Nyumbani » 11/02/2014 Entries posted on “Febuari 11th, 2014”

Umoja wa Mataifa walaani jaribio la kumuua spika wa bunge Iraq

Kusikiliza / mladenov

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq, Nickolay Mladenov, amelaani vikali jaribio la mauaji dhidi ya kinara wa bunge la taifa hilo. Msafara wa Bwana Osama Al-Nujaifi ulishambuliwa katika mji wa Mosul kwenye mkoa Ninewa Jumatatu asubuhi. Msemaji wa Umoja wa Mataifa Martin Nesirky, amesema Bwana Mladenov amewatakia majeruhi wa tukio hilo nafuu haraka, [...]

11/02/2014 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

UNMISS na Uhusiano kati ya Sudan na Sudan Kusini vyamulikwa kwenye Baraza la Usalama

Kusikiliza / Baraza la Usalama

Baraza la Usalama la Umoja wa leo limefanya majadiliano kuhusu Ujumbe wa Umoja wa Mataifa Sudan Kusini, UNMISS, pamoja na uhusiano kati ya Sudan na Sudan Kusini na baadaye kuhusu vikwazo ilowekewa Sudan. Mkutano wa leo umehudhuriwa pia na Mkuu wa operesheni za ulinzi wa amani katika Umoja wa Mataifa Hervé Ladsous, ambaye baadaye amewaambia [...]

11/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Radio yawezesha uchumi na maisha ya kijamii kwa wanawake

Kusikiliza / Mwanamke na radio

Uwezeshaji wa kiuchumi na kijamii hutegemea mambo mbali mbali ikiwamo taarifa mbali mbali kupitia vyombo vya habari hususan radio. Wanawake kwa mara nyingi hutegemewa katika uzalishaji na kutunza familia wanaitumiaje radio katika kutekeleza majukumu hayo? Basi ungana na Enes Mwaisakila kutoka radio washirika Jogoo Fm ilioko Ruvuma Tanzania

11/02/2014 | Jamii: Makala za wiki, Mawasiliano mbalimbali, Siku ya Radio Duniani | Kusoma Zaidi »

Ni muhimu kujitambua ili kukabiliana na changamoto zinazowakumba wanahabari hususan wanawake:Zakia

Kusikiliza / Zakia Mohamed na Salim Chiro wa Pwani Fm wakati wa mahojiano

Maadili ya kazi ni muhimu kwa wanawake wanaofanya kazi ya radio amesema Zakia Mohamed mwanahabari mkongwe nchini Kenya na ambaye amekuwa akifanya kazi katika shirika la utangazaji Kenya KBC. Katika mahojiano maaluma na Salim Chiro wa radio washirika Pwani Fm iliyoko Mombasa, Bi Zakia amesema msingi wa mafanikio katika kazi ni kujiamini. Kwanza anaanza kwa [...]

11/02/2014 | Jamii: Makala za wiki, Siku ya Radio Duniani | Kusoma Zaidi »

Watoto walindwe dhidi ya mitandao ya internet:ITU

Kusikiliza / itu child protection

Muungano wa kimataifa wa mawasiliano ITU umeungana na mashirika mengine ya Umoja wa Mataifa, asasi za kiraia na serikali pamoja na makampuni ya teknolojia katika kuadhimisha siku ya mtandao wa internet salama duniani leo tarehe 11 February inayoangazia mkakati wa kieleimu kukuza usalama wa matumizi ya internet kwa watoto na vijana. Kauli mbiu ya mwaka [...]

11/02/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

ICTR yaamulia rufaa ya Augustin Ndindiliyimana, François-Xavier Nzuwonemeye, na Innocent Sagahutu,

Kusikiliza / Ofisi ya ICTR

Kitengo cha rufaa cha Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu kuhusu Rwanda, ICTR, kimetangaza leo uamuzi wake kuhusu maombi ya rufaa yalowasilishwa na Augustin Ndindiliyimana, François-Xavier Nzuwonemeye, na Innocent Sagahutu. Katika uamuzi wake, jopo la majaji wa kitengo hicho wakiwemo Theodor Meron, Liu Daqun, Carmel Agius, Khalida Rachid Khan, na Jaji Bakhtiyar Tuzmukhamedov, limepindua hukumu yote [...]

11/02/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UNHCR yaonya machafuko kuongezeka CAR

Kusikiliza / Wakimbizi wa CAR wakimbia machafuko walielekea nchi jirani

Shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi UNHCR linasema hali inazidi kuwa mbaya katika mji mkuu wa jamahuri ya Afrika ya Kati, CAR, Bangui ambapo mauaji yanendelea. UNHCR inasema kuna ukatili wa wazi unaofanywa zaidi na waasi huku pia ikionya kuwa bunge la nchi hiyo limetoa matamko yanayoweza kuchochea vurugu. Idadi kubwa ya waisilamu inaripotiwa [...]

11/02/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Serikali ya Syria imewazuilia wanaume 295 waliondolewa kwenye mji wa Homs

Kusikiliza / UNHCR logo

Shirika la Kuhudumia wakimbizi katika Umoja wa Mataifa, UNHCR, limesema kuwa wanaume 295 wenye umri kati ya miaka 18 na 55 wamezuiliwa na serikali ya Syria ili kuhojiwa na vyombo vya usalama. Tangua jana, mashirika ya kibinadamu yameweza kuwaokoa raia 1,132 kutoka mji wa kale wa kale Homs. Miongoni mwa wale walioondolewa na Shirika la [...]

11/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wanahabari wanawake katika radio watakiwa kuzingatia maadili na kushinda vishawishi.

Kusikiliza / mwanahabari mwanamke

Katika kuelekea siku ya radio duniani February 13, wanawake walioko katika tasnia ya habari hususani katika radio wametakiwa kuzingatia maadili ya kazi ili kukabiliana na kujiepusha na vishawishi na kutekeleza majukumu yao. Akizungumza katika mahojiano maalum na Salim Chiro wa radio washirika Pwani Fm iliyoko Mombasa, mwanahabari mkongwe nchini Kenya Zakia Muhamedi ambaye amkuwa katika [...]

11/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mamia wafa kwenye mafuriko Burundi, misaada yaanza kutolewa

Kusikiliza / Mafuriko Burundi

Huko Burundi Shughuli za uokozi zinaendelea baada ya mvua kubwa zilizonyesha mwishoni mwa juma katika maeneo ya kaskazini mwa jiji la Bujumbura. Serikali inasema hadi sasa watu 67 ndio wamefariki na zaidi ya 80 kujeruhiwa. Lakini idadi hiyo yaweza kuongezeka. Chama cha mslaba mwekundu kimeanza kuwapatia mahema waathiriwa wa mvua kama anavyoripoti Ramadahani Kibuga (TAARIFA [...]

11/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Brahimi ataka ushirikiano zaidi mkutano wa amani ya Syria ukiendelea Geneva

Kusikiliza / Lakhdar Brahimi

Wakati awamu ya pili ya mazngumzo ya amani ya Syria yakishikia kasi mjini Geneva mjumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na nchi za kiarabu Lakdhar Brahimi amezitaka pande mbili zinazokizana kuonyesha ushirikiano ilikusongesha juhudi za kutafuta amani. Akiongea katika mkutano na waandishi wa habari mjini Geneva Bwana Brahimi amekiri kuwa mazungumzo hayo yana mwendo [...]

11/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

IOM yaendesha mafunzo ya biashara kwa wakimbizi wa ndani Somaliland

Kusikiliza / IOM-Logo

Shirika la kimataifa la uhamiajia IOM linaendesha mafunzo ya siku nne ya utawala wa biashara na ujasiriamali Somaliland katika eneo liitwalo Bohara mafunzo ambayo yanatarajiwa kuwanufaisha wakimbizi wa ndani 30 wanaoshiriki katika mpango huu. Lengo la mafunzo haya ni kutathimini utakelezaji wa mafunzo ya awali ambapo kabla ya kupokea dola 550 mwezi November mwaka jana [...]

11/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNICEF yahofia hatma ya watoto walonaswa kwenye mji wa Homs

Kusikiliza / Bidhaa za msaada zawafikia waaathirika wa mgogoro wa Syria katika wilaya ya Areha ambako misaada haikuwa inafika kwa sababu za kiusalama

Waoto wapatao 500 walikuwa miongoni mwa raia waliokolewa kutoka mji wa kale wa Homs katika siku chache zilizopita katika operesheni ya kibinadamu inayofanywa na Umoja wa Mataifa na Shirika la Hilali Nyekundu la Syria. Wafanyakazi wa UNICEF walioko huko wameripoti kuwa watoto wanaookolewa wanajitokeza wakiwa na uoga mwingi, wanyonge na wanaonekana kukonda mno. Akina mama [...]

11/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031