Nyumbani » 27/01/2014 Entries posted on “Januari 27th, 2014”

Wajumbe heshimuni usiri wa mazungumzo epukeni kutia chumvi: Brahimi

Kusikiliza / Lakhdar Brahimi

Mjumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa nchi za kiarabu kwenye mzozo wa Syria, Lakhdar Brahimi ametaka wajumbe kwenye mazungumzo yanayoendelea huko Geneva Uswisi kuwa makini zaidi wanapozungumza na vyombo vya habari na kubwa zaidi ni kuheshimu usiri wa mazungumzo hayo. Bwana Brahimi amewaambia waandishi wa  habari mjini Geneva kuwa hakuna tatizo [...]

27/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mauaji ya kimbari ya Wayahudi yakumbukwa kwenye UM

Kusikiliza / Holocaust

    Hafla ya kumbukumbu ya mauaji ya kimbari yalotekelezwa dhidi ya Wayahudi, yaani Holocaust, imefanyika leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa. Siku hii ni maadhimisho ya kila mwaka ya kufunguliwa kwa kambi ya mauaji ya kimbari ya Auschwitz, na kumbukumbu kwa wahanga wa mauaji hayo.. Muziki Rais wa Baraza Kuu, John William [...]

27/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNECE kupiga jeki Azerbaijan kukabili changamoto za maji

Kusikiliza / UNECE

Baraza la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Ulaya( UNECE) limemaliza majadiliano wataalamu muhimu juu ya mageuzi ya sera nchiniAzerbaijanna kukubaliana nama ya kulipiga jeki taifa hilo katika sekta ya maji. Baraza hilo limeafikia kuanzisha mikakati ya kuisaidia Azerbaijan kukamilisha mkakati wa kitaifa wa kuendeleza  maji katika kipindi cha miezi michache kuanzia sasa. Hatua hiyo [...]

27/01/2014 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Mzigo wa kukabiliana na njaa nchini CAR ni mzito kwa WFP

Kusikiliza / Wananchi wa CAR

Wakati mgogoro huko jamhuri ya Afrika ya Kati CAR ukiendelea kuathiri maisha ya maelfu ya makumi elfu ya wananchi, shirika la mpango wa chakula duniani WFP linakumbana na uhaba wa chakula cha kuwasaidia wananchi hao wanaokabiliwa na njaa. WFP inahaha kunusuru maisha ya wakimbizi hao wa ndani ya nchi yao kama ambavyo taarifa ya Joseph [...]

27/01/2014 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban azungumza na rais wa Ukraine kwa simu leo

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa afanya mazungumzo kwa njia ya simu

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amezungumza kwa njia ya simu na rais wa Ukraine . Viktor Yanukovych ambapo viongozi hao wamejadili hali nchini humo. Katika mazungumzo hayo Bwana Ban amemfahamisha rais wa Ukraine kwamba amekuwa anafuatilia kwa karibu hali livyo nchini humo na kumueleza kuhusu hatua zilizopigwa hivi karibuni nchini humo. Katibu [...]

27/01/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Pillay aitaka Misri kujizuia na ghasia na kufanya uchunguzi

Kusikiliza / Navi Pillay

Kamishina mkuu wa haki za binadamu  Navi Pillay Jumatatu amesema anatiwa mashaka makubwa na ghasia zinazoendelea nchini Misri katika siku za karibuni ambazo zimesababisha idadi kubwa ya vifo na majeruhi. Ametoa wito wa kufanyika mara moja uchunguzi wa matukio yaliyosababisha vifo vya takribani watu 62 Jumamosi na wengine wengi kujeruhiwa. Pillay amezitaka pande zote kujizuia [...]

27/01/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Shehena nyingine ya vifaa vya kemikali yaondoshwa Syria

Kusikiliza / Sigrid Kaag, Mratibu maalum wa jopo la pamoja la UM na OPCW alipotembelea bandari ya Lattakia kukagua maandalizi ya usafirishaji wa shehena hizo.

Jopo la pamoja la Umoja wa Mataifa na shirika la kimataifa la kupinga silaha za kemikali lenye jukumu la kutokomeza mpango wa silaha za kemikali nchini Syria limetoa taarifa juu ya kuondoshwa kwa shehena nyingine yenye vifaa vinavyohusiana na mpango huo. Taarifa hiyo inasema shehena hiyo ilipakiwa kwenye meli za mizigo kutoka Norway na Denmark [...]

27/01/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lajadili tishio la ugaidi na hali nchini Côte d'Ivoire

Kusikiliza / Baraza la Usalama

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limekutana kujadili tishio la vitendo vya kigaidi dhidi ya amani na usalama wa kimataifa, pamoja hali nchini Côte d'Ivoire. Joshua Mmali na taarifa kamili Wanachama wa Baraza hilo wameanza majadiliano yao kwa kupitisha kwa kauli moja azimio namba 2133, la mwaka 2014, ambalo linahusu kupiga vita ugaidi [...]

27/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wakulima wa nazi Ufilipino wako taabani baada ya kukumbwa na kimbunga

Kusikiliza / Wakulima wadogo wadogo waliathirika na kimbunga Haiyan

Wakulima wa minazi nchini Ufilipino wapo katika mahitaji makubwa ya kurejesha kilimo cha zao hilo kilichoharibiwa na kimbunga Haiyan kilichoipiga nchi hiyo Novemba mwaka jana. Kwa mujibu wa shirika la chakula na kilimo FAO, kimbunga hicho kilisababisha uharibifu mkubwa ikiwemo kuangushwa mamilioni ya miti ya minazi. Inakadiriwa kuwa miti zaidi ya milioni 33 iliharibiwa na [...]

27/01/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mtaalamu wa UM aitaka Qatar kutumia fursa iliyonayo kurekebisha mfumo wa sheria

Kusikiliza / Gabriela Knaul

Mtaalamu maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu uhuru wa majaji na wanasheria, Gabriela Knaul ameisihi Qatar kutumia kile alichoita fursa ya kipekee kufanya marekebisho yenye lengo la kuimarisha mfumo wake wa sheria na haki ili kushughulikia changamoto inaozikabili. George Njogopa na ripoti kamili. (Taarifa ya George) Akiwa mwishoni mwa ziara yake ya siku nane Mjini [...]

27/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

ICRC yaziunganisha familia kwa njia ya simu na ujumbe mfupi wa maandishi huko Sudan Kusini

Kusikiliza / Wakimbizi wa Sudan Kusini kufuatia mapigano nchini humo

Kamati ya kimataifa ya chama cha msalaba mwekundu (ICRC) imefanikiwa kuwaunganisha watu zaidi ya 650  na familia zao. Familia hizo zilitenganishwa wakati zikikimbia mapigano ya karibuni nchini Sudan Kusini. ICRC inabaini ndugu wa familia hizo katika maeneo waliyokimbilia kutafuta usalama na inawaunganisha na jamaa zao kwa njia ya simu na ujumbe mfupi wa maandishi wa [...]

27/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban ziarani Cuba, asema amani,usalama na maendeleo kumulikwa

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon alipowasili Cuba akiwa na waziri wa biashara za kigeni Rodrigo Malmierca

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon yuko ziarani nchini Cuba kuhudhuria mkutano wa jamii ya Amerika Kusini na mataifa ya Caribbean, CELAC. Akizungumza muda mfupi baada ya kuwasili nchini humo Bwana Ban amezungumzia matarajio yake katika ziara hiyo ambayo pia inajumuisha kumbukumbu shujaa wa Cuba na Latin Amerika José Marti. (SAUTI YA BAN) [...]

27/01/2014 | Jamii: Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

CAR imefikia katika hali mbaya saana, aonya Pillay

Kusikiliza / Mwanamke huyu na msichana ni miongoni mwa zaidi ya watu 900,000 waliofurushwa makwao, CAR

Jamhuri ya Afrika ya Kati sasa imefikia katika hali mbaya saana ameonya Jumatatu Kamishina mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa mataifa Navi Pillay , huku kukizuka upya mapigano na wapiganaji wa zamani wa Seleka na raia wa Kiislamu Kaskazini mwa nchi. Tangu Januari 21 mapigano baiana ya wapinzani wa Balaka na wapiganaji wa [...]

27/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mustakhbali wa amani ya Syria umeingia hatua muhimu Jumatatu

Kusikiliza / Lakdhar Brahimi

Mazungumzo ya amani ya Syria yanaendelea tena Jumatatu mjini Geneva ambapo serikali na wapinzani wanatarajiwa kuanza majadiliano kwa kuzingatia tamko la Juni 2012 ambalo linataka kuanzishwa kwa serikali ya mpito. Grace Kaneiya na taarifa zaidi (TAARIFA YA GRACE KANEIYA) Pande hizo mbili zimekuwa na mazungumzo ya ana kwa ana Jumamosi na Jumapili chini ya uwenyekiti [...]

27/01/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031