Nyumbani » 20/01/2014 Entries posted on “Januari 20th, 2014”

Kundi la kuchukua hatua lataka ghasia zikomeshwe mara moja nchini Syria

Kusikiliza / Mkimbizi wa Syria na wanawe katika kambi ilioko Lebanon. Wanakabiliwa na mahitaji kama mamilioni ya wengine

Wanachama wa kundi la kuchukua hatua kuhusu hali nchini Syria, wamekutana leo kufuatia hali inayosikitisha nchini Syria na kulaani vikali mauaji yanayozidi kuongezeka nchini humo, uharibifu na ukiukwaji wa haki za binadamu ulokithiri. Mkutano huo wa Kundi la kuchukua hatua ulijumuisha uanachama wa Uchina, Ufaransa, Urusi, Uingereza, Uturuki, Iraq, Kuwait, Qatar, pamoja na Umoja wa [...]

20/01/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ban akaribisha kuchaguliwa kwa rais wa mpito Jamhuri ya Afrika ya Kati

Kusikiliza / Bi. Catherine Samba-Panza, Rais mpya wa mpito nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, amekaribisha kuchaguliwa kwa Bi Catherine Samba Panza kuwa rais mpya wa mpito wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, kwa njia ya uwazi ilosimamiwa na baraza la kitaifa la mpito. Katika taarifa ilotolewa na msamaji wake, Bwana Ban amempa hongera Bi Samba Panza kwa uchaguzi huo, na kuwapongeza [...]

20/01/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Athari za usawa duniani ni kubwa kuliko ilivyodhaniwa: Profesa Stiglitz

Kusikiliza / Profesa Joseph Stiglitz

Kitisho cha kuendelea kuongezeka kwa ukosefu wa usawa duniani ni maudhui katika mjadala uliofanyika kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York, mjadala ambao umeratibiwa na ubalozi wa Italia kwenye Umoja huo. Hotuba maalum katika tukio hilo ilitolewa na mshindi wa tuzo ya uchumi ya Nobel kwa mwaka 2001, Profesa Joseph Stiglitz ambaye [...]

20/01/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Ban avunjika moyo na hatua ya Iran kuhusu mazungumzo Uswisi; Sasa kufanyika bila Iran

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon

Siku moja baada ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon kutangaza kuongeza idadi ya waalikwa ikiwemo Iran kwenye mkutano wa mashauriano kuhusu Syria huko Montreaux, Uswisi, hii leo amekaririwa akieleza kukatishwa tamaa na hatua ya Iran kubadili msimamo wa kile walichokubaliana. Msemaji wa Umoja wa Mataifa Martin Nesirky amewaambia waandishi wa habari mjini [...]

20/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Bi. Catherine Samba-Panza, kiongozi mpya wa mpito CAR: BINUCA yapongeza

Kusikiliza / Bi. Catherine Samba-Panza,Mkuu mpya wa mamlaka ya mpito nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati akipongezwa na Babacar Gaye mkuu wa BINUCA

Baraza la Taifa la mpito huko Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR limemchagua Meya wa mji mkuu Bangui, Bi. Catherine Samba-Panza kuwa Mkuu mpya wa mamlaka ya mpito nchini humo. Hatua hiyo imepatiwa pongezi na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya ujenzi wa amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, BINUCA ambayo imesifu kasi iliyoonyeshwa [...]

20/01/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Baraza la haki za binadamu latangaza mtaalam huru kuhusu CAR

Kusikiliza / HRC

Rais wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, leo amemtangaza Bi Marie-Thérèse Keita Bocoum wa Côte d'Ivoire kama Mwakilishi Huru kuhusu Jamhuri ya Afrika ya Kati, kufuatia azimio lililopitishwa kwa kauli moja bila kupiga kura. Mtaalam huyo huru atatakiwa kuzuru Jamhuri ya Afrika ya Kati mara moja, na kutoa maelezo kwa Baraza [...]

20/01/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Wazanzibar walioko New York waadhimisha miaka 50 ya mapinduzi

Kusikiliza / Sehemu ya Wazanzibar New York

Wiki moja baada yaZanzibarkuadhimisha miaka 50 ya mapinduzi, wananchi wa visiwa hivyo wanaoishi mjiniNew York na maeneo ya jirani wameungana na  watanzania wote kwa ujumla katika kuadhimisha miaka 50 ya mapinduzi.  Mwandishi wa idhaa hii Joseph Msami alikuwa amiongoni mwa waliohudhuria sherehe hizi na kuandaa ripoti ifuatayo.

20/01/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Miaka 100 ya kristalografia imeleta maendeleo ya sayansi: Ban

Kusikiliza / Mwaka wa kimataifa wa kristalografia

Mwaka 2014 umetajwa kuwa ni mwaka wa kimataifa wa Kristalografia ambayo ni elimu ya sayansi kuhusu mada. Ikiwa ni miaka 100 tangu ugunduzi wa sayansi hiyo, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ametuma ujumbe wake akieleza kuwa Kristalografia imeleta mapinduzi makubwa katika sayansi za afya, kilimo na hata bayoteknolojia. Hii leo, Kristalografia ni [...]

20/01/2014 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Kay apongeza kuundwa baraza kuu la utawala wa Juba

Kusikiliza / Nicholas Kay

Mwakilishi maalum wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, balozi Nicholas Kay amekaribisha kuanzishwa kwa baraza kuu la utawala wa mpito wa Juba ambapo Sheikh Ahmed Madobe Islan ameteuliwa kuwa kiongozi wake Akiongea katika hafla ya uzinduzi wa baraza hilo mjini Kismayo Kay pia amepongeza kuteuliwa kwa mawaziri na kaimu kiongozi wa baraza [...]

20/01/2014 | Jamii: Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

WFP inapungukiwa na chakula cha msaada CAR

Kusikiliza / Watoto CAR wakisubiri mgao wa chakula shuleni

Shirika la mpango wa chakula la Umoja wa mataifa WFP linapungukiwa na chakula cha kuwagawia idadi inayoongezeka ya wakimbizi wa ndani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati. Shirika hilo linasema sababu kubwa ni hali ya usalama ambayo ni kikwazo kwa misafara iliyobeba chakula. Malori 38 ya WFP yaliyobeba mchele yamezuiliwa kwenye mpaka wa Jamhuri ya [...]

20/01/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lajadili hali Mashariki ya Kati na suala la Palestina

Kusikiliza / Kikao cha Baraza la Usalama

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, limekutana leo kujadili hali ya Mashariki ya Kati, likiwemo suala la Palestina. Joshua Mmali ameufuatilia mkutano huo Mkutano huo uliorodhesha wazungumzaji 47, umeanza kwa hotuba ya Katibu Mkuu, Ban Ki-moon, ambaye ameanza kwa kutoa wito kwa wote wanaohusika katika kongamano kuhusu Syria nchini Uswisi, kutilia maanani mahitaji ya [...]

20/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mkuu wa WFP azuru Iran

Kusikiliza / Ertharin Cousin, WFP

Mkuu wa shirika la mpango wa chakula duniani WFP Ertharin Cousin ameanza ziara ya siku mbili nchini Iran ambako pamoja na mambo mengine pia atatembelea kambi inayohifadhi wakimbizi wa Afghanistan. Akiwa nchini humo, Bi Cousin atakutana na kufanya mazungumzo na maafisa wa serikali, wawakilishi wa mashirika ya kimataifa ikiwemo wale wa Umoja wa Mataifa. Anatazamiwa [...]

20/01/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Juhudi zifanywe kuepusha mauaji ya kimbari CAR: Adama Dieng

Kusikiliza / Adama Dieng

Mtaalam Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu kuzuia mauaji ya kimbari, Adama Dieng, amesema hatua za dharura zinatakiwa kuchukuliwa ili kuepusha janga la mauaji ya kimbari katika Jahmhuri ya Afrika ya Kati. Bwana Dieng ambaye amekuwa katika CAR hivi karibuni, amesema katika mahojiano ya Redio ya UM kuwa ingawa mzozo uliopo sasa nchini humo siyo [...]

20/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kiwango cha ukuaji uchumi kuongezeka 2014-2015 ikilinganishwa na 2013

Kusikiliza / Kiwango cha uchumi kuongezeka 2014-2015

Ripoti mpya kuhusu hali ya uchumi duniani na matarajio ya ustawi kwa mwaka 2014 imeonyesha matarajio ya kukua kwa uchumi kwa mwaka huu na ujao licha ya kiwango cha chini cha ukuaji mwaka jana. Assumpta Massoi na ripoti kamili. (Ripoti ya Assumpta) Ukuaji wa uchumi kwa mwaka 2013 ulikumbwa na misukosuko licha matumaini hapo awali, [...]

20/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Athari za kimbunga Haiyan zachagiza maandalizi ya mapema ya msimu wa vimbunga:

Kusikiliza / Mji wa Tacloban, Ufilipino baada ya kimbunga Haiyan

Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kupunguza athari za majanga UNISDR, limeungana na sekta ya kimataifa ya bima kupendekeza mtazamo mpya na mkubwa wa kufadhili athari za majanga kwa Ufilipino mapema wakati msimu wa typhoon ukijongea mwaka huu ,wakati ambapo taifa hilo bado linakabiliana na hasara ya dola bilioni 13 zilizosababishwa na kimbunga Haiyan/ Yolanda. [...]

20/01/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mgogoro wa CAR ni mkubwa wa aina yake:Ban

Kusikiliza / Wakimbizi wa CAR

Mgogoro unaoendelea nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) ni mkubwa wa aina yake unaohitaji hatua ya haraka ya jumuiya ya kimataifa, amesema katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon. Katika taarifa yake kwenye baraza la haki za binadamu kwenye ufunguzi wa kikao maalumu kuhusu halki nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, Ban ametoa [...]

20/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

FAO yaonya kuhusu kuibuka tena kwa kirusi A(H7N9) China

Kusikiliza / Kuku ambao wanadaiwa kuambukiza virusi vya H7N9

Shirika la Kilimo na Chakula duniani, FAO limesema kuwa tishio la kuzuka upya nchiniChinakwa virusi aina ya H7N9 vinavyosababisha homa ya mafua ndege ni kubwa na kwamba hali hiyo inajitokeza wakati taifahilolikikaribia kuanza sherehe za mwaka mpya.. Grace Kaneiya na Taarifa kamili  (RIPOTI YA GRACE KANEIYA) FAO inasema sherehe za mwaka mpya zinaenda sanjari na [...]

20/01/2014 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

CAR iko hatarini kutumbukia kwenye machafuko ya kidini: Pillay

Kusikiliza / Navi Pillay

Ofisi ya Kamishna ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imetaka kuchukuliwa hatua za haraka ili kuzuia uwekekano wa kujitokeza zaidi kwa machafuko ya kikabila katika Jamhuri ya Afrika ya Kati. George Njogopa na taarifa kamili  (RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA) Kamishna Mkuu wa Ofisi hiyo Navi Pillay amesema kuwa kukosekana kwa dola yenye idhini [...]

20/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930