IOM Uganda inachagiza kampeni dhidi ya ukimwi miongoni mwa wasafiri

Kusikiliza /

IOM linagawa vifaa vya maabara na tiba nchini Uganda

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM linagawa vifaa vya tiba na maabara katika vituo mbalimbali vya afya nchini Uganda hasa katika maeneo yenye maambukizi makubwa ya HIV ili kukabiliana na maambukizi hayo katika maeneo makubwa ya usafiri.

HIV na ukimwi bado unanyanyapaliwa nchiniUgandana hususani katika jamii za uvuvi amesema Salongo Dennis Lukyamuzi mmoja wa wavuvi kutoka kijiji cha Kasensero katika mwambao wa ziwaVictoria.

 Kasensero,kamavilivyo vijiji vingi vya uvuvi ni miongoni mwa vijiji vyenye idadi kubwa ya maambukizi ya HIV Uganda, ikiwa na jumla ya hadi asilimia 20 ya watu wanaoishi na virusi vya HIV.

Kwa mujibu wa Simon Wejuli afisa wa mradi wa afya kwenye ofisi ya IOM Uganda ,safari ni chachu kubwa ya maambukizi mapya ya HIV sio tu kwaUgandabali katika eneo zima la Afrika ya Mashariki

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Febuari 2016
T N T K J M P
« jan    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
29