu ametiwa moyo hasa na makubaliano hayo baada ya wito alioutoa [...]

14/02/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

CAR yamulikwa katika mjadala wa Baraza la Usalama kuhusu ushirikiano wa UM na miungano ya kikanda

Kusikiliza / Baraza la Usalama

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limefanya kikao cha kujadili ushirikiano kati ya Umoja wa Mataifa na miungano ya kikanda katika kudumisha amani na usalama wa kiamataifa- kikao ambao pia kimehutubiwa na Katibu Mkuu, Ban Ki-Moon. Joshua Mmali na taarifa kamili (Taarifa ya Joshua) Katika hotuba yake kwa Baraza la Usalama, Katibu Mkuu [...]

14/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Hali ya haki za binadamu Mali kutathminiwa

Kusikiliza / Wakimbizi nchini Mali

Mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya kibinadamu nchini Mali, Suliman Baldo wiki ijayo anaanza ziara ya siku Kumi nchini humo kwa ajili ya kutathmini hali ya binadamu. Baldo amesema atakalomulika ni vile ambavyo mamlaka zinashughulikia changamoto muhimukamavile harakati dhidi ya ukwepaji wa sheria, kurejesha ulinzi, mamlaka za nchi na ghasia za kijamii. [...]

14/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

CITES yakaribisha azimio la London kuhusu biashara haramu ya wanyama wa pori

Kusikiliza / cites1

Sekritariati ya Kamati ya kudhibiti biashara katika viumbe vilivyo katika hatari ya kuangamizwa, CITES, imekaribisha kaongamano la London kuhusu biashara haramu katika wanyama wa pori, ambalo lilifanyika Februari 12-13. Kongamano hilo liliandaliwa na serikali ya Uingereza na familia ya kifalme ya Uingereza, na kuleta pamoja wawakilishi wan chi 46 na mashirika 11 ya kimataifa ili [...]

14/02/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mazungumzo ya Syria yaendelea Geneva pande kinzani zatoa masharti

Kusikiliza / Syria displaced

Awamu ya pili ya mkutano wa kusaka amani nchini Syria unaendela mjini Geneva ambapo hii leo pande zinazokinzana zimekutana na waandishi wa habari kuzungumzia hatua za mazungumzo hayo. Msemaji wa serikali Naibu waziri wa mambo ya nje Faisal Makdad amesisitiza dhamira ya kukomesha umwagaji damu ili kufikia amani ya kweli. Tuanataka kuendelea na majadiliano yetu [...]

14/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kinachoendelea Venezuela kinatutia shaka: Ofisi ya haki za binadamu

Kusikiliza / HRC

Ofisi ya Kamishna wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa imeelezea wasiwasi wake juu ya ongezeko la ghasia nchiniVenezuela, ikitaja zaidi tukio la vifo vya watu wapatao watatu wakati wa maandamano kwenye mji mkuu Caracas, Juzi Jumatano. Msemaji wa ofisi hiyo Rupert Colville akizungumza na waandishi wa habari mjiniGeneva, Uswisi amesema maelfu ya watu [...]

14/02/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kusuasua kutatua migogoro kwazorotesha mifumo ya usaidizi wa kibinadamu: Ripoti

Kusikiliza / Bi Kyung-Wha Kang

Umoja wa Mataifa kupitia shirika lake la usaidizi wa kibinadamu, OCHA, leo umezindua ripoti inayoainisha takwimu na mwelekeo wa majanga ya kibinadamu duniani ambapo pamoja na mambo mengine inasema kuwa mwaka 2012 jumla ya dola Bilioni Tano na nusu zilielekezwa kwenye usaidizi huo ikiwa ni asilimia 62 ya ombi lililotolewa. Ripoti hiyo inasema kuwa wahisani [...]

14/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ukatili dhidi ya watoto CAR sasa umevuka mpaka: UNICEF

Kusikiliza / younggirlCAR

Takribani watoto 133 huko Jamhuri ya Afrika ya Kati wameuawa au kujeruhiwa na kuachwa na ulemavu wa viungo katika muda wa miezi miwili iliyopita, limesema Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kama anavyoripoti Alice Kariuki. (Ripoti ya Alice) UNICEF inasema wiki za karibuni zimeshuhudia viwango vya juu vya kupindukia vya ukatili dhidi [...]

14/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Sekta ya afya ya umma CAR imesambaratika: WHO

Kusikiliza / Wananchi wa CAR

Shirika la Afya Duniani, WHO, limesema huduma za afya katika Jamhuri ya Afrika ya Kati zimesambaratika, na hivyo kuwaweka raia katika hatari ya mikurupuko ya magonjwa, huku majeruhi wa machafuko wakiwa hawapati matibabu mazuri.Grace Kaneiya na taarifa zaidi. (Taarifa Grace) WHO imesema kuwa vituo vya afya vimeporwa na kuharibiwa kwa kiasi kikubwa, na hivyo kulazimu [...]

14/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031