Nyumbani » 13/02/2014 Entries posted on “Febuari 13th, 2014”

Wakati ni huu wa kubadili fikra; wanawake wanaweza: Bi. Nducha

Kusikiliza / Bi. Nducha katika moja ya mahojiano na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt. Asha-Rose Migiro kwenye studio za Radio ya UM mjini New York.

Siku ya Radio duniani imeadhimishwa tarehe 13 Februari ambapo Kaimu Mkuu wa Radio ya Umoja wa Mataifa Bi. Flora Nducha amesema wakati umefika kwa wasikilizaji kutambua kuwa wanawake wanaweza na kwamba radio ikitumika vyema inaweza kuleta mabadiliko ya kifikra ambayo yamekuwa yakikwamisha ari ya wanawake na hata wanaume kupatia kipaumbele kundi hilo. Katika mahojiano nami [...]

13/02/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki, Siku ya Radio Duniani | Kusoma Zaidi »

Nafasi ya wanahabari wanawake Kenya yaangaziwa; Yaelezwa hatua zimepigwa

Kusikiliza / Wanawake wakiwa studio

Radio ni chombo muhimu katika jamii iwe ni katika kutoa habari kuelimisha na kwa ajili ya burudani hususan katika nchi zinazoendelea. Chombo hiki ni muhimu pia katika kujenga mustakhabli wa jamii kwa ujumla. Radio hutumika katika kupigania haki katika jamii. Ijapokuwa chombo hiki kina faida nyingi ama watangazaji hususan wanawake hukumbana na changamoto nyingi wakati [...]

13/02/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki, Siku ya Radio Duniani | Kusoma Zaidi »

Hakuna hatua zilizopigwa katika harakati za amani Syria: Brahimi

Kusikiliza / Lakhdar Brahimi

  Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Nchi za Kiarabu kuhusu Syria, Lakhdar Brahimi, amefanya mikutano na Waziri wa masuala ya kisiasa wa Marekani, Wendy Sherman, na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Gennady Gatilov, pembezoni mwa awamu ya pili ya mazungumzo ya harakati za amani Syria.   Katika mkutano na [...]

13/02/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Umoja wa Mataifa watoa wito kwa uwekezaji mkubwa katika maeneo ya vijijini Afrika

Kusikiliza / Mkulima shamban

Maendeleo vijijini ni muhimu kwa maendeleo ya Afrika , lakini ni suala ambalo halipewi kipaumbele na Serikali , wakopeshaji wa kimataifa na watunga sera, limesema shirika la UM la kazi duniani  (ILO) katika ripoti iliyotolewa leo ikitoa wito kuongezeka kwa uwekezaji katika maeneo ya vijijini. Naibu Mkurugenzi Mkuu wa ILO anayeshusika na oparesheni za mashambani [...]

13/02/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Bila kujumuisha wanawake maendeleo ni ndoto: Manongi

Kusikiliza / Joseph Msami katika mahojiano na Balozi Manongi

''Bila kujumuisha wanawake hakuna maendeleo na radio inawezesha jukumu hilo"amesema Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa balozi Tuvako Manongi wakati wa mahojiano maalum na Joseph Msami wa idhaa hii kuhusu umuhimu wa siku ya radio duniani February 13 kila mwaka. Balozi Manongi ambaye nchi yake itaongoza mjadala hapa Umoja wa Mataifa katika [...]

13/02/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki, Siku ya Radio Duniani | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama laongeza muda wa ofisi ya UM Burundi hadi Disemba 31 2014

Kusikiliza / Kikao cha Baraza la Usalama

  Baraza la Usalama limepitisha leo azimio la kuongeza muda wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa Nchini Burundi, BNUB hadi mwishoni mwa mwaka huu, na kumwomba Katibu Mkuu kuubadili ujumbe huo kuwa timu ya kitaifa ya Umoja wa Mataifa nchini humo baada ya kumalizika muda wa BNUB. Azimio hilo limefuatia ombi la serikali ya Burundi [...]

13/02/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Umoja wa Mataifa wasikitishwa na kuzorota kwa amani Iraq

Kusikiliza / Ramana ya Iraq

  Ofisi ya Umoja wa Mataifa nchini Iraq UNAMI imeelzea kusikitishwa kwake na kuzorota kwa amani huko Fallujah kufuatia kuzuka kwa machafuko  katika jimbo la Anbar nchini Iraq ambapo zaidi ya familia 63,000 wamesajiliwa kuwa wakimbizi wa ndani. Taarifa ya UNAMI imemkariri mkuu wa UNAMI Nickolay Mladenov akitaka umoja na ujumuishwaji wa kisiasa wakti huu ambapo [...]

13/02/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UNSOM yalaani shambulio la bomu karibu na msafara wa UM Mogadishu

Kusikiliza / Nicholas Kay

  Kumekuwa na mlipuko wa bomu lililobebwa kwa gari karibu na msafara wa magari ya Umoja wa Mataifa leo Alhamis wakati wa adhuhuri, ambao ulikuwa karibu na uwanja wa ndege wa Mogadishu. Taarifa ilotolewa na Mwakilishi wa Katibu Mkuu na Mkuu wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, UNSOM, Nicholas Kay, imelaani vikali shambulio [...]

13/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wawili wafariki dunia kwa Surua kwenye kambi ya wakimbizi Uganda, chanjo yaendelea

Kusikiliza / Mtoto akipewa chanjo

  Nchini Uganda, wakati Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi la UNHCR, wadau wake na serikali ya Uganda wakipambana na maradhi ya surua katika kambi za wakimbizi kaskazini mwa nchi, watu wawili wameripotiwa kufariki dunia kutokana na maradhi hayo huku wengine 44 wakiripotiwa kuambukizwa kwenye kambi ya Kyangwali magharibi mwa nchi. John Kibego [...]

13/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Bila wanawake hakuna maendelo ya kweli, radio imetekeleza jukumu hilo: Manongi

Kusikiliza / Balozi Tuvako Manongi, Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa

Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa balozi Tuvako Manongi amesema kauli mbiu ya siku ya radio duniani kwa mwaka huu inadhihirisha kuwa  wanawake ni sehmu kubwa ya jamii na kwamba kundi hili lisiposhirikishwa na kuwezeshwa nchi yeyote haiwezi kuendelea. Akizungumza katika mahojiano maalum na idhaa hii balozi Manongi ambaye nchi yake inatarajia [...]

13/02/2014 | Jamii: Habari za wiki, Siku ya Radio Duniani | Kusoma Zaidi »

Vyombo vya habari vyatakiwa kutoa fursa kwa wanawake

Kusikiliza / Flora Nducha, Kaimu Mkuu wa Radio ya Umoja wa Mataifa

Kaimu mkuu wa radio ya Umoja wa Mataifa na mratibu wa maadhimisho ya siku ya radio katika Umoja huo Flora Nducha amesema wakati umefika kwa vyombo vya habari hususani radio na mamlaka nyingine mathalani serikali, kutoa fursa kwa wanawake ambao amesema lazima wadhihirishe uwezo wao. Akizungumza katika mahojiano maalum na idhaa hii kuhusu siku ya [...]

13/02/2014 | Jamii: Habari za wiki, Siku ya Radio Duniani | Kusoma Zaidi »

Redio ndicho chombo bora cha kukabiliana na ukatili wa kingono katika vita vijijini: Bangura

Kusikiliza / Hawa Bangura

    Leo ni siku ya Radio duniani ambapo Umoja wa Mataifa kupitia viongozi wake umechagiza ujumbe muhimu wa siku hii ambao ni usawa wa jinsia kupitia Radio kwa kuongeza watendaji wanawake na hata kuandaa vipindi vya kuimarisha usawa wa kijinsia. Assumpta Massoi na ripoti kamili.   (Taarifa ya Assumpta)   Miongoni mwa viongozi hao [...]

13/02/2014 | Jamii: Habari za wiki, Siku ya Radio Duniani | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930