Nyumbani » 03/02/2014 Entries posted on “Febuari 3rd, 2014”

Somalia yaimarisha serikali

Kusikiliza / sherehe juba

  Utawala wa Juba nchini Somalia unaimarika wakati huu ambapo taifa hilo linaendelea kujitahidi kijenga upya nchi ambayo kwa miongo miwili ilikumbwa na mizozo. Ungana na Joseph Msami anayeangazia uimarishwaji wa serikali nchini Somalia katika ripoti ifuatayo.

03/02/2014 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Kobler awasihi waandamanaji DRC kutumia njia za amani kuwasilisha madai yao

Kusikiliza / Martin Kobler (Picha-Maktaba)

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC Martin Kobler ametaka waandamanaji kutumia njia za amani kuelezea matakwa yao. Ametoa kauil hiyo baada ya ripoti ya kwamba watu hao walishambulia kwa mawe magari kadhaa ya Umoja wa mataifa kwenye mji wa Bunia na kusababisha majeruhi wanne akiwemo [...]

03/02/2014 | Jamii: Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Kuwa kisiwa hakuepushi Seychelles dhidi ya usafirishaji haramu wa binadamu: Mtaalamu UM

Kusikiliza / usafirishaji haramu wa binadamu

Ni jambo lisilo na mjadala kuwa Seychelles ni kisiwa lakini hakiko salama dhidi ya wasafirishaji haramu wa binadamu na vitendo vingine viovu. Hiyo ni kauli ya Joy Ngozi Ezeilo mtaalamu maalum wa Umoja wa Mataifa dhidi ya usafirishaji haramu wa binadamu, kauli aliyotoa baada ya kuhitimisha ziara yake nchini Seychelles. Amesema hilo liko bayana kwani [...]

03/02/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Naibu mwakilishi wa UM na nchi za kiarabu kwenye mzozo wa Syria athibitisha kuiacha nafasi hiyo

Kusikiliza / Nasser Al-Kidwa

Naibu mwakilishi wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na nchi za kiarabu kwenye mzozo wa Syria, Nasser al-Kidwa amemthibitishia Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon nia yake ya kuiacha nafasi hiyo ya uwakilishi na kueleza kuwa yuko tayari kuutumikia Umoja huo kwa nafasi yeyote kadri  Katibu Mkuu atakavyoona ni sawa. Bwana Ban amemshukuru Bwana [...]

03/02/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mkuu wa UNAMA alaani shambulio dhidi ya wanakampeni za uchaguzi

Kusikiliza / Ján Kubiš, Mkuu wa UNAMA

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan, Ján Kubiš, ameshutumu vikali shambulio lililosababisha mauaji ya watendaji wawili wa timu ya kampeni ya mgombea wa Urais nchini humo Dokta Abdullah Abdullah. Katika taarifa yake Kubiš amesema watu hao walipiga risasi na watu wenye silaha wasiojulikana siku ya Jumamosi kwenye mji wa Heart. [...]

03/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wajumbe wa Baraza la Usalama wafanya ziara nchini Mali

Kusikiliza / Balozi Gerard Araud akisalimiana na moja ya viongozi wakati wa ziara yao. (Picha-MINUSMA)

Wajumbe wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa wako ziarani nchiniMalikutathmini hali halisi baada ya mzozo uliosababisha madhara makubwa ya kiuchumi, kisiasa na kijamii.  Taarifa zaidi na Assumpta Massoi (Taarifa ya Assumpta) Wajumbe hao pamoja na kutembelea kambi ya kikosi cha ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuleta utulivu nchiniMali, MINUSMA mjiniBamakowamekuwa na mazungumzo [...]

03/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

OCHA kutoa ombi la dola bilioni 1.3 kwa ajili ya Sudan Kusini

Kusikiliza / Toby Lanzer

Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu misaada ya kibinadamu OCHA itatoa ombi la dola bilioni 1.3 katika siku zijazo kwa ajili ya watu walioathirika na machafuko nchini Sudan Kusini. Kwa mujibu wa mratibu wa misada ya kibinadamu Sudan Kusini Toby Lazer , fedha hizo zitatumika kununua vifaa visivyokuwa chakula kwa maelfu ya watu walioathirika [...]

03/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UM na wadau watoa ombi jipya kusaidia wenye njaa barani Afrika

Kusikiliza / Wakazi wa Sahel wengi wao wanategemea chakula cha msaada

Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na wahisani wake leo imezindua mpango ambao umelenga kutoa msaada kwa mamilioni ya watu barani Afrika. Mpango huo wa miaka mitatu una shabaha ya kukusanya kiasi cha dola za Marekani bilioni 2 kutoka kwa wafadhili mbalimbali. Taarifa zaidi na George Njogopa (Ripoti ya George Njogopa ) Kulingana na takwimu zilizopo, [...]

03/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Saratani haitaondoka kwa kutegemea tiba pekee-Ripoti

Kusikiliza / Mojawapo ya vituo vya  uchunguzi wa saratani nchini Nigeria

Ripoti moja imeonya leo kwamba juhudi za kukabiliana na tatizo la saratani duniani haziwezi kuzaa matunda kwa kuendelea kutegemea matibabu pekee bila kuchukua hatua ya kuzuia kasi ya ugonjwa huo.  Ripoti hiyo iliyotolewa na taasisi ya kimataifa ya saratani imehimiza juu ya kutolewa kwa kinga dhidi ya magonjwa kamaini. Grace Kaneiya na maelezo zaidi (RIPOTI [...]

03/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kikao cha utatu cha UNAMID chatiwa hofu na kuchelewa kwa askari na vifaa

Kusikiliza / Askari walinda amani wa UNAMID

Hofu juu ya kuchelewa kupelekwa kwa askari na vifaa kwa ajili ya ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa AFrika, UNAMID huko Darfur, Sudan Kusini imeibuka wakati wa mazungumzo ya kikao hicho mjini Addis Ababa, Ethiopia. Kikao hicho kikijumuisha wawakilishi kutoka Serikali ya Sudan, AU, na Umoja wa Mataifa kimekubaliana kuwa Sudan [...]

03/02/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930