Nyumbani » 10/02/2014 Entries posted on “Febuari 10th, 2014”

AU na UM wasaini Mkataba wa kupinga ukatili wa kingono sehemu za zenye vita.

Kusikiliza / Africa Union

  Mkataba wa ushirikiano kati ya muungano wa Afrika Au,  na Umoja wa Mataifa, UM kuhusu kukinga na kuzuia ukatili wa kingono katika sehemu za vita barani Afrika umesainiwa mnamo Janury January 31 ikiwa ni siku ya mwisho ya mkutano wa muungano wa Afrika au. Mkataba huo utatumika kama mkakati mkuu kwa ajili ya ushirikiano wa [...]

10/02/2014 | Jamii: Hapa na pale, Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Wanawake nchini Uganda wasema radio ni kichocheo cha maendeleo

Kusikiliza / Wanawake wanahabari

  Tunapoelekea siku ya radio duniani February 13,  umuhimu wa chombo hicho kwa wanawake ni mkubwa na hasa ikizingatiwa kuwa huitumia radio kwa maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kadhalika.Huko nchini Uganda wanwake hao wanasema kwao radio ina umuhimu mkubwa katika kusongeza mbele juhudi za kujiletea maendeleo katika sekta kadhaa. Ungana na John Kibego wa radio [...]

10/02/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki, Siku ya Radio Duniani | Kusoma Zaidi »

Shehena ya tatu ya silaha za kemikali yaondolewa Syria

Kusikiliza / opcw1

Shehena ya tatu ya silaha za kemikali imeondolewa leo nchini Syria. Msemaji wa Umoja wa Mataifa, Martin Nersiky, ametoa maelezo zaidi kuhusu silaha hizo za kemikali kwa waandishi wa habari mjini New York   SAUTI YA NERSIKY   "Shehena hiyo inachukuliwa na meli ya shehena ya Norway, ikiandamana na meli za ulinzi za Uchina, Denmark, [...]

10/02/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UNESCO yajivunia mafanikio ya uwezeshaji Radio za kijamii Tanzania hususan kwenye maendeleo ya kijinsia

Kusikiliza / Mwanamke  akisikiliza radio

Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Teknolojia, UNESCO linajivunia harakati zake za kuleta usawa wa kijinsia kupitia mafunzo yake ya kuziwezesha radio hususan zile za kijamii kwenye nchi zinazoendelea.Miongoni mwao ni zile za nchini Tanzania ambapo katika mahojiano na Assumpta Massoi wa Idhaa hii,  Mratibu wa Mawasiliano wa shirika hilo kwa Radio [...]

10/02/2014 | Jamii: Makala za wiki, Siku ya Radio Duniani | Kusoma Zaidi »

Mkutano wa kutatua mizozo ya kikabila Sudan wafanyika Darfur

Kusikiliza / Walinda amani wa UNAMID

  Ujumbe wa pamoja wa muungano wa Afrika na Umoja wa Mataifa Darfur Sudan (UNAMID) kwa kushirikiana na taasisi ya utafiti wa amani ya chuo kikuuu cha Khartoum mwishoni mwa juma  wamefungua kongamano la siku mbili kuhusu uelewa wa vita vya  kikabila mjini Darfur. Kongamano hilo linahudhuriwa na maprofesa, wasomi na wanaharakati mbalimbali  linajikita katika mambo [...]

10/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

ICC yaanza kusikiliza mashtaka dhidi ya Bosco Ntaganda

Kusikiliza / Jengo la ICC

  Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC, leo imeanza kusikiliza uthibitishaji wa mashtaka dhidi ya Bosco Ntaganda, ambaye anakabiliwa na mashtaka 13 ya uhalifu wa kivita, na mashtaka matano ya uhalifu dhidi ya ubinadamu. Ntaganda alijisalimisha kwa Mahakama hiyo mnamo Machi 22 2013. Mahakama hiyo ilikuwa imetowa waranta mbili za kumkamata Bwana Ntaganda, ambaye alidaiwa [...]

10/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

China yatoa taarifa kuhusu ongezeko la watu waliokumbwa na virusi A(H7N9)

Kusikiliza / Utafiti maabarani

Serikali ya China imeendelea kutoa taarifa zinazofahamisha kuwepo kwa ongezeko la watu wanaokumbwa na virusi vya A(H7N9) ambavyo tayari vimesabisha kifo cha mtu mmoja nchini humu tangu kuzuka kwake.   Kulingana na maelezo yaliyotolewa kwa shirika la afya ulimwenguni WHO, kumekuwa na ongezeko la watu waliokumbwa na virusi hivyo waliofikia nane baada ya kubainika wengine [...]

10/02/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

IPU yataka ulinzi zaidi kwa wabunge CAR kufuatia mauaji

Kusikiliza / Jengo la IPU

  Muungano wabunge duniani, IPU, umetoa wito ulinzi zaidi utolewe kwa wabunge nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, kufuatia mauaji ya mbunge Jean-Emmanuel Ndjaroua hapo jana Februari 9, mjini Bangui. Grace Kaneiya na taarifa kamili Taarifa ya Grace Kaneiya Marehemu Ndjaroua alikuwa mwanachama wa Baraza la Kitaifa la Mpito, ambalo lilichukua majukumu ya uwakilishi wa umma [...]

10/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Uwezeshaji wa Radio za kijamii Tanzania umezaa matunda: UNESCO

Kusikiliza / Wahariri wa Habari wa Radio Kwizera

Katika kuelekea siku ya Radio duniani, Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Teknolojia, UNESCO nchini Tanzania limesema jitihada zake za kuwezesha Radio za kijamii nchini humo kupitia usaidizi wa kuandaa sera za jinsia na vipindi umekuwa chachu katika utendaji wa vituo hivyo na kwa jamii zinazozunguka. Mratibu wa mawasiliano wa UNESCO nchini [...]

10/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Awamu ya pili ya mazungumzo ya amani ya Syria yaanza, UM wataka mapigano yakomeshwe Homs

Kusikiliza / Mfanyakazi wa WFP akiendesha shughuli za msaada Syria

Awamu ya pili ya mazungumzo ya amani ya  Syria yaanza, UM wataka mapigano yakomeshwe Homs Awamu  ya pili ya mazungumzo ya amani ya Syria  yameanza leo mjini Geneva ambapo mjumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa nchi za kiarabu Lakhdar Brahimi amekutana na wawakilishi wa upinzani asubuhi ya leo na anatarajiwa kukutana [...]

10/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ukosefu wa usawa unaweza kuepukika: ILO

Kusikiliza / Nembo ya ILO

  Chapisho jipya la shirika la kazi duniani, ILO linasema kuwa tofauti kati ya matajiri na maskini ina uhusiano kiasi na mabadiliko ya teknolojia lakini ni matokeo ya sera za kiuchumi na kitaasisi zilizotangulia mdororo wa kiuchumi na kuchochewa  zaidi na janga la kijamii. Hata hivyo ILO inasema tofauti hizo zinaweza kukwepeka, Assumpta Massoi na [...]

10/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930