Nyumbani » 12/02/2014 Entries posted on “Febuari 12th, 2014”

Ujumbe wa Katibu Mkuu

Ban Ki-moon 5th

12/02/2014 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Familia nchini Tanzania hutegemea radio kwa taarifa muhimu ikiwamo afya

Kusikiliza / Studio za radio

Familia nyingi hususani katika nchi zinazoendelea hutegemea radio kwa ajili ya kupata taarifa na mambo mengineyo ya kijamii na hata kiuchumi.  Ili kufahamau hali ilivyo nchini Tanzania , Tamimu Adamu wa radio washirika Jogoo Fm iliyoko Ruvuma nchini humo amelazimika kufunga safari na kuitembele moja ya familia mkoani Ruvuma, unagana naye katika ripoti ifuatayo.  

12/02/2014 | Jamii: Makala za wiki, Siku ya Radio Duniani | Kusoma Zaidi »

Nafasi ya wanawake katika radio bado ni finyu:Edda Sanga

Kusikiliza / Bi Edda Sanga baada ya kupokea tuzo ya mwandishi bora mwaka 2011 kutoka kwa Rais Kikwete

Licha ya juhudi nyingi za wanahabari na taasisi za habari kuwainua wanawake na wasichana katika vyombo vya habari mathalani radio bado juhudi zinakabiliana na changamoto kadhaa licha ya kuzaa matunda kwa sehemu. Katika mahojiano maalum na Goerge Njogopa wa idhaa hii mtangazaji mkongwe nchini Tanzania Eda Sanga ambaye ni miongoni mwa wanawake wachache waliosikika mwanzoni [...]

12/02/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki, Siku ya Radio Duniani | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lajadili ulinzi wa raia katika migogoro ya silaha

Kusikiliza / Kikao cha Baraza la Usalama

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limefanya mjadala kuhusu ulinzi wa raia katika migogoro ya vita, likiangazia utekelezaji kikamilifu wa majukumu ya ulinzi wa raia wanaopewa wajumbe wa ulinzi wa amani. Joshua Mmali na taarifa kamili (Taarifa ya Joshua) Mjadala huo ambao ulipendekezwa na Uingereza, umewashirikisha maafisa wa ngazi za juu wa Umoja [...]

12/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ripoti kuhusu idadi ya watu na maendeleo yazinduliwa

Kusikiliza / Babatunde Osotimehin azindua ripoti (picha ya maktaba)

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon leo ameshiriki uzinduzi wa ripoti tathmini ya idadi ya watu na maendeleo kwa mwaka huu wa 2014. Taarifa kamili na Asumpta Massoi. (Tarifa ya Asumpta) Ripoti hiyo ya kamati ya kutathmini utekelezaji wa mpango uliopitishwa mwaka 1994 kwenye mkutano wa kimataifa wa idadi ya watu huko Cairo, [...]

12/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Hatua za kuwawezesha wanawake katika radio zimepigwa, juhudi zaidi zahitajika

Kusikiliza / Mwanahabari wa radio ya kijamii nchini Haiti(picha ya UNESCO)

Mwanahabari mkongwe nchini Tanzania Edda Sanga amesema juhudi za kuwainua wanawake katika nafasi ya maamuzi katika vyombo vya habari hususani radio zimezaa matunda jambo linaloweza kusababisha habari chanya ziwahusuzo wanawake. Katika mahojiano maalum na idhaa hii Bi Sanga ambaye ni miongoni mwa wanawake wachache waliosikika mwanzoni na kutamba kupitia iliyokuwa Radio Tanzania Dar es salaam [...]

12/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Brahimi akutana na wawakilishi wa Urusi na Marekani, pande zote kukutana kesho

Kusikiliza / Mwakilishi wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na nchi za kiarabu Lakdar Brahimi

Mwakilishi wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na nchi za kiarabu Lakdar Brahimi leo amekutana kwa nyakati tofauti na wawakishi wa serikali za Urusi na Marekani ambao wanashiriki katika awamu ya pili ya mazungumzo ya amani ya Syria unaoendelea mjini Geneva. Taarifa kutoka Geneva kunakofanyika mkutano huo inasema kwamba wawakilishi waliokutana na Bwana Brahimi ni [...]

12/02/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mkuu wa UNHCR Guterres asikitishwa na hali CAR

Kusikiliza / Antonio Guterres

Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi katika Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amesema kuwa amesikitishwa mno na hali nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, ambako amesema ameshuhudia janga la kibinadamu la kiwango kisichoelezeka. Bwana Guterres amesema mauaji ya uangamizaji wa kikabila na kidini yanaendelea, pamoja na mauaji ya kiholela ya halaiki. Amesema kuwa makumi [...]

12/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Vifaa vya mawasiliano na habari vyaendelea kushika kasi duniani: UNCTAD

Kusikiliza / Bidhaa mbalimbali  za mawasiliano

Kiwango cha uingizaji wa bidhaa za habari na mawasilino yaani ICT katika msimu wa mwaka 2012, kinaripotiwa kufikia wastani wa dola za Marekani trilioni 2, ikiwa ni ongezeko kubwa ikilinganishwa na kiwango cha mwaka 2011 kilichofikia trilioni 1.8. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la UNCTAD. Taarifa zaidi na Grace [...]

12/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mkuu wa UNAMID akutana na makundi ya Darfur nchini Uganda

Kusikiliza / Mohamed Ibn Chambas

  Mkuu wa ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika huko Darfur nchini Sudan Mohamed Ibn Chambas yuko Kampala nchini Uganda ambako amekutana na wawakilishi wa makundi mbalimbali ya jimbo la Darfur.  Katika ziara yake hiyo ya siku tatu, Mpatanishi huyo amekutana na kufanya mazungumzo na makundi ambayo bado hajatia saini [...]

12/02/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Hifadhi ya chakula CAR ni mbaya:FAO

Kusikiliza / FAO wanasamabaza vifaa vya kilimo kwa wakulima nchini CAR

Wakulima katika Jamhuri ya Afrika ya Kati wanahitaji msaada wa haraka wa mbegu kwa ajili ya kufanikisha shughuli za kilimo zinazoaanza mwezi Machi,hatua ambayo inaweza kupunguza kwa kiwango kikubwa tatizo la njaa na utapiamlo ambao imekuwa ikiandaa taifa hilo. Hii ni kwa mujibu wa shirika la chakula na kilimo FAO  (Taarifa ya George) Hifadhi ya [...]

12/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031